ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Masiya

    JamiiForums Tanzania Ushauri Unahitajika: NACTE March 2021 Intake. Je UCC (University Computer Center Dares salaam) inatosha?

    Wakuu naomba ushauri: KIjana anafikiria kuanza masomo ya Diploma IT jijini Dar mwezi march/april 2021 lakini vyuo vyenye March intake ni vichache. Najua UCC wana dahili intake hiyo. Swali je ajitupe UCC au afikirie kusubiri September intake ambayo ina vyuo vingi? Kwa lugha nyingine je UCC ya...
  2. Ritchy Breezy

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwenye mahusiano yangu

    Habari za muda huu GUYS... Niende moja kwa moja kwenye mada,nipo kwenye uhusiano miaka minne sasa...Nina miaka 23 na mtu wangu ana miaka 20..nampenda &ananipenda sana(tunapendana). Kwa mara ya kwanza nlikutana nae kimwili mwaka 2018 akiwa bdo virgin kipindi hivyo nasoma advance mkoa...
  3. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Naumia sana Mtu wangu wa karibu akifanikiwa, inanidhoofisha mwili

    Habari za asubuhi hii wakuu, poleni na majukumu ya hapa na pale. Nina shida kidogo inanikabili ndugu zangu, tangu nilipokuwa na umri wa miaka 15 kuna hali ndani yangu ambayo sio ya kawaida, iliyonipelekea kuwa na kama ugonjwa wa kudhoofika mwili wangu na akili. Nina umri wa miaka 38, nina...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa namna ya kumshauri...

    Kuna msg imeingia kwenye simu ya mke wangu ikitoka kwa wifi yake (mke wa mdogo wake) . Clearly ni ya mapenzi akisema wataonana na bla bla zingine; na leo kweli ameamka anasafiri kwenda mjini? Msg ilikuja kwa bahati mbaya maana alikuwa anaongea na mke wangu muda huo huo, hivyo alituma kwa namba...
  5. 5

    JamiiForums Tanzania Video: Peter Msigwa amkosoa Vikali Spika Ndugai, Ampa Ushauri huu - Sakata la Halima Mdee na Wenzake

  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais: Ili kukuza uchumi wa nchi na kupata fedha za ujenzi wa miundombinu, Mishahara ya watumishi wa umma na viongozi wa kisiasa ipunguzwe

    Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana. Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na...
  7. Manyema

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Nissan Dualis

    Wakuu tukienda moja kwa moja kwenye mada, nipo kwenye mchakato wa kubadili kababy walker kangu hivyo basi katika pita pita zangu huku na kule mtandaoni nikakutana na huyu mnyama anaitwa Nissan Dualis na akanivutia sana. Kwa hiyo nilikuwa naomba ushauri wenu kuhusu hiyo gari. Kuanzia kwenye...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzako endelea na ubunge mmeshaahidiwa kulindwa

    Ndugu wana COVID-19, nawasilimu Kwa sisi tuliowatangulia huku kitaa, Tunajuwa maisha yalivyo magumu kwa Sasa, na tunafahamu Ni kwa kiasi gani mmepata ugumu pale mlipohakikishiwa kuwa mnarudi bungeni kwenye maisha ya mshahara na posho, maisha ambayo wengi wenu mlikuwa mmeyazoea na yalikuwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake wakapate ushauri nasaha kwa Mama Sophia Simba, kuna maisha bila Ubunge wasiogope

    Nawashauri tu wale Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA kwamba badala ya kulialia kupitia media ni vema wakajifunza " subra" kwa mh Sophia Simba Mbunge wa Viti Maalum CCM. Subira ni jambo jema kuliko kupagawa na kukurupuka. Mama Sophia Simba alivuliwa uanachama na kupoteza Ubunge " halali" lakini...
  10. Mbagala stendi

    JamiiForums Tanzania Mpeni ushauri huyu jamaa

    Habari wadau.... yupo jamaa yangu mmoja kwa sasa kachanganyikiwa kabisa haelewi kitu kwa sasa anahitaji msaada wa kimawazo maana tunaweza mpoteza anataka kurisiti form six BAM (Basic Applied Mathematics) eti kuna huwezekano wa hilo jambo maana anahisi BAM imemwangusha katika kupata chuo kwa...
  11. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Harmorapa kama unanisikia: Ukitaka kuwa juu nenda WCB chap kwa haraka

    Wadau inapendeza kuwa pamoja kwa umoja. Napenda kutoa pongezi kubwa sana kwa waumini wa WCM. Natoa pongezi kubwa pia kwa Naseeb Abdul a.k.a Diamond au Dangote. Diamond ametengeneza nembo ambayo imekubalika sana na vijana wengi kwa kipindi hiki. Kukubalika huko kumeinua vijana wengi pia wawe wa...
  12. G

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

    Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na ridhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja. Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti, Katibu Mkuu CHADEMA kigugumizi cha nini sakata la Wabunge wa Viti Maalum?

    Mabibi na mabwana inafahamika kuwa safari kuelekea uhuru haijawahi kuwa rahisi. Wala safari ya kuelekea huko haijawahi na wala haitakuja kupungukiwa wasaliti. Kwamba pana mbunge bungeni anaendelea kujitanabaisha kuwa ni mbunge wa CHADEMA na mko kimya tu? Kwamba kuna watu yasemekana wamekiuka...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

    Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana. Yafuatayo ni maelezo kwenye mkutano huo kuanzia mwanzo...
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Jamani mpeni ushauri ndugu yangu, kaoa mzungu!

    Ndugu yangu kasoma Ulaya miaka mitatu. Alikuwa akiniambia ana totoz pisi kali ameoa kabisa. Wamefika airport DSM majuzi, nimeenda kuwapokea. La karibu nianguke! Bibie ana macho utafikiri indiketa za subaru! Nimshauri nini?
  16. Sputnik_1

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, nikishalala na mwanamke napoteza mzuka naye

    Habari zenu. Mie ni kijana wa kiume. Kama nilivyoandika ktk kichwa cha habari, ni kwamba nikimtongoza mwanamke akakubali, na kuwa mpenzi wangi, nikifanya nae ngono mara moja au mbili au tatu baada ya hapo nakua sina hamu nae kabisa. Naanza tafuta mpya nae nikifanya nae hivyo hivyo. Na saa...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Wanasiasa wa kweli walio ACT Wazalendo na CHADEMA

    Huu ushauri wangu hauhusishi wanasiasa njaa/ Wanasiasa Maslahi, bali wanasiasa kweli wenye uchungu na nchi yao. Waliopo kwenye siasa kwa dhumuni la kuleta itikadi mbadala inayoenda kuleta mabadiliko ya kweli nchini katika maendeleo ya wananchi yanayoongozwa na demokrasia ya kweli na sio...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA inakaribia kufa, hii ndio njia yenu pekee ya kujinasua

    Wanabodi, Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa CHADEMA, maana nimenote baadhi ya viongozi, wanachama, wafuasi wamepigwa na butwaa kwa uamuzi wa wanawake mashujaa, mashoka wa CHADEMA, kukataa ujinga wa chama chao and did the right thing. Kitendo cha CHADEMA kususa kupeleka majina ya Wabunge...
  19. Escotter20

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nichague kozi ipi kati ya hivi maana nimevurugwa

    Wakabwa poleni na majukumu, Mimi mdogo wenu nimechaguliwa kozi ya Botanical Science UDSM na mkopo nimepata asilimia zote lakini pia kuna chuo nimepata diploma ya medical labaratory, kulingana na uzoefu wenu wakubwa wa kupima uzito wa hizo kozi mbili je niende wapi? Mimi ndoto zangu zlikua...
  20. safuher

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Naomba isiwapangie bei ya kuuza cement,wachwe watumie fursa

    Naishauri Serikali yangu ambayo ina lengo kubwa la kuinua viwanda na biashara katika hasa suala hili la cement. Naomba Serikali isiingilie bei na kuwapangia wauzaji wauze kwa bei fulani na bei fulani, hii naona kama inarudisha nyuma kidogo. Acha watu wanunue kila mmoja auze kwa bei yake...
Back
Top Bottom