ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Said Mshana

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nihakiki chuo gani kati ya hivi?

    Habari za wakati huu wana Jukwaa wenzangu, mm mdogo wenu nilifanikiwa kuomba vyuo vinne na namshukuru mungu majibu yametoka nimechaguliwa vyuo vyote hivyo nimekuja hapa kuwaombeni mnipe ushaur wenu ni chuo gani na koz gan nzur niconfirm itakayonisaidia hapo baadae. Vyuo na kozi hizo ni; 1...
  2. KISUNZU YP

    JamiiForums Tanzania USHAURI BSC. HUMAN NUTRITION AKA-CANCEL SELECTION?

    Poleni na majukumu ya hapa na pale JAMANI mdogo wangu amechaguliwa kozi hyo ya Human Nutrition ila yeye roho haitaki kabisa na kachaguliwa SUA kozi hyo na ni chuo hicho hicho tu hajachaguliwa kozi nyingine chuo chochote ana One ya 9 masomo CBG sasa JE! Akancel post ili aombe tena na je atapata...
  3. Mgiriki MTz

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nisome course gani ya afya kwa matokeo haya

    Habari wana jf,husika na kichwa cha Uzi nimesoma PCB na matokeo ni kama ifuatavyo. Phy-C Chem-C Bios-C Bam-D Sasa baada ya kuomba round ya kwanza sijabahatika kupata chuo,Naombeni ushauri ni course zip nzuri za afya ambazo naweza kupata kwa round 2. Nawasilisha.
  4. thetallest

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: RC Dar, Abubakar Kunenge usiwe Sheikh au Padri, badilika uwe mkali

    Kama kawaida yake Rais Magufuli huwa hafichi hisia zake hasa mambo yanapokwenda ndivyo sivyo katika utendaji kazi, na hii ndio hulka yake. Maneno haya kayasema leo alipokuwa akiweka jiwe la msingi stand ya mabasi Mbezi. Hii ni baada ya ujenzi kusuasua kwa visingizio hafifu. Nahisi anaweza...
  5. Zikwe

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri na Msaada Kwenye hili

    Nataka kununua kiwanja kwa Hawa Ma-Agent Wa kuuza Viwanja na Mashamba na kuna Marafiki zangu kama wawili hivi wameshanunua viwanja kwao, Kwa Upande wangu kiwanja ambacho wanataka kuniuzia kwa mujibu wa maelezo yao wanasema kuna mtu alikipenda na alishaanza Kukilipia ila akapatwa na matatizo...
  6. G.Man

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Diamond na Wasafi FM zingatieni haya

    Salam wakuu Nimepata nafasi ya kusikiliza Wasafi FM kwa siku kama mbili sasa baada ya kuwashwa kwenye mkoa niliopo, na nimeweza kusikiliza vipindi vya asubuhi kabisa(goodmorning) na cha jioni(mgahawa). Kwasababu natamani mfanye vizuri zaidi, binafsi nimeona dosari Kadhaa zinazotakiwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Mhe. Tundu Lissu, wewe ni mgombea wa urais. Sote tunatambua ya kuwa urais ni taasisi. Hivyo ni muhimu sana kwa wewe kujijenga kitaasisi ukiwa mgombea. Kwa jinsi ninavyoshuhudia katika kampeni zako wewe umekuwa ndo kila kitu yaani wewe ndo msemaji wewe ndo Katibu wa chama. Sioni haja ya wewe...
  8. mutu murefu

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu ajira za Assistant Lecturers KCMUCo

    Habari za asubuhi wana jamvi. Wiki kadhaa zilizopita chuo kikuu KCMC walitangaza nafasi za tutorial assistants na assistant lecturers wa kada mbalimbali. Mimi binafsi nilituma maombi ya nafasi mbili yaani assistant lecturer in epidemiology na assistant lecturer in public health ambazo...
  9. matunduizi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri NEC: Wekeni Sheria Mgombea atoe ahadi anazoweza kuzitekeleza miaka 5 tu

    Tunapokuja kupiga kura tunaingia mkataba wa miaka mitano na tunayempigia Kura. Mwisho wa miaka mitano tutapima aliyisema atafanya na Mapya atakayofanya tena. Kwa nini nawaza hivi. Kuna mbunge wa jimbo flani Yeye amekuwa anaahidi zahanati. Miaka 20 sasa ni mbunge lkn kila baada ya miaka mitano...
  10. Moderator

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Habari wakuu, Ni dhahiri kuwa Jukwaa letu la Biashara limesheheni mada nyingi zenye miongozo kwa wanaoanza biashara na hata wanaohitaji msaada kwa biashara zao. Kutokana na mada nyingi kuwa na umuhimu na kuwa sticky, inalazimu kuweka links za mada hizi sehemu moja kwa urahisi wa kuzifikia na...
  11. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri wangu kwa Magufuli na CCM: IKiwa Magufuli ataacha kupiga kampeni atapata kura nyingi kuliko anavyoendelea kupiga kampeni

    Huu ni ushauri wangu wa dhati na wa kweli kwa Rais Magufuli na CCM wote. Magufuli aache kupiga kampeni. Nasema hivyo kwa sababu naamini kuwa kadiri anavyozidi kupiga kampeni wapo wapiga kura lukuki anawapoteza kirahisi kabisa. Nasema ukweli na ndivyo ulivyo. Aidha kama atalazimika kuendelea...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kamata kamata na kile kinachoendelea Pemba, IGP Sirro sikiliza ushauri huu

    Mada inahusika. Nadhani wote tunaelewa kinachoendelea katika kijiji cha Kangagani huko Pemba, baada ya usiku wa kuamkia juzi tarehe 22 Septemba, 2020 , kulitokea tukio la kushambuliwa kwa mapanga waumini msikitini na baadae kujulikana walioshambuliwa kuwa makada wa CCM. Sote bila kujali...
  13. Ivan Breaker

    JamiiForums Tanzania Je, ukimaliza Diploma, unaweza kupata mkopo kwa ngazi ya Degree?

    Kama form four ulisomea shule ya serikali na ukafaulu vizuri ukaingia chuo, ukamaliza kusoma diploma kwa miaka mitatu na ukataka uendelee na degree. Unaweza kupata mkopo kutoka serikalini huko utakapofika kwenye ngazi ya degree?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa East Africa Radio: Ajirini wachambuzi wa michezo wanaolewa michezo, hasa soka

    Sio kwa hawa mlio nao aisee. Nimewafuatilia mara nyingi hawana viwango pia wamekuwa wanatabia ya "kucopy na kupaste". Kwa mfano leo walikuwa na mada ya kwanini ligi yetu inakuwa na magoli machache kuliko ligi nyingine wakaenda mbali kwa kulinganisha ligi yetu na uingereza yaani majibu ya...
  15. Von Bismarck

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kinga ya UKIMWI

    Thread is deleted
  16. Foxhunters

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kwenda chuoni kujiendeleza kimasomo, naomba ushauri wa kozi ya kusoma

    Salamu wakubwa, naomba mnikaribishe kwenye jukwaa pendwa la elimu na JamiiForums kwa ujumla. Niende kwenye Mada, mimi ni mwalimu wa shule ya msingi ngazi ya cheti GPA ya 3.9 Na niko kwenye ajira rasmi. Nahitaji kwenda chuoni kujiendeleza kimasomo. Naomba ushauri wa kozi ya kusoma ambayo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu juu ya seat covers

    Habarini wakubwa kwa wadogo? Heshima zenu. Kama kichwa kinavyosomeka; ninamiliki chombo cha usafiri ( Toyota harrier) model zinazotamba kama tako la nyani. Seat covers zake kwakweli haziendani na gari yenyewe. Ni leather ambayo tayari imepauka. Sasa nina mawili ya kuchagua kati ya kushonea au...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ushauri wa gari Suzuki Jimny

    Suzuki Jimny Wakuu naombeni msaada wenu kwa mwenye uelewa kuhusu hii gari maana binafsi ilichonivutia ni kuwa juu na pia utumiaji wa mafuta sifahamu kuhusu gharama za spare pamoja na uimara wake. Maana mim nahitaji gari ya kuzungukia kwenye shughuli zangu na kwa kuwa ninakofanyia shughuli...
  19. scientist 08

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu kwa ndugu yetu huyu

    Kisa kipo hivi, Jamaa walikuwa kwenye mahusiano na mdada miaka sita, huyu dada alikuwa amalize huu Mwaka chuo harakati za ndoa zianze, kuna miezi iliyopita Mdada alipitia kwa jamaa akitokea chuo hivyo wakafanya ya kiutuzima, badae mdada akasema amepata mimba Yake, hivyo wakatambulishana...
  20. Travis Walker

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo na Ushauri kuhusu Online Store

    Habari Wana JF, Natumai mko poa. Wakuu, nataka kuanzisha online store ningelipenda mnishauri na mpendekeze products ambazo online zinauzika. Mimi nimefikiria kuhusu Laptop na Smartphones used and new. Kutokana na gharama za ku set up store na kuiendesha. Ningelipenda mupendekeze niche zenye...
Back
Top Bottom