Habari wana JF,
Naombeni ushauri nataka kununua laptop kwa ajili ya graphic designing.
Je, ninunue laptop ipi?
Naomba ushauri wa brand na aina. Mkifanya description kubwa mtanichanganya.
Mfano ukisema lenovo thinkpad T350, inakuwa rahisi kwa mimi kwenda madukani na kuitafuta.
Bajeti yangu ni million 1 na nahitaji mpya.
Nb: Mimi sio mtu wa IT so lugha za kitaalam zitanichanganya.
Cc Chief-Mkwawa Moe Szyslak leloic kcamp Mjomba Fujo troublemaker Freak ISO M.CodD na wengine