Naombeni ushauri kuhusu sera hizi, nichague yupi?

Duniahadaa

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
298
1,000
Mimi ni Muuguzi Mkunga katika hospitali moja ya wilaya katika Mkoa wa Dodoma. Ni mwanachama wa chama dume, chama pendwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ninatarajia kustafu kazi mwaka 2022 July 10 baada ya utumishi uliotukuka wa miaka 31.

Natarajia kupata mafao yangu ya Sh. milioni 100. Baada ya kupata mafao yangu, nilipangilia kwanza kujenga nyumba yangu ya kuishi kwa sh. 30 million, kulipia ada ya chuo kikuu wanangu wawili na zingine nijenge nyumba za kupanga ili zinisaidie kusukuma maisha. Pia nilitamani wazee wangu niwajenge pia kibanda kule kijijini. Sasa naambiwa kuna kikokotoo kinakahofanya nilipwe milioni 25 na zingine milioni 75 nitakuwa nalipwa kidogo kidogo kila mwezi hadi nife. Hii maana yake hata ile nyumba niliyopanga kuijenga ili inisitiri sitaweza achilia mbali uwekezaji niliopanga kuufanya.

Sasa nimesikia Chadema na Tundu Lissu wamekuja na sera inayokataa kikokotoo hiki. Je, nifanyaje mimi maana nimechanganyikiwa. Nimpigie Magu ile kwangu, kwa wanangu na kwa familia ya wazee wangu au NIASI CHAMA nimpe Kura Tundu Lissu ili mipango yangu itimie? Naombeni ushauri jamani.
 
lenyu

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
269
500
Wapinzani wanakikokotea mafao hatari utapata 25m tu kuanzia 2021.

Chagua Lisu ww na familiar yako na ukoo wako wote.

Akili kumkichwa mzee wangu
 
Sep 30, 2020
5
45
Mimi ni Muuguzi Mkunga katika hospitali moja ya wilaya katika Mkoa wa Dodoma. Ni mwanachama wa chama dume, chama pendwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ninatarajia kustafu kazi mwaka 2022 July 10 baada ya utumishi uliotukuka wa miaka 31.

Natarajia kupata mafao yangu ya Sh. milioni 100. Baada ya kupata mafao yangu, nilipangilia kwanza kujenga nyumba yangu ya kuishi kwa sh. 30 million, kulipia ada ya chuo kikuu wanangu wawili na zingine nijenge nyumba za kupanga ili zinisaidie kusukuma maisha. Pia nilitamani wazee wangu niwajenge pia kibanda kule kijijini. Sasa naambiwa kuna kikokotoo kinakahofanya nilipwe milioni 25 na zingine milioni 75 nitakuwa nalipwa kidogo kidogo kila mwezi hadi nife. Hii maana yake hata ile nyumba niliyopanga kuijenga ili inisitiri sitaweza achilia mbali uwekezaji niliopanga kuufanya.

Sasa nimesikia Chadema na Tundu Lissu wamekuja na sera inayokataa kikokotoo hiki. Je, nifanyaje mimi maana nimechanganyikiwa. Nimpigie Magu ile kwangu, kwa wanangu na kwa familia ya wazee wangu au NIASI CHAMA nimpe Kura Tundu Lissu ili mipango yangu itimie? Naombeni ushauri jamani.
Ni juu yako wewe ni nani na ni sera zipi huchague
 
Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
7,893
2,000
John akifanikiwa atakuwa na hasira usipime. Atakomoa na kusulubu watu Ile mbaya.

Kwanza kwa ninavyofahamu visasi vya John patachimbika. Amechukizwa Sana na tabia za watanzania kumshabikia Lisu wakati hajajenga hata choo cha stendi.
 
kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,900
2,000
Chagua Tundu Lissu (aliyefufuliwa katika wafu kuja kuwakomboa Watanzania), tumaini pekee lililobaki ktk changamoto mbali mbali za taifa letu ambalo limevurugwa na kupe wa kijani kwa zaidi ya miaka 50.
Sisiemu ndiyo wametengeneza matatizo yote tuliyonayo TZ.
 
kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,900
2,000
John akifanikiwa atakuwa na hasira usipime. Atakomoa na kusulubu watu Ile mbaya.

Kwanza kwa ninavyofahamu visasi vya John patachimbika. Amechukizwa Sana na tabia za watanzania kumshabikia Lisu wakati hajajenga hata choo cha stendi.
Hello! Hatulazimishwi kumshabikia Magufuli. Na hawezi kutusurubu kwa sababu hatujamchagua yeye.
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
1,563
2,000
Nakukumbusha tu kua CCM bado ina miradi mikubwa sana ya matrillion ya pesa tena ya thamani ya dollars! Hivyo hawako tayari kuiacha ifie njiani, Hivyo ikitokea bahati mbaya wakarudi Ikulu usitegemee mabadiriko au huruma yao eti ulipwe mafao yako yote na hicho kikokotoo lazima wakitumie tu....!

..............Nakumbuka kauli yake moja hii hapo chini,...

“Kwangu mimi ninafikiria hizi pesa tunazotoa kwa ajili ya elimu bure ni nzuri kuliko fedha hizo kuzipeleka kuongezea mishahara, naona bora kuwapa mikopo wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko kuongezea wafanyakazi mishahara,” amesema Rais Magufuli"

.....Akili yako ndio serikali yako ya mwisho kwenye kutia muhuri na sahihi ya maamuzi juu ya hitimisho lako la ufikiri!
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,017
2,000
Mimi ni Muuguzi Mkunga katika hospitali moja ya wilaya katika Mkoa wa Dodoma. Ni mwanachama wa chama dume, chama pendwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ninatarajia kustafu kazi mwaka 2022 July 10 baada ya utumishi uliotukuka wa miaka 31.

Natarajia kupata mafao yangu ya Sh. milioni 100. Baada ya kupata mafao yangu, nilipangilia kwanza kujenga nyumba yangu ya kuishi kwa sh. 30 million, kulipia ada ya chuo kikuu wanangu wawili na zingine nijenge nyumba za kupanga ili zinisaidie kusukuma maisha. Pia nilitamani wazee wangu niwajenge pia kibanda kule kijijini. Sasa naambiwa kuna kikokotoo kinakahofanya nilipwe milioni 25 na zingine milioni 75 nitakuwa nalipwa kidogo kidogo kila mwezi hadi nife. Hii maana yake hata ile nyumba niliyopanga kuijenga ili inisitiri sitaweza achilia mbali uwekezaji niliopanga kuufanya.

Sasa nimesikia Chadema na Tundu Lissu wamekuja na sera inayokataa kikokotoo hiki. Je, nifanyaje mimi maana nimechanganyikiwa. Nimpigie Magu ile kwangu, kwa wanangu na kwa familia ya wazee wangu au NIASI CHAMA nimpe Kura Tundu Lissu ili mipango yangu itimie? Naombeni ushauri jamani.
Changua moja Kati ya kua na fly over Dar au kupata pession yako yote......
 
Enlightening

Senior Member
Oct 14, 2020
124
250
Mimi ni Muuguzi Mkunga katika hospitali moja ya wilaya katika Mkoa wa Dodoma. Ni mwanachama wa chama dume, chama pendwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ninatarajia kustafu kazi mwaka 2022 July 10 baada ya utumishi uliotukuka wa miaka 31.

Natarajia kupata mafao yangu ya Sh. milioni 100. Baada ya kupata mafao yangu, nilipangilia kwanza kujenga nyumba yangu ya kuishi kwa sh. 30 million, kulipia ada ya chuo kikuu wanangu wawili na zingine nijenge nyumba za kupanga ili zinisaidie kusukuma maisha. Pia nilitamani wazee wangu niwajenge pia kibanda kule kijijini. Sasa naambiwa kuna kikokotoo kinakahofanya nilipwe milioni 25 na zingine milioni 75 nitakuwa nalipwa kidogo kidogo kila mwezi hadi nife. Hii maana yake hata ile nyumba niliyopanga kuijenga ili inisitiri sitaweza achilia mbali uwekezaji niliopanga kuufanya.

Sasa nimesikia Chadema na Tundu Lissu wamekuja na sera inayokataa kikokotoo hiki. Je, nifanyaje mimi maana nimechanganyikiwa. Nimpigie Magu ile kwangu, kwa wanangu na kwa familia ya wazee wangu au NIASI CHAMA nimpe Kura Tundu Lissu ili mipango yangu itimie? Naombeni ushauri jamani.
Mpe Lisu kura yako
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom