Leo jioni baada ya hekaheka za ziara ya viongozi wa ACT Wazalendo visiwani Zanzibar, nikaamua kupita kwenye kijwe kimoja maarufu hapa Kijitoupele.
Naikumbuka sehemu hii niliwahi kusikiliza hotuba ya komandoo mzee wetu Salmini Amour katika moja ya mikutano yake akiwa raisi alipoamua kuchekesha...
Kuna Mambo yanaumiza Sana hasa unapoona kijana au mzee akipinga wazi wazi upinzani usishinde uchaguzi. Ni haki yao, lakini hebu fikiria, ukiondoa utawala wa awamu ya kwanza na wa pili, CCM imetuongoza kwa awamu tatu tangu kuanza kwa vyama vingi vya siasa, tumeona madhaifu yao, tumeona mazuri...
Habari wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nina tatizo kubwa la kuongea Kiingereza. Nimekuwa nikipoteza fursa nyingi kwa sababu ya kushindwa kuwa fluent kwenye kuongea English.
Mimi ni mwajiriwa kwenye international NGO, nina uwezo mzuri wa kufanya kazi na zinakubalika na...
Kutokana na figisu figisu na yanayoendelea na yanayotegemewa kutokea kuhusu wapinzani kunyimwa airtime kwa maagizo toka juu ili wananchi wasipate kusikia sera za upinzani baada ya wao kutamba miaka 5 pekee yao wakiongelea vitu vilivozoeleka kwa wananchi huku wakiwa hawana kipya cha kuwaeleza...
Huu ni ushauri ninaoupeleka kwenye ofisi ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mh John Mnyika kwamba wagombea watakapozichukua fomu hizo kutoka kwenye ofisi za Tume ama kwa Wakurugenzi baada ya kuzijaza basi ni vema zikahakikiwa na ofisi kubwa kabisa za kanda ili kuondoa uwezekano wowote wa kukataliwa na...
Tangu Tundu Lissu ameingia nchini hajapata muda wa kutosha wa kupumzika.
Mara baada ya kuingia moja kwa moja alikutana na vikao vya chama tangu hapo hajapumzika tena yuko field muda wote kutafuta wadhamini.
Nashauri awe anapumzika angalau mara siku moja moja kabla ya kufunga safari ya kutafuta...
Habari ya Jumapili wapendwa
Naomba ushauri kama kuna wajuzi wa kurekebisha paa la nyumba iliyopauliwa vibaya na kupelekea baadhi ya maeneo kuvuja.
Nawakilisha🙏
Ni wazi kuwa Lissu amekuwa mwanaharakati wa kutetea haki za wananchi kwa miaka mingi, pia ni wazi kuwa kwa sasa yeye ndiye mwanasiasa pekee wa upinzani mwenye uwezo wa kumtikisa Magufuli.
Lakini kuna mambo machache ningependa kumshauri ayazingatie atakavyoendelea na kampeni zake kuelekea...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kinapokea taarifa za watia nia wanaotoa rushwa kutoka kote mikoani kila siku.
Polepole amesisitiza kuwa watu hao ambao majina yao yapo makao makuu hawatapewa fursa ya kugombea uongozi kamwe.
Chanzo: Channel ten.
Maendeleo...
Kipato cha chini... ila IST nimeweza kuimudu vyema service & maitanance.
IST ndo gari yangu ya kwanza kumiliki, ni mwaka mmoja sasa. Napenda speed, and stability matters a lot!! Ni mtu wa long trips mara kwa mara. IST NCP61 cc 1490 kwa town trips ni full enjoyment, ila kwa masafa marefu hizi...
Habari wadau, kuna binti nipo kwenye mahusiano naye na amenizalia mtoto. Sasa kajipangia na mahari kabisa kwamba nisipo toa hiyo pesa bora tuachane.
Sasa najiuliza kweli hapo kuna mapenzi?
Naombeni kushauriwa hapa kidogo, nilipata Binti tukaingia makubaliano ya kuoana, tukapanga mshenga wa kwenda kwao ila akapata dharura kidogo tukaahirisha. Tukaomba kwenda Jumatano ya week kesho kupeleka barua Kagera maana mama Mkwe wangu anatokea Bukoba.
Amesema kwa kumwambia binti yake kwamba...
Habari Wanabodi,
Naomba ushauri, kuna mdogo wangu yeye ni Mwalimu wa Sekondari alimaliza Chuo Kikuu SAUT mwaka 2014 na kuajiriwa Serikalini mwaka uliofuata 2015, alichukua Education Masomo ni Economics & Geography.
Mwaka kesho amepanga kwenda kusoma Shahada ya Pili, akanifata kuniomba ushauri...
Salam Wakuu!
Ninafahamu mna Jukumu kubwa sana mbele yenu kama chama kinachotafuta nafasi ya kuingia ikulu kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru. Mnaenda kupambana na Raisi Magufuli ambaye kwa hakika ana wafuasi wengi sana na kwa hakika wanakubali utendaji kazi wake.
Hivyo, kama heading...
Kuna wimbi la vijana wengi sana mtaani kuanzia dsm mpaka mikoani ambao kusema ukweli wanatia huruma sana ukikutana nao, ila nachojiuliza ni kitu kimoja unakuta kijana analalamika kuwa hana kazi wala mtaji lakini unaweza ukamkuta na vitu hvi either kimoja or vyote.
1. Smartphone ya ghali (iphone...
IDARA ya Ushauri wa Afya ya Marekani imeitaja nchi ya Tanzania kuwa ni miongoni mwa nchi salama ambazo wananchi wake (Wamarekani) wanaweza kuitembelea katika majira haya ya joto.
Taarifa iliyotolewa na idara hiyo na kutangazwa na kituo cha Televisheni cha CNN, imesema wananchi wake wanaweza...
Habari wanajukwaa!
Moja kwa moja kwenye Mada. Binafsi ni family ya Mke na watoto 4, Pia tupo kwenye mahusiano kwa muda mrefu kidogo takribani miaka 12. Nasikitika hatujafunga ndoa, lakini tunaishi pamoja miaka yote hiyo. Tatizo ni dini zetu ni tofauti ( Mimi ni mkristo yeye ni muislam),lakini...
KILA NIKIMUONA MTOTO WA MUME WANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA!
Kaka naomba tu unisaidie maana najikuta nashindwa haya maisha. Mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi minne sasa. Wakati nakutana na huyu mchumba wangu aliniambia kabisa kuwa ana mtoto ambaye amezaa na mwanamke mwingine, alishaachana na...
Kutokana na mambo mengi makubwa ya mageuzi ya kijamii na kiuchumi hapa nchini. Ninashauri itengwe siku moja na kuitwa MKAPA DAY mfano siku ya Utumishi wa Umma- Public Service Day, hii ni kumuenzi kutokana na mageuzi na maboresho aliyoyaasisi kwenye Utumishi wa Umma miaka ya 1995-2005.
Hayo ni...
Picha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam.
Ofisi hiyo imekuwa tofauti kabisa na ile ya Mkuu wa mkoa aliyepita bwana Sadick, ofisi ya Makonda ina kompyuta kadhaa za apple,mapambo mengi ya kila aina yanayoashiria ufahari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.