video

  1. M

    JamiiForums Tanzania Video ya CCTV camera ikionyesha utekaji wa Peter Richard Mushi Kariakoo

    Huyu kwenye video Anaitwa Peter Richard Mushi ni fundi simu Kariakooalipigiwa simu tarehe13/8/2026 na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mteja anahitaji kutengenezewa simuAlimwelekeza alipo lakini mteja akataka ndugu peter amfuate maeneo ya china plaza alipofika china plaza Alikutana na huyo mteja...
  2. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Mwanamke adhurika vibaya baada ya kula chips zinazosemekana kukaangwa kwa mafuta ya transfoma

    Wakuu mko poa, Kipindi cha nyuma nadhani 2016 wakati Muhongo akiwa waziri aliwahi kupiga marufuku matumizi ya mafuta ya transfoma kwa mapishi ya chips, wakati huo zilikua ni tetesi tu kua kuna wauza chips wasio waaminifu wanatumia mafuta ya transfoma. Sasa leo nimekutana na video ya simulizi...
  3. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda VIDEO : RAPID INDUSTRIALIZATION COULD TRIGGER ELECTRICITY SHORTAGE - TRADE MINISTER WARNS

    Trade Minister Sanjay Tanna has warned that Uganda could face load shedding within the next year unless urgent measures are taken to expand electricity supply. Tanna said wealthy investors should be encouraged to install rooftop solar systems under the Presidential CEO Forum and feed excess...
  4. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hili somo la David Kafulila sasa naona limeeleweka kwa Watanzania

    == Mkurugenzi David Kafulila ameendelea kusimama kama sauti ya kizazi kipya cha viongozi wanaoelekeza Watanzania kwenye mustakabali wa taifa lenye uchumi ulio mkubwa ambao ni shindani na unaoshirikishisha watu wengi. Katika hotuba na mijadala yake, amesisitiza kuwa DIRA2050 si ndoto ya...
  5. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda VIDEO: “We shall not be polite to thieves,” Minister Balaam Barugahara.

    “We shall not be polite to thieves,” Minister Balaam Barugahara. So far 10 CAOs interdicted. NEW VISION REPORTS
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Video: Stendi ya Magufuli ilivyojaa Mabasi baada ya tangazo. Yagezwa Parking ya Mabasi

    Hali ilivyo kituo cha mabasi yaendayo mkoani Magufuli Mbezi jijini Dar es Salaam. Hali hii ni baada ya kuingia siku ya pili tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kutoa tamko la mabasi yote kuanzia na kumalizia safari katika kituo hicho, agizo ambalo utekelezaji wake ulianza...
  7. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kamati za Usalama za Wilaya ni watuhumiwa Wasiojulikana

    Umofia kwenu Nisiwachukulie muda, tazama na sikiliza hii video Tulishawasanua awali kuwa matukio yote ya utekaji, utesaji, ufiraji na mauaji huratibiwa na Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya na Mikoa Moja ya ushahidi ndo huo hapo juu
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tuwapongeze TFF kwa Video Support kwenye ligi, So far so good

    Inakera sana makosa ya kibinadamu yakitumika kudhoofisha jitihada za timu, makocha na wachezaji kuwekeza kwenye ushindi wa timu kiwanjani. Football Video Support (FVS) kwenye ligi ya NBC mpaka sasa imeleta utulivu wa hali ya juu. Kelele juu ya waamuzi mpaka sasa hazijasikika au ziko kwenye...
  9. kaisar19

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Afariki dunia baada ya kugongwa Na lori lililo beba Ciment

    Tukio hili limetokea Asubuhi ya leo majira ya saa 3 katika Barabara ya kutoka kongowe kuelekea Twangoma. Ambambo lori lilifeli Breki likiwa kwenye mwendo kasi. Dereva wa Bodaboda alifariki mara tu baada ya ajali, Mpaka muda huu abiria alie panda pikipiki hiyo nae ni majeruhi na yupo...
  10. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Ukiulizwa kwanini haufanyi mazoezi jibu lako litakua ni lipi ? Mdau amejibu kwa kushangaza sana

    binafsi nakosa muda mixa kauvivu na pia sina company ya watu wa kwenda nao mazoezi, je wewe sababu yako ni ipi video: https://vt.tiktok.com/ZSVLwaS17/
  11. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Wenye wake zenu wanaoenda gym kuna ushauri wenu huku

    hakika mazoezi ni muhimu kwa afya mma hata madaktar wanatushauri lakini kuna mengi yanazungumzwa juu ya wake za watu na matrainer, tazama video kisha tuambie maoni yako...
  12. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafsiri youtube video kuwa maandishi

    Kwa mwenye uhitaji wa kutafsiriwa video au kitabu au makala kutoka lugha ya kingereza kwenda kiswahili, whatsap/sms/piga 0756704145
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tengeneza sabuni kupitia video hii

    Angalia hii tutorial kisha fanya majaribio. Usisahau kushare nasi matokeo hapa.
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Video ya wakati wa kampeni imetumika kuonyesha matukio ya uchaguzi mkuu nchini Zambia

    Kumekuwa na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Instagram, ikiambatanishwa na madai kwamba leo nchini Zambia, siku ya uchaguzi mkuu, polisi wametumia risasi za moto na mabomu ya machozi kuwatawanya wapiga kura katika vituo kadhaa vya kupigia kura kwa tuhuma za uvunjifu wa...
  15. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Video: Nifundisheni na mimi AI

    https://youtube.com/shorts/sNRkCxTNwsw?si=zY5a8w0jsQ8nDxgJ
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Video:- Mama mlokole akamatwa akiwanga Babati

    Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Mama Gift, mkazi wa Kitongoji cha Mbugani, Kijiji cha Magugu wilayani Babati, amenusurika kushambuliwa baada ya kudaiwa kukutwa usiku akifukia dawa zinazohusishwa na imani za kishirikina katika nyumba ya jirani. Mwanamke huyo mara baada ya kugundulika na...
  17. Teslarati

    JamiiForums Tanzania "Za kutumia tu hizi" Je hii video ina uhalisia wowote?

    Naona pesa imekua nyepesi sana, kwanza achana na ile kufuru ya katoro, njoo uone hii, unaambiwa hizo ni za kutumia tu wala sio za kufanyia mambo ya msingi. Je video hii ina uhalisia?
  18. R

    JamiiForums Tanzania Iran yatumia video ya zamani ya Kiongoozi Mkuu Mojtaba Khamenei kuaminisha umma yuko hai

    Iran imetoa video ya zamani ya Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei akiwa hai, baada ya taarifa zinazodai kuwa alijeruhiwa vibaya katika shambulio la Marekani na Israel. Iran imeripoti siku ya Jumapili kwamba Mojtaba amekutana na rais wa Iran Masoud Pezeshkian, ambae anaanza mwaka wake wa...
  19. AI tata

    JamiiForums Tanzania Naomba kuna huu wimbo nime video screen shot anaeujua please

    Nimeweka kavidio kadogo
  20. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Video: Cocobeach ajali ya pili gari inawaka moto hakuna point za fire eneo lote Coco

    JF Video ya sekunde 16 inagoma ku upload hebu na nyie wekeni miundo mbinu yenu vizuri….yaani Video sekunde 16 inagoma ? Wakuu mko serious ?
Back
Top Bottom