video

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa G7 utafanyika kupitia video

    Rais wa Marekani Donald Trump amefuta Mkutano wa viongozi wa mataifa 7 tajiri dunaini G7 na badala yake watazungumza kwa njia ya vidio kutoa fursa kwa viongozi kushughulikia mpripuko wa maambukizi ya virusi vya corona katika nchi zao.Mkutano huo uliokuwa uwakutanishe viongozi wa mataifa ya...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania UK’s most senior black female police officer has been sacked

    One of the UK's most senior black female police officers has been sacked after her conviction for possessing a video clip of child abuse. Supt Robyn Williams was ruled by Metropolitan Police Assistant Commissioner Helen Ball to have committed gross misconduct. At a fast-track misconduct...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya kipekee kwa ajili ya Video Production vinauzwa

    Vifaa hivi vinauzwa kwa ajili ya matumizi ya Go Pro camera vifaa vya kufungia sehem mbali mbali kwenye maji, gari, pikipiki na hata baiskel kwa angle unayotaka na ukapata shoot yako nzuri na kwa position unayoitaka. Jipatie vifaa hivi kwa 100,000/= & 150,000/= vinakua box. CALL WHATSAPP &...
  4. anti-negative energy

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anae fahamu kujirecord video na kuiwekea wimbo wowote kwenye background

    JAmani wanajamvi nilikua na utata, kama kuna mtu anaweza utundu wa kuweka muziki kwenye video ya kujirecord anielekeze, au hata kama kuna app basi tuambizane.
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: BAVICHA yawaapisha vijana wa Sumbawanga kiapo cha utayari

    Kiapo kiliongozwa na Twaha Mwaipaya , kijana ambaye nyota yake ya uhamasishaji kwa muda mfupi aliopewa madaraka inatisha mno !
  6. F

    JamiiForums Tanzania Video: Obama aiponda demokrasia yetu

    Ushindi wa 90% huku watu wakiwa wamezibwa midomo? Asema ni mchezo wa kuigiza.
  7. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Video nilizochukua na simu haziplay vizuri kwenye PC

    Kwa watu wenye uelewa wa hili tatizo naombeni mnisaidie, Video ninazozirekodi na simu yangu ya Samsung huwa haziplay vizuri kwenye computer, video ina play kisha inasimama simama wakati track bar ya program ya kuplay video inatembea.Track bar ni kile kiashiria kinachoonyesha video ipo sekunde...
  8. Randy orton

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

    Kuna kila dalili ya jinai ya kubaka ikiwahusisha wanawake katika hii connection mpya mjini. Kwa uelewa wangu mdogo wa sheria zetu Tanzania, mwanamke hawezi kuwa convict kwa kosa la ubakaji unless iwe gang rape na huyo mwanamke/wanawake wahusike katika kusaidia ubakaji kufanyika. Hii connection...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hiki hapa kikao kizito cha Mbunge wa Mbeya na madereva wa bodaboda wa Mbeya Mjini, yeye hakubeba jeneza

    Hizi ndio zinazoitwa siasa za Mars
  10. Cicero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri mwanamama wa Kenya ashutumiwa kwa kupenda kuangalia video za ngono ofisini

    Wakenya mko wapi mtuambie ni nani huyu!
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Mbunge wa Mbeya Mjini akabidhi vifaa vya kisasa vya michezo kwa timu za soka

    Mh Joseph Mbilinyi leo amekabidhi vifaa vya kisasa vya michezo kwa timu za soka jimboni kwake Kwa awamu ya kwanza timu zilizonufaika ni pamoja na: 1. Airport Rangers (Kata ya Iyela) 2. Stone fire (Maaga) 3. Iganzo fema club (Iganzo) 4. Iwambi FC (Iwambi) 5. Iyunga boys (Iyunga) 6. Itende FC...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Vijana wa CCM Wakitwangana kugombea posho

    Hii ndio sababu kubwa ya vijana hawa kutokwa povu hapa jf hata kwa mambo yasiyo na mashiko, jionee mwenyewe.
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video : Kamanda Mbowe alipowasili kwenye Mkutano Hai

    Hii hapa, Mengine yanakuja, usiondoke JF
  14. Influenza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya airways (KQ) suspends staffer who shared video of Chinese arrival at JKIA

    Kenya airways has suspended a staff indefinitely for sharing a video clip of 239 passengers aboard a Chinese flight that arrived in Kenya. "Following a report of video of China Southern flights arrival at JKIA and circulation of the video clip widely on social media and your alleged involvement...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video : Operesheni Tume huru yazinduliwa Mikumi

    Tukipaza sauti kila mahali Tume huru itapatikana.
  16. F

    JamiiForums Tanzania Bonifance Mwamposa, (Buldoza) atunukiwa Shahada ya Uzamili ya heshima na Chuo cha Lead impact University kilichopo Colorada nchini Marekani

    Ni ajabu na kweli baada ya yote yaliyotokea Moshi mwezi uliopita Mwamposa atunukiwa udaktari wa heshima. Mshana Jr alitabiri kupanda cheo kwa Mwamposa na sasa yamekuwa kweli. Watu wanapaswa kufunguka macho kuhusiana na yanayoendelea ulimwenguni tena siku hizi yapo wazi kabisa. Kuweni waangalifu...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Asayel Slay: Mwanamuzi wa kike Saudia kukamatwa kwa video aliotoa ya wasichana wa Mecca

    Maafisa wa Saudia wameagiza kukamatwa kwa mwimbaji wa kike wa muziki wa 'rap' ambaye ametoa video ya muziki kwa jina Mecca ambayo ina sifu wanawake katika mji huo mtakatifu inayosema ni wenye "nguvu na wazuri". Watumiaji wa mitandao ya kijamii walionesha hasira yao na kusema kwamba mamlaka ina...
  18. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Polisi asema "Kidumu chama cha mapinduzi" Wakanyaga katiba kwa kufanya siasa wazi wazi

    Polisi Tanzania Wakanyaga katiba Kwakufanya siasa wazi wazi bila kificho ushaidi huu hapa. Salamu ya “kidumu Chama cha Mapinduzi” aliitoa kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jonathan Shana alipokuwa Butiama mkoani Mara wakati wa hafla ya kumbukizi ya miaka 19 ya kifo cha Baba wa Taifa. zaidi...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video : BAVICHA yatetemesha Morogoro

    Acheni tu siasa ziendelee kupigwa marufuku , maana zikiruhusiwa visukari vya watu vitapanda mara dufu . Hapa ni mkoani Morogoro kwenye Kikao cha ndani cha BAVICHA, ambayo imebainika sasa kuwa ndio Taasisi ya vijana inayoongoza barani Africa.
  20. Slowly

    JamiiForums Tanzania Video: Huu wimbo anaocheza Haj manara unaitwaje niupakue

    Kama nilivyouliza jaman , nahtaj kujua jina la huu wimbo , naupenda nataka niupakue
Back
Top Bottom