Wakuu poleni na hongera kwa shughuli za kutafuta riziki.
Naomba wale wote wenye experience ya maisha ya ghetto pindi wapo chuo, mnaweza nipa muongozo mdogo wenu ni kwa namna gani nitaweza hustle kiume.
Ikiwa ni pamoja na ushauri namna ya kupambana na shughuli nyingine nje ya masomo, maana nikimaliza chuo sina mpango wa kurudi home kuwa tegemezi kwa wazazi.
NB: Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu
Ahsanteni