Ushauri kwa upande wa Serikali, zimeni Mitandao ya Kijamii upande wa CHADEMA & ACT, wana CCM hawana makosa wao waendelee kuperuzi

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2016
3,591
8,476
Serikali yetu ya Tanzania, nilikuwa nawashauri kuwa, hii mitandao yakijamii mliyozima kama inawezekana tuzimieni sisi tu waupinzani, maana ndugu zetu CCM wao hawana makosa, wanahitaji hii mitandao maana wao hawakupakua hata VPN, kwahio waoneeni huruma muwape access yamitandao lakini muwazuie upinzani tu.

Naamini hili linawezekana maana wao wanamuunga mkono JPM, kwa hiyo itakuwa hamuwatendei haki, sisi kuiokosa hii mitandao nawao waikose sio haki kabisa.

Maendeleo yanavyama, mkichagua mbunge wa upinzani siwaletei maendeleo, nakwavile makada wa ccm wao hawajasapoti upinzani basi wao watapata huduma bora kuliko upinzani.

Anzeni nahili la mitandao yakijamii muwapatie huduma bora kuliko wapinzani, nasio muwaweke kwenye kapu moja.
 
Kudadek namba tutaisoma wote hiyo miaka mitano ijayo mbona hakuna shida..
Wale mliohongwa na mnaoshabikia upuuzi wote tutaisoma namba, kuanzia polisi, jeshi la wananchi, Magereza n.k wote tunanunua bidhaa sokoni, wote tunasomesha watoto shule tutaelewana tu.

Wenzenu mkishapigania wakashinda watoto wao watasoma nje ya nchi nyie kalieni kupewa laki tatu za chakula na vinywaji mpaka akili zije kuwakaa sawa muda umeisha..
 
Serikali yetu ya Tanzania, nilikuwa naqushauri kuwa, hii mitandao yakijamii mliyozima kama inawezekana tuzimieni sisi tu waupinzani, maana ndugu zetu CCM wao hawana makosa, wanahitaji hii mitandao maana wao hawakupakua hata VPN, kwahio waoneeni huruma muwape access yamitandao lakini muwazuie upinzani tu.

Naamini hili linawezekana maana wao wanamuunga mkono JPM, kwa hiyo itakuwa hamuwatendei haki, sisi kuiokosa hii mitandao nawao waikose sio haki kabisa.

Maendeleo yanavyama, mkichagua mbunge wa upinzani siwaletei maendeleo, nakwavile makada wa ccm wao hawajasapoti upinzani basi wao watapata huduma bora kuliko upinzani. Anzeni nahili la mitandao yakijamii muwapatie huduma bora kuliko wapinzani, nasio muwaweke kwenye kapu moja.
Ooooh kumbe ndio maana ile mingese ya lumumba kina YEHODAYA na genge lao ayamo leo kujaza ma propaganda yao manina.

Sent from my MAR-LX1A using JamiiForums mobile app
 
Kudadek namba tutaisoma wote hiyo miaka mitano ijayo mbona hakuna shida..
Wale mliohongwa na mnaoshabikia upuuzi wote tutaisoma namba, kuanzia polisi, jeshi la wananchi, Magereza n.k wote tunanunua bidhaa sokoni, wote tunasomesha watoto shule tutaelewana tu.
Wenzenu mkishapigania wakashinda watoto wao watasoma nje ya nchi nyie kalieni kupewa laki tatu za chakula na vinywaji mpaka akili zije kuwakaa sawa muda umeisha..
Ma CCM huwa hayajielewi mkuu.
 
Back
Top Bottom