video

  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: nampongeza sana kidume aliofanya hiv, unapokuwa unamhudumia mtu mzima mwenye mikono 2 hadi kod kumlipia alafu akutii then kwa nini ung'ang'anie

    Hii kama sio video ya kiki basi ni murua kabisa💯
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO ikionesha mashabiki wawili weusi wakifanyiwa masimango na mashabiki wa Morocco waliowazunguka

  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Video za oct 29 zinaonesha baadhi ya askari walikuwa wakisimamisha wapita njia na kuwagaragaza kwenye mitaro na kuwapiga viboko na risasi

    Video za oct 29 zinaonesha baadhi ya askari walikuwa wakisimamisha wapita njia na kuwagaragaza kwenye mitaro na kuwapiga viboko na risasi Kitendo hiki tunakichukuliwa kama uharifu dhidi ya raia na ni wehu cha kushangaza wambura hajawachukulia hatua zozote askari hao kwa vitendo hivi vya...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa video za Oktoba 29 zilivyokuwa ni wazi kuwa waliopigwa risasi hawakuwa wahalifu

    Video oct 29 za watu waliopigwa risasi hawakuwa maeneo yaliyo haribiwa ni majumbani inaonesha waliuwawa kwasababu hawamtaki samia na sio waharifu. Watu walio uwawa walimkataa samia ndio maana amewauwa na sio kwasababu walichoma vitu au kupiga askari na hawakuwa tishio kivyovyote hata hivyo...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hivi hawa Delta force waliwafanya nini walinzi wa Maduro maana wanarudishwa kwao Cuba kwenye vibox vidogo vidogo🤔

  6. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mistari hii kwenye alama hii inamaanisha kila mstari ni mita 100

    Kumekuwepo na video ambayo inasambaa kwenye mitandao wa facebook pamoja tiktok ikielezea kuhusu matumizi ya alama yenye nembo 50 na matumzi yake katika barabara. Kwa kutumia ufuatiliaji kupitia account rasmi ya RAS Tanzania (Taasisi ya Mabalozi wa Usalama Barabarani Tanzania (Tanzani Road...
  7. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Video: Samia amtambulisha mwanae Wanu Hafidh kwa bwebwe. Geuka wakuone, hawajakuona, anafanana na nani .?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimtambulisha Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh, wakati wa uzinduzi wa Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar. Uzinduzi huo umefanyika tarehe 09 Januari, 2026.
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Trump akielezea kwa kina namna alivyokabiliana na walinzi waki-cuba waliokuwa wanamlinda Maduro ikulu

    MCHEKE BASI KIDOGO NA NYIE.. 🤣🤣
  9. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania AI gani nzuri kutengeneza video na picture ?

    Habari ya mwaka mpya Naomba kujua AI gani nzuri kutengeneza video na picha zikawa km OG
  10. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania Mpaka Rais anatengenezewa AI video zisizo na heshima hivi na watu wengi wanazifurahia inaonesha kabisa watu hawamuheshimu

    Sasahivi mitandaoni kumejaa video za AI zilizotengenezwa kwa lengo la kumkashifu na kumkejeli Rais Samia. Cha ajabu video hizi zinapata views wengi na watu wengi wanaonekana kuzifurahia Kuanzia mwezi May hadi September hivi, video za namna hii zilikuwa zinaandaliwa na Wakenya ila sikuhizi ni...
  11. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania KWELI Video hii ya refa aliyechezesha mechi ya Morocco na Tanzania imetengezwa kwa kutumia akili unde

    Kumekuwa na video ambayo inasaambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook ikimuonesha aliyekuwa refree wa mchezo kati ya Morocco dhidi ya taifa stars akizungumza mara baada ya kutamatika kwa mchezo huo ambao ulisha kwa morocco kuondoka na ushindi wa goli moja kwa bila. Mchezo huo wa raundi...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Trump yupo sahihi, Maduro alituma magari ya polisi kuwakanyaga waandamanaji waliomkosoa

    Binafsi naungana na Trump kuwaonya viongozi wote katiri, wenye kiburi na wasioheshimu haki za wananchi wao. Mwaka 2019, wananchi wa Venezuela waliandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za umma, utekaji, kupotea kwa wakosoaji, ukosefu wa ajira na utawala wa sheria, Maduro aliwajibu...
  13. Champion_Boy

    JamiiForums Tanzania Video Wananchi wa Venezuela Wakishangilia kukamatwa kwa Raisi wao na Marekani

  14. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Venezuela yashambuliwa na Marekani

    Kuna milipuko mikubwa imetokea mji mkuu wa Venezuela, Caracas. Inaelekea wizara ya ulinzi imeshambuliwa. Bado taarifa rasmi kuhusu shambulio hilo hazijatolewa. Updates:Baada ya mashambulizi yq masaa kadhaa USA wamemkamata nq kumchukua Rais Maduro wa Venezuela. Yuko njiani kupelekwa USA.
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii ndio stori fupi ya mabaharia wenzagu walipokuwa wakisikilizia mwaka mpya

    Msoto uko pale pale, kinachobadirika ni namba pekee. ] Tuendelee kupambana, hakuna namna, HAPPY NEW YEAR FRIENDS.
  16. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Video: Msanii kipenzi cha Gen Z na wimbo wake wa "bonyeza kende"

    Huyu hapa msanii kipenzi cha Gen Z, akitumbuiza goma lake pendwe la "mshike kende, bonyeza pembe, kende ndende ndendeee". show ilipigwa Maeneo ya Gaza kimara
  17. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hii ni Tembo akimuokoa chui kwenye kwenye mafuriko huko Indonesia

    Video imeripotiwa kuwa ni tukio lililotokea nchini Indonesia baada ya mafuriko makubwa ambapo tembo anaonekana akimuokoa Chui kutoka kwenye mafuriko hayo kitendo kilichovutia watu wengi. Je, video hii ni halisi au imetengenezwa?
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna video inamuonesha anayesadikika kuwa ni yule Vaileth wa Matonya akiwa katika hali mbaya na uraibu

  19. upupu255

    JamiiForums Tanzania KWELI Video hizi kuhusu Askofu Ruwa'ichi kuomba radhi zimetengenezwa kwa Akili Unde

Back
Top Bottom