Ushauri wenu kuhusu huyu binti

hope1985

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
874
500
Kuna binti mmoja nilimtongoza tukaelewana na lengo langu ni kuoa maana mi mambo ya pisi kali kwasasa hayana nafasi zaidi nahitaji mke kwasasa na si vinginevyo, sasa tulianza vema tukawa tunawasliana bt kuna kipindi nikahisi mabadiliko nikawa simuelewa namtumia sms mpk aje ajibu ni kesho yake au asijbu kabisa, nikipiga simu pia haipokelewi. Niliamua kumuandikia ujumbe wa kuvunja uhusiano huo. Akalalamika nikamwambia sababu akasema poa.

Ikapita miezi miwili sa mwezi uliopita mwishoni nikaona namba mpya inapiga alfajiri nikiwa najiandaa kwenda kazini skupokea ilipokatika ikaingia sms kwa namba nyngne ikisema mambo pia skujibu nilipotulia nikaamua kuzicheck zle namba kujua ni nani, nlipozicheck nikakuta zina majina ya huyo binti ndo nikamjbu poa ye akapga nikapokea akaanza ooh amenimiss sjui nini

Nikamwambia ngoja mda wa breakfast takupgia kweli nlimpgia akaomba turudiane na amejirekebisha kiukweli mi namkubali sn natamani awe mke wng ingawa mimi mwanamke simpi nafasi ya kunipeleka nikiona unazngua napga chn nafuta namba bs nilimkubalia, uhusiano ukaanza upya sa cha ajabu tulipoanza upya mwanzoni hata npge simu mda gani atapokea kama ni sms atajbu faster mara mabadiliko yakaanza upya tena kupokea cm ikawa mpk yeye anitafute kujbu sms mpk yeye aamue kumulza akajbu ooh anabanwa sn kwao mmh nikamulza wewe umri huo mpk umehitimu diploma ya clinical officer bado eti kupokea tu cm hapo kwenu ni shda?

Akasema atajirekebsha sasa wiki iliyopita nilimpgia cm mida ya saa 4 usku kama ilivyokuwa kawaida yetu tukaongea akasema anasnzia sjui nn nikamwambia poa usku mwema, sa nlikuwa nafanya kaz ya ofs ni kama kuna sauti ikanambia nimpgie ile kupga namba ya kwanza haipatikani ya pili iko busy anaongea na mtu nikasubiri kama dk 20 nikapga tena nikakuta iko busy hapo inaelekea saa 6 usku nikamtext ukmalza ongea niambie nikupgie kweli akanitumia ujumbe nimpgie, nikampgia ksha nikamulza alikuwa anaongea na nani usku wote huu na ukzngatia alinambia anasinzia nikakatsha maongez mida ya saa 4 akajbu eti ooh ni dada ndo ameweka line yake humu kwny cm yng ndo alikuwa anaongea.

Mmh akawa kajchanganya maana iliyokuwa busy ni line yake si ya dada ake anayoisema. Nikamwambia staki uwongo kbs sema ukweli akajbu ooh we kosa moja tu unachukia nikamwambia mlango uko wazi kama huwez kuwa na msimamo bado unahtaji kudanga tembea.

Akajbu we kdogo tu unataka kuniacha wakati mi nakupenda sana nikakata simu na nikaizma nikalala nlpoamka asbh zkaingia sms zake skusoma nikafuta zote nikafuta na namba zake zote nikatulia nae mpk leo katulia.

Wakuu hv mtu kama huyu mnadhani ni wa aina gani bnafsi hainiumi maana staki kuendekeza kupenda mtoto wa mtu nisje ishia jera zaidi aliniambia anaumwa one day nikamtumia elf 10 bt nlitoa tu kama nimeipoteza si kutegemea lolote.

Naomba maoni yenu je huyu binti anafaa kweli? Hakika kupata mke si mchezo labda ma pisi kali yanayodhani mapenz ni biashara. Asanteni
 

malimingiii

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
901
1,000
Huyo anaonekana hajamaliza mambo yake bado. Inawezekana pia anakufanya kama “panadol” wa kusolve matatizo yake vinginevyo ana maisha mengine. Mambo yakobuma huko wewe ndio usolve
 

John henry

Senior Member
Feb 22, 2014
124
250
Huyo manzi ana mtu wake anayempenda ww ni kama backup tu ila inaonekana huyo ampendaye hana future na yeye!!Wasichana wapo wengi mkuu tafuta mwanamke anayeeleweka achana nae
 

ighaghe

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
2,172
2,000
Usiwe vuguvugu, kama unaacha acha tengeneza mahusiano mengine, sio unaacha halafu unarudi tena, Mara unune. We amua moja, hafai hafai anafaa mpiganie.. Na yeye anafatwa fatwa lazima ndo mda wake wa kuwachumbua maana soon muda utamtupa mkono.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom