Tundu Antiphas Lissu
Umeona yaliyotokea, kura Watanzania tumepiga ila matokeo yake ndIo hayo. Matokeo yanayotangazwa sio matokeo ya kura zilizopigwa ni matokeo ambao tayari NEC na CCM walikuwa nayo kabla hata ya uchaguzi. Kilichofanyika Jana ni kujaribu kuionesha dunia kuwa kuna uchaguzi wakati...
Serikali yetu ya Tanzania, nilikuwa nawashauri kuwa, hii mitandao yakijamii mliyozima kama inawezekana tuzimieni sisi tu waupinzani, maana ndugu zetu CCM wao hawana makosa, wanahitaji hii mitandao maana wao hawakupakua hata VPN, kwahio waoneeni huruma muwape access yamitandao lakini muwazuie...
Nimesikitishwa na upuuzi uliofanywa na wanasiasa wanaotumia nguvu nyingi kutaka kutawala na hatimaye wanaingilia uhuru na haki yetu.
Kitendo cha kulimit mtandao ili usifanye kazi kwa baadhi ya social media ni kuingilia maisha yetu binafsi na ni ujinga kwa kiongozi anayelipwa mshahara wa kodi za...
Ni maoni yangu kuelekea hitimisho la Kampeni leo 28/10/2020.
Lengo kuu ni ili Wananchi wawasikie kwa lugha moja katika kuhitimisha na kesho wafanye maamuzi sahihi.
Naamini leo hakuna pumba au chuya, ni mwendo wa "SERA".
Wakuu heshima kwenu! Ninakiwanja mkoa wa pwani maeneo karibu na halimashauri, ukubwa wa kiwanja no sq 600, sasa usawa wa magu ni mgumu,ila kujenga kunahitajika......nimeenda kuuliza wadau maeneo hayo wakanipa point zifuatazo
Mchanga unaweza kuchukua kwa Bibi Fulani kwa gharama 15000, kwa ndoo...
Ninataka kupanda mahindi ya pannar pamoja na mbolea ya dAp ila mvua inasumbua Sana kunyesha je nikipanda na mvua ikakataa kwa muda je mahindi niliyopanda na mbolea yanaweza kuota Kweli??
Wakuu poleni na hongera kwa shughuli za kutafuta riziki.
Naomba wale wote wenye experience ya maisha ya ghetto pindi wapo chuo, mnaweza nipa muongozo mdogo wenu ni kwa namna gani nitaweza hustle kiume.
Ikiwa ni pamoja na ushauri namna ya kupambana na shughuli nyingine nje ya masomo, maana...
“Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe.
“Miaka...
Ni wazi suala la kununua Dreamliner limetupiga sana, kwa kuwa tulitegemea zingepiga route za nje na kuingiza faida lakini mambo hayajawa hivyo. Na Corona imeharibu hata zaidi.
Ushauri wangu kwa raisi ajae, Tundu Lissu au Magufuli - uza hizo Dreamliner tuweke kipaombele kwenye flights za ndani...
Wakuu habari naombeni ushauri na maoni yenu kuhusu hii chuma ya mwingereza maana inanivutia na ndo gari ya ndoto yangu msaada Wa uimara wake pamoja na changamoto zake ukizingatia Mimi ni mkulima na mda mwingi Niko porini na vipi kuhusu spea na matengenezo yake hasa ikiwa ni diesel version...
Habari wana JF,
Naombeni ushauri nataka kununua laptop kwa ajili ya graphic designing.
Je, ninunue laptop ipi?
Naomba ushauri wa brand na aina. Mkifanya description kubwa mtanichanganya.
Mfano ukisema lenovo thinkpad T350, inakuwa rahisi kwa mimi kwenda madukani na kuitafuta.
Bajeti yangu...
Mimi ni Muuguzi Mkunga katika hospitali moja ya wilaya katika Mkoa wa Dodoma. Ni mwanachama wa chama dume, chama pendwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ninatarajia kustafu kazi mwaka 2022 July 10 baada ya utumishi uliotukuka wa miaka 31.
Natarajia kupata mafao yangu ya Sh. milioni 100. Baada...
Ndugu zangu, niende moja kwa moja kwenye mada yangu, baada ya kutafuta kazi muda mrefu mpaka nikahisi nimerogwa pasipo mafanikio yeyote yale, hatimaye Mungu akaniona nikapata kazi kwenye mradi mmoja hapa hapa nchini, ndani ya mwaka mmoja nimejipinda na kujichanga aswaaaa mpaka ninapoongea na...
Habari wadau,
Ningependa kufahamu mtu anayesoma kozi TAXATION anaweza kufanya kazi sehemu zipi?
Na kati ya kozi ya TAXATION na PROCUREMENT ni ikozi ipi yenye soko zaidi
Habari zenu wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni kwamba nina idea ya kutengeneza mobile app ambayo itakuwa ni music streaming kama ilivyo spotify ama youtube music n.k.
Kama tunavyojua kwamba app kama spotify haisupport nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania labda mpaka...
Kuna binti mmoja nilimtongoza tukaelewana na lengo langu ni kuoa maana mi mambo ya pisi kali kwasasa hayana nafasi zaidi nahitaji mke kwasasa na si vinginevyo, sasa tulianza vema tukawa tunawasliana bt kuna kipindi nikahisi mabadiliko nikawa simuelewa namtumia sms mpk aje ajibu ni kesho yake au...
Habariiii
Ndugu wananchi ninaomba kushauri mambo yafuatayo kwa serikali kuanzia 2020-2025.
1.Iajiri maafsa wa kukusanya mapato wengi mpaka ngazi ya kata,kijiji na mtaa.Kazi yao kubwa itakuwa kukusanya mapato kwa ufanisi kulingana na sheria na kanuni zinavyosema.H...
Heshima kwenu wakuu" system"
Sasa ni dhahili nyie waendeleazaji na waongozaji wa Taifa mmeona ukweli ulipo. Sasa mnaona nini watanzania wanataka. Ninyi mna macho na masikio mawili mawili mnasikia na kuona kuliko mtu yeyote.
Mwaka 2015 mlitusaidia kuondokana na Lowasa japo alionekana kuwa na...
Ndugu wapendwa nimekutana na huyu kijana ambaye alisoma programme ya kikwete ualimu wa sayansi pale UDOM na kutimuliwa sasa alifanikiwa kumaliza kozi yake.
Ila anataka kusoma kozi nyingine ya degree tofauti na Education, ameomba mara ya kwanza wamemkatalia. Anaomba ushauri aombe kozi gani kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.