USHAURI: Kwa matokeo haya huyu kijana aombe kozi gani?

CHEF

JF-Expert Member
Nov 4, 2013
222
122
Ndugu wapendwa nimekutana na huyu kijana ambaye alisoma programme ya kikwete ualimu wa sayansi pale UDOM na kutimuliwa sasa alifanikiwa kumaliza kozi yake.

Ila anataka kusoma kozi nyingine ya degree tofauti na Education, ameomba mara ya kwanza wamemkatalia. Anaomba ushauri aombe kozi gani kwa matokeo haya.

1602528441952.png
Natanguliza shukrani zangu za dhati,

Ahsante!
 
Ndugu wapendwa nimekutana na huyu kijana ambaye alisoma programme ya kikwete ualimu wa sayansi pale UDOM na kutimuliwa sasa alifanikiwa kumaliza kozi yake
ila anataka kusoma kozi nyingine ya degree tofauti na Education, ameomba mara ya kwanza wamemkatalia,
anaomba ushauri aombe kozi gani kwa matokeo haya,
View attachment 1598196
Natanguliza shukrani zangu za dhati,
Aksante!
Mshauri atumie cheti cha diploma yake ya ualimu...!Hicho cha advance cna hakika sana kama atapata admission popote kwa mchuano uliopo wa mwaka huu...!
 
Mshauri atumie cheti cha diploma yake ya ualimu...!Hicho cha advance cna hakika sana kama atapata admission popote kwa mchuano uliopo wa mwaka huu...!
Asante mkuu nitamshauri hivyo, lakini vyeti vyao vya Diploma bado havijapelekwa NACTE nafikiri maana uki-upload bado havitambuliki
 
Anaweza Kusoma Course ya BAME (Bachelor or Applied Marketing and Entrepreneurship) Ambayo Inafundishwa Chuo Kikuu cha Iringa (UoI-University of Iringa) Zamani Tumaini-Iringa.

Hiyo Course inatolewa UoI Pekee kwa Hapa Tanzania na Hata Afrika Mashariki...

PM me ili nikutumie namba za simu za Admissions Officer wa Chuo au Tembelea Website ya Chuo www.uoi.ac.tz nadhani hiyo Itamsaidia Zaidi Kufikia Malengo yake
 
Back
Top Bottom