Viral video yageuka Mtego: DCI washika mshukiwa kwa Hate Speech

Viral video yageuka Mtego: DCI washika mshukiwa kwa Hate Speech

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
472
Reaction score
282
Mambo yanazidi kuwa moto mtandaoni baada ya Directorate of Criminal Investigations (DCI) kumkamata mshukiwa anayehusishwa na video iliyosambaa sana kwa madai ya hate speech.

Kwa mujibu wa DCI, mshukiwa huyo alikamatwa baada ya detectives kufanya review ya hiyo video na kubaini kuwa ilikuwa na maneno yenye kuweza kuchochea chuki na kuvuruga umoja wa kitaifa. Sasa ako custody akisubiri kufikishwa mahakamani.

DCI wamesema clearly: freedom of speech iko, lakini si licence ya kusema chochote. Ukienda beyond limits na kuanza ku-incite watu ama kusambaza hate, sheria itakufuata tu.

Wamewarn pia wananchi wasepende kushare content zenye zinaweza kuongeza tension kwa jamii. Kwa sasa, macho yote yako kwa kesi hii je, itakuwa mfano kwa wengine wanaotumia social media vibaya?
 
Kwani Kenya pamoja na katiba mpya hawana free speech?
 
Back
Top Bottom