Tahadhari na ushauri kwa system: Msimwonee haya mtu, akishindwa achaneni naye na akishinda atangazwe

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,011
Heshima kwenu wakuu" system"

Sasa ni dhahili nyie waendeleazaji na waongozaji wa Taifa mmeona ukweli ulipo. Sasa mnaona nini watanzania wanataka. Ninyi mna macho na masikio mawili mawili mnasikia na kuona kuliko mtu yeyote.

Mwaka 2015 mlitusaidia kuondokana na Lowasa japo alionekana kuwa na wafuasi wengi lakini mlifanya maamuzi muhimu. Hata hivyo chaguo lililofata nalo limeshindwa kutufikisha Watanzania kwenye lengo.

Ninyi" system" baadhi yenu mmeona wazi wazi Kiongozi mwenye mapenzi mema na chaguo la wananchi kwa sasa.

Tunaomba muendelee kulinda heshima ya nchi yetu.

Akishindwa hakuna haja ya kumbeba mbeleko maana alibebwa na amameshindwa kujibeba na habebeki hata akipewa nafasi nyingine tena. Na akishinda basi tunaomba atangazwe ili sisi watanzania tuendelee na Rais tunayemtaka.

Asanteni na kazi njema.

Keep your eyes open!
1_ShEq-eHtVmJCuVttQ3H9fw.jpeg
 
Maalim Seif(ACT wazalendo) na Lissu(CHADEMA) mwaka huu ni wenu wa kuwaondoa wakoloni weusi , gogoki4102 kashawaonyesha kila kitu kazi ni kwenu,daftari la ZEC lina wapiga kura feki 135,000,nashangaa mpaka sasa ACT wazalendo hawajafanya analysis yeyote ya wapiga kura,majina feki yaliyomo mule ni ya wafanyakazi wa serikali wa bara including wa vyombo vya usalama, kama sisi ambao ni watu wa kawaida tumegundua inakuwaje mtu kama maalim na Zitto washindwe kugundua? Msikubali CCM wapige kura tar 27 peke yao, narudia tena msikubali....Tar 20 mpaka 27 tutaweka daftari la ZEC na majina ya watu wa bara waliomo kwenye daftari la ZEC.
 
Maalim Seif(ACT wazalendo) na Lissu(CHADEMA) mwaka huu ni wenu wa kuwaondoa wakoloni weusi , gogoki4102 kashawaonyesha kila kitu kazi ni kwenu,daftari la ZEC lina wapiga kura feki 135,000,nashangaa mpaka sasa ACT wazalendo hawajafanya analysis yeyote ya wapiga kura,majina feki yaliyomo mule ni ya wafanyakazi wa serikali wa bara including wa vyombo vya usalama,kama sisi ambao ni watu wa kawaida tumegundua inakuwaje mtu kama maalim na zitto washindwe kugundua? Msikubali CCM wapige kura tar 27 peke yao,narudia tena msikubali....Tar 20 mpaka 27 tutaweka daftari la ZEC na majina ya watu wa bara waliomo kwenye daftari la ZEC.
Gogoki1402 ndio hao hao CHADEMA na ACT. Uzuri ni kuwa ukishawaumbua tayari dili limeshafeli.
 
Mkuu hongera kwa mada yako. Nje kidogo ya mada, huwa napata shida kidogo na hili dubwana liitwalo system. Hivi hawa system ndio nani, na upatikanaji wake ukoje? Isije ikawa ni hao hao wenye mahaba mazito na CCM, kisha utegemee wafanye kinyume na matamanio ya CCM. Ungefanikiwa kunielewesha muundo wa hao system na upatikanaji wake ingekuwa vyema, ili niweze kuguess aina ya maamuzi watakayofanya.
 
Mkuu hongera kwa mada yako. Nje kidogo ya mada, huwa ninapataga shida kidogo na hili dubwana liitwalo system. Hivi hawa system ndio nani, na upatikanaji wake ukoje? Isije ikawa ni hao hao wenye mahaba mazito na ccm, kisha utegemee wafanye kinyume na matamanio ya ccm. Ungefanikiwa kunielewesha muundo wa hao system na upatikanaji wake ingekuwa vyema, ili niweze kuguess aina ya maamuzi watakayofanya.
Kumbe tupo wengi

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hongera kwa mada yako. Nje kidogo ya mada, huwa ninapataga shida kidogo na hili dubwana liitwalo system. Hivi hawa system ndio nani, na upatikanaji wake ukoje? Isije ikawa ni hao hao wenye mahaba mazito na CCM, kisha utegemee wafanye kinyume na matamanio ya CCM. Ungefanikiwa kunielewesha muundo wa hao system na upatikanaji wake ingekuwa vyema, ili niweze kuguess aina ya maamuzi watakayofanya.
System haina mafungamani na chama chochote. Ni wazalendo wa kweli wanaoendesha nchi bila wao kuwa madarakani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom