Inadaiwa huyu askari alimkodi huyo boda boda kwenye video na baada ya kumzungusha kwa saa moja kagoma kumlipa, kwa mujibu wa maelezo ya boda kulitokea ugomvi ambao ulisababisha huyo polisi kumng'ata kidole huyo boda hali iliyomfanya yeye ampige ngumi ndipo alipomuachia.
Hizi aibu kwa jeshi hili...
NAtafsiri maandishi na video za youtube kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili kuwa katika mfumo wa PDF kwa bei ya kurasa moja 10,000 TZS , WASILIANA NAMBA 0756704145 (WhatsApp)
⚠️picha za kutisha⚠️
Israel ilifanya shambulio lililolenga gari katika kitongoji cha Rimal kaskazini mwa Gaza. Magaidi 4 waliangamizwa.
Kwa jumla, angalau magaidi 28 waliangamizwa leo katika Ukanda wa Gaza.
Hamas ilichapisha taarifa kuhusu kuongezeka kwa mashambulizi ya kulenga ya IDF dhidi...
"Aah... hawa nao si wazime hizo camera sasa."
"Kwani wao ndiyo wamezaa peke yao?"
"Sawa tumeelewa, mtoto kazaliwa... sasa ndo kila saa?"
"kuna watu wanachezea hela."
"sijui niwa unfollow hawa waanafamilia ya wasafi kwanza, pressure za bure hizi."
"kwamba mtoto wao ndo ana thamani sanaaaa
"Na...
Tragedy has struck Maracha District after a family of six, including four children, was killed when lightning struck their home in Nyanza Cell, Oleba Town Council, in the early hours of Saturday.
According to Oleba Town Council LCIII Chairperson Robert Angupi, the incident happened at around...
Drama unfolded at a Ssembabule District leaders' assessment meeting convened by Minister Anifa Kawooya after a heated exchange between the minister, the Resident District Commissioner (RDC), and Lwemiyaga County MP Rtd. Brig. Gen. Emmanuel Rwashande over allegations of corruption.
The...
NYUMBA ambayo baba si msemaji, au NYUMBA ambayo mwanamke ndio msemaji wa mwisho Huwa na anguko.
Huwa nawaelewa wanawake ambao hutafuta hata mwanaume lofa tu kikubwa awepo nyumbani ili NYUMBA isikose mwanaume ndani faida ni nyingi sana.
Nimemkumbuka yule Binti alie kua akiishi na mama yake...
Makamu Mwenyekiti wa ChademaTz Bara leo Julai 29, 2026 akihutubia kwenye mkutano wa ndani wa chama hicho uliofanyika jijini Mwanza ameeleza kuwa kuna gari aina ya Toyota Land Cruiser (hardtop) nyeupe iliyofika nyumbani kwake asubuhi ikiwa na namba za usajili T 318 EQJ, baada ya kufanya uchunguzi...
Kumekuwa na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa dereva mmoja alimsaidia mwenzake ambaye gari lake lilipata hitilafu ya tairi moja. Katika video hiyo, dereva huyo anatajwa kuwa shujaa kutokana na hatua yake ya kumsaidia mwenzake.
18 Julai 2026
Teknolojia ya akili bandia imefanya kazi ya kutengeneza video kuwa rahisi zaidi kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita. Sasa hauhitaji kamera ya gharama kubwa, mwigizaji, studio au ujuzi mkubwa wa ku-edit video ili kutengeneza video fupi zinazovutia.
Kwa kutumia Grok Imagine...
Teknolojia haiwezi kuchukua nafasi ya walimu, lakini inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kuongeza usawa wa fursa za kujifunza kwa kila mwanafunzi.
Leo hii, AI imekuwa kama mwalimu binafsi anayepatikana muda wowote, hata ukiwa chumbani kwako japo kwa tahadhari kwasababu haipatii kila kitu.
Wanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.