Msaada wa maoni na ushauri kuhusu Range rover classic

mshamba_255

New Member
May 8, 2020
3
0
Wakuu habari naombeni ushauri na maoni yenu kuhusu hii chuma ya mwingereza maana inanivutia na ndo gari ya ndoto yangu msaada Wa uimara wake pamoja na changamoto zake ukizingatia Mimi ni mkulima na mda mwingi Niko porini na vipi kuhusu spea na matengenezo yake hasa ikiwa ni diesel version natanguliza shukrani zangu.

FB_IMG_1603116528984.jpg

Tatizo moja ni classic cars ni upatikanaji wa spare parts, haswa kama parts hizo hazitengenezwi tena na manufacturer. Tatizo linaongezeka kama unakaa Tanzania, ambako 3D printing ya car parts bado haijafika.
 
Wakuu habari naombeni ushauri na maoni yenu kuhusu hii chuma ya mwingereza maana inanivutia na ndo gari ya ndoto yangu msaada Wa uimara wake pamoja na changamoto zake ukizingatia Mimi ni mkulima na mda mwingi Niko porini na vipi kuhusu spea na matengenezo yake hasa ikiwa ni diesel version natanguliza shukrani zangu.
Chukua spare zake utazipata kwenye maduka ya wahindi ya spare za Land Rover au utakuwa unaagiza mtandaoni.

Watafute Tanzania Land Rover fans au Old School Rides ujiunge nao watakusaidia namna wanavyopata spea na ufundi.
 
Back
Top Bottom