tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Video: Huyu kijana wa Arusha kaongea mambo makubwa tofauti na matarajio ya wengi

    Tazama video usikilize. Kaupiga mwingi.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tuzitambue tofauti za vyama vya upinzani (ACT, CHADEMA, CUF, nk) na Wanaharakati

    Vyama vya upinzani na wanaharakati ni makundi mawili tofauti yenye mwonekano wa kufanana lakini kiuhalisia ni yenye kutofautiana sana. Yote mawili hujinasibu kumtumikia mwananchi kwenye agenda za ukombozi, ila yakiwa na malengo tofauti. Kwenye muktadha wa siasa za hapa kwetu, agenda kuu ni...
  3. JamiiForums Tanzania Nini tofauti ya trade deals zinazofanywa na nchi za kiafrika ukilinganisha na zile zinazofanywa na nchi zilizoendelea

    Huwa sielewi. Rish Sunak asili yake ni India, nchi yake ya UK imekuwa kwenye negotiation ya trade deal na India kwa miezi mpaka wanafika sehemu wanaweka pause then wanaendelea na sometime prime minister anafanya visit na anarudi patupu. Marekani ili push UK ijiondoe EU kwamba trade deal itakuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaoponda kutoa sadaka kwa watumishi wakumbuke kila mtu hutoa sadaka, tofauti ni unatoa wapi

    Kitendo cha kutoa sadaka kimefungamanishwa na uhai wa binadamu kiasi kwamba huwezi kuishi bila kutoa sadaka. Ukizuia kutoa ili uujenge ufalme wa Mungu utatafuta pa kuipeleka. Ila lazima utatoa hata kama utaitungia jina tofauti. Tendo la kwanza mwanadamu wa kwanza kuzaliwa (Kaini na Habiri)...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wa Tanzania wana sheria zao wenyewe zilizo tofauti na sie wengine?

    Pengine labda ni ujinga wangu. Labda ni mimi tu ambaye sijui. Kama ni hivyo, basi natumaini mtakuwepo mnaojua na hamtosita kunijuza. Hivi viongozi wa Tanzania wanaruhusiwa kukiuka sheria za barabarani? Niko mjini naenda nyumbani. Nyuma kwa umbali wa mita kadhaa nasikia sauti ya king’ora na...
  6. JamiiForums Tanzania Juma Nature ni Genius: Fahamu kwanini Juma Nature hujibu maswali tofauti na alivyoulizwa na Sababu za kiroho kwanini Juma Nature alianzisha TMK

    Part one: Kwanini Juma Nature hujibu baadhi ya maswali tofauti na anavyo ulizwa? Juma Nature ni akili ya kesho. Unahitaji kutumia akili nyingi sana kumuelewa Juma Nature. Ukijaribu kumuelewa Juma Nature kwa kutumia akili ndogo basi hutomuelewa maisha yako yote. This is because, Juma Nature...
  7. JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo(HESLB) kwanini mnawakata Watumishi wapya tofauti na utaratibu?

    Wakuu habari za wakati, Iko hivi, kipindi cha maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwenye mkataba ulisema kuwa HESLB wataanza kumkata mkopaji baada ya miezi 24 toka tarehe ya kuhitimu kwake mafunzo, iwe ameajiriwa ama amejiajiri. Sasa kinachoshangaza HESLB wameanza kukata pesa kwa vijana...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA kwa sasa ikishiriki chaguzi yoyote hapa nchini inaweza kupata ushindi mkubwa tofauti na Mwaka 2020 ilipokuwa imepuuzwa na wananchi

    Wakati tunaingia kwenye uchaguzi wa 2020 kila mtanzania alishawapuuza CHADEMA. Walionekana wanasideline na watu wasioipendea mema Tanzania. Maana kila kitu walipinga . Na kauli mbiu ikawa hawataki Megastructures bali wanataka maendeleo ya watu. Sasa hivi wamerudi kivingine baada ya kuona hata...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini kutoka bara kuwa kiongozi Zanzibar ni ngumu tofauti na kutoka Zanzibar na kuwa kiongozi bara?

    WanaJF Kuna swali huwa linanitatiza kwa nini ni Rahisi sana Kwa mwanasiasa toka Zanzibar kuja kupata uongozi bara lakini ni nadra kusikia mtu wa bara kapata uongozi Zanzibar?
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini matamko ya Kanisa Katoliki kuhusu Serikali mienendo ya Serikali mbalimbali duniani huwa yanakuwa na nguvu zaidi na pengine tofauti na mengine

    Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine? Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ni sisi, siyo tofauti na sisi, tumewaajiri viongozi, tuwakosoe

    Mahojiano kabambe kuhusu utawala wetu kwa kina: Mazungumzo na Rakesh Rajani Juu ya Demokrasia |Jenerali Ulimwengu Exclusive on The Chanzo S08 https://m.youtube.com/watch?v=T6cmRer8qjo Umuhimu wa elimu kutufanya kuwa na ukombozi wa kifikra, kuchambua, kudadisi, kukosoa badala ya hali ya sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kozi ya basic truck driving veta na kozi ya heavy goods vehicle N.I.T

    Habari zenu wakubwa! Kama mada inavyo jieleza mimi nina miliki leseni ya daraja d. Ila nataka niongeze daraja mpaka e. Sasa nashindwa kuelewa natakiwa kwenda veta au n.I.T? Na je kama ni veta, nikimaliza kozi ya basic truck driving naweza pata leseni daraja e? Na je naweza ajiriwa kama...
  13. JamiiForums Tanzania Wananchi wanaotaka kuanza mazoezi wajue kupunguza mwili na kuondoa kitambi/tumbo ni vitu viwili tofauti. Six packs ni kwa wito maalum.

    Wakuu kwa mara nyingine nipo hapa kwenye jukwaa la michezo kushea mawili matatu kuhusu mambo ya michezo na mazoezi. Kuna mwamko mkubwa sana wa wananchi kupenda michezo na kujihusisha na matukio yote ya kuweka mwili fit. Ni jambo la kujipongeza kwa kweli. Vikundi vya jogging vinazidi kuongezeka...
  14. JamiiForums Tanzania Kauli za Rais Samia Suluhu na watangulizi wake ni kama hazina tofauti.

    Huyu mama alianza kazi akiwa na lugha flani hivi tamu mpaka wakati mwingine akawa anamponda aliyekua boss wake (Magufuli ila sasa hivi kaacha) kwa vijembe.baadhi ya watu wakiongozwa na chadema wakampenda na kumpa sifa zote. Sasa leo anatoa kauli ya kejeli kama hii,anatofauti gani na yule...
  15. JamiiForums Tanzania Tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Dar, Mwanza na Arusha

    Wakati tukiwa tunasubiri kuwaona Max na Pacome wakifanya vitu vyao pale mjini Chigali, tujifunze kitu kuhusu tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Arusha, Dar na Mwanza. Nitajikita zaidi kwenye behaviour ya mashuhuda wa ngumi. Hii itakusaidia wewe kijana mpambanaji unae safiri katika mikoa...
  16. JamiiForums Tanzania Nini tofauti ya ‘surveillance na intelligence services’

    Jifunzeni hayo mambo na tofauti ya sifa za hao agents. Kuwasaidia Surveillance entails techniques to gather information (know how skills, are involved). Intelligence entails being able to interpret surveillance information and make decisions (kawaida huo ni mchezo wa watu wenye akili). Uwezi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Je, Mwenyekiti wa Bunge la Katiba 2014 na Rais wa sasa, ni watu wawili Tofauti?

    Itakumbukwa kuwa, kabla ya zoezi la kukusanya maoni ya Katiba chini ya Warioba, Katiba hii ya 1977 ilitolewa copy na kugawiwa Kwa wananchi tuisome na kuelimishana vijiweni masokoni na sehemu mbalimbali na zoezi hili lilifanikiwa vizuri!! Kutuambia turudi Kuelimishwa tena na watu watu wale wale...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya maneno haya ya kisiasa

    Wataalamu wa masuala ya kiasiasa na hata wa lugha ya kiswahili naomba kujua tofauti ya maneno haya. Makamu, Naibu na msaidizi. Kuna makamu wa Rais, Naibu katibu, na Katibu msaidizi. Kwa Nini isiwe naibu mwenyekiti, au makamu wa katibu, Naibu mwenyekiti? Kwa kweli sijui kwa Nini Yako hivi...
  19. JamiiForums Tanzania Hata nchi ikienda upinzani mnaweza msione tofauti!

    Angalizo: bandiko hili linahitaji utafakari wako na sio hisia ama uchama na uchawa!. Binafsi sina Imani sana na vyama vya siasa katika makuzi ya nchi haswa kiuchumi. hii nikutokana na namna vinavyoenenda,hulka za wanachama wengi wa vyama hivyo n.k. Nimeuangalizia upinzani kwenye nchi yetu...
  20. JamiiForums Tanzania Mtaalam: Msidanganyike Kisamvu ni kile kile tu duniani kote ila ukiwa Mshamba na hujui Kuutwanga vyema na Mchi utauona ni tofauti

    Nina Visamvu Viwili vya kuchukua Mwenge na Ubungo ngoja nivifuate nije nivitwange na Mchi Mmoja niliouandaa ili nione kama hakuna tofauti au Mtaalam ndiyo Kakosea na Katudanganya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…