video

  1. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Waandamanaji Mbeya wanaendelea kukusanyika na mabango

    Mbeya wanaendelea kukusanyika wananchi watatulia madai yao yakisikilizwa Ila vitisho haviwezi kuwatuliza. Wamebeba mbango yanayosomeka: Uchaguzi urudiwe Tume huru Utekaji NO Samia must go Free Tz
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Gen Z Mwanza waandamana, wafikisha mabango yenye ujumbe kwa JWTZ

    Hii ndio hali huko Mwanza vijana wakiandamana kwa amani barabarani, wengine wakitoa dukuduku zao mbele ya Jeshi la Wananchi (JWTz)
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Hali ilivyo mkoa wa Iringa

    Mkoa wa Iringa asubuhi ya leo 9 Disemba 2025 katika siku ambayo ni Sikukuu ya Uhuru Nchini
  4. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Hali ilivyo leo katika mkoa wa Ruvuma leo Desemba 9

    Hivi ndivyo hali ilivyo siku ya leo Disemba 9 mkoani Ruvuma katika maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika.
  5. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Polisi wakikagua abiria Tegeta Kibaoni

    Ni asubuhi leo desemba 9, 2025 katika maeneo ya Tegeta Kibao jijini Dar es salaam, Askari Polisi wakifanya ukaguzi wa kila gari yakiwemo mabasi yanayotokea Kaskazini (Arusha, Moshi na Tanga).
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania Video: Kimara wameshaanza kutesti mitambo. Watu wameanza kuingia barabarani

    Wakuu, Naambiwa huko Kimara mambo yameshaanza kuchemka. Wananchi wameanza kujitokeza barabarani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mange kufungiwa namba ya whatsapp kutapunguza sana ueneaji wa video na picha za matukio ya D9

    Mange alikuwa anafowadiwa matukio mengi kwasababu alipatikana whatsap. karibia kila mtu mwenye smartphone kajiunga whatsapp, wachache wapo instagram, wachache zaidi wapo X. Wenzake kina Hilda, Sativa, Maria n.k. hawaweki hadharani namba zao za whatsapp, hutegemea zaidi Instagram na akaunti...
  8. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kama hutaweza kuandamana, tusapoti kwa kupiga picha na video clear za kuonesha sura mapolisi na wote wenye silaha

    Najua wapo wanataman mabadiliko ila hawako tayari kujitolea hata ikibidi uhai wao, sasa kama ni hivyo, wewe tusaidie kuchukua matukio hasa kuonesha sura zao hao wahuni wenye silaha. Hii haiwezi kuisha hadi samia aishie, kama anasema amepata kura 98% sasa kesho tutaona hao milion 32...
  9. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hii imerekodiwa Uyole mkoani Mbeya

    Tumia nyenzo za kidigitali kubaini eneo halisi iliporekodiwa video hii. Je, ni kweli imerekodiwa Uyole mkoani Mbeya kama ilivyodaiwa na mtumiaji mmoja wamtandao wa Instagram? anasema "Leo Mapema Uyole Fashion Week Hapa Igawilo"
  10. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Magari ya matangazo yasambazwa mtaani kutoa taarifa kwamba watu wasiandamane. Hii imekaaje? Ni uoga au paranoia?

    Polisi ahsante sana kwa kuendelea kutangaza maandamano haya, mnafanya kazi nzuri mnatangaza nchi nzima, nyie jifanyeni kama mnasema hayatakuwepo kumbe ndio mnayatangaza kwa kasi ya ajabu.
  11. Cannabis

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hii video iliyowekwa na Spika mstaafu Dr. Tulia Instagram ina maana gani?

    Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (leaf blower) kujaribu kulivuta jani hilo bila...
  12. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video : Joto la maandamano lazidi kupanda kanda ya ziwa

    Wakuu kiukweli nasikitika kuona viongozi wakiendelea kuonesha kutojali yaliyotokea. Kanda ya Ziwa bado inaonekana vijana hawapo tayari kuweka silaha chini. Baadhi ya mitandao ya kijamii vijana wa kanda ya ziwa wanasema aliyemuuwa Magufuli ndie aliyekua vijana October 29 kwa tamaa ya madaraka.
  13. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania KWELI Eneo iliporekodiwa video hii ni makutano ya barabara Moshi mjini, Kilimanjaro

    Mdau tumia nyenzo za kidigitali kubainisha eneo halisi iliporekodiwa video hii?
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umma: Harmonize ashusha video yake huko Youtube baada ya raia kususia kuitazama na kuambulia viewers wachache

    Harmonize tarehe 29 alipandisha ngoma mpya YouTube, badae ameona aifute kutokana Viewers kuwa chini ya 5k since then mpaka jana. Wananchi especially Gen Z wameona sio tu show zao hata kuwasapoti kwenye platform mbalimbali ni kitu hakitakiwi kwasasa, Wananchi wameamua kuwapuuza the so called...
  15. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Video: As the man of the house, what’s your next move?

    As the man of the house, what’s your next move?
  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Video: Vibe la waumini wa Gwajima kanisani leo

    Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, leo jumapili ya Novemba 30, 2025, wameendelea na ibada za kila jumapili, ikiwa ni jumapili ya kwanza tangu Kanisa hilo kuruhusiwa kuendelea na shughuli zake baada ya kuzuiwa kwa muda. ‎ Novemba 24, 2025, Waziri Mkuu...
  17. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania KWELI Video hii imetengenezwa kwa akili unde

    Huku ukieleza nyenzo ya kidigitali uliyotumia, bainisha picha halisi iliyotumika kutengeneza video hii.
  18. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Kijana: Viongozi ndio chanzo cha vijana kufanya maandamano

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka ameendelea na ziara yake maalum ya kukutana na kuzungumza na vijana katika Mkoa wa Ruvuma ambapo ameonya dhidi ya watendaji wa serikali wanaokwamisha shughuli za vijana kuwa hawatavumiliwa. Akiwa wilayani Songea leo Ijumaa tarehe...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Rais anasema kanisa lifunguliwe alilifunga kwa sababu gani? Aeleze sababu

    Miongoni mwa waumini wa kanisa la Askofu Gwajima, lililofunguliwa hivi karibuni baada ya maelekezo ya Waziri Mkuu na kupewa uangalizi wa miezi sita, amesema kuwa serikali haipaswi kuwanyamazisha wasiseme mambo. Amehoji kuwa: ‘Mnasema Rais amelifungulia kanisa, lakini kwanini alilifunga awali?’...
  20. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Polisi ilimwachia akakikimbia, akapigwa Risasi ya kwanza ikamkosa, ikapigwa Risasi ya pili ikampata akaanguka na kufariki

    Kutoka kwenye ukurasa wa Sativa mtandao wa X; Ushahidi mwingine wa POLISI na vyombo vya USALAMA wakiua watanzania. Huyu ni kijana ambae alikamatwa 29 oktoba siku ya maandamano huko TUNDUMA MKOANI SONGWE. Hapo alishushwa kwenye Gari la Polisi baada ya kupigwa sana na kuambiwa AKIMBIE...
Back
Top Bottom