Mchezaji ambaye amesajiliwa na kocha mmoja katika klabu tatu tofauti nyakati tofauti

Huyu ni mchezaji ambaye amepata nafasi ya KUSAJILIWA na kocha mmoja katika nyakati tofauti kwenye klabu tatu.

Ni mchezaji wa Daraja la Juu na hata kocha aliyemsajili pia ni wa Daraja la Juu, je, Mdau umemtambua mchezaji huyo?
Pumbavu,
Kama unamtaja mtaje tu, sio kuleta utoto wa kusumbua watu. Kila mtu akianza kuleta mafumbo hapa ili wengine wataje patakuaje??

Mna utoto mwingi aisee.
 
Huyu ni mchezaji ambaye amepata nafasi ya KUSAJILIWA na kocha mmoja katika nyakati tofauti kwenye klabu tatu.

Ni mchezaji wa Daraja la Juu na hata kocha aliyemsajili pia ni wa Daraja la Juu, je, Mdau umemtambua mchezaji huyo?
Wapo wengi tu
-Mourinho na Matic (United, Chelsea, Roma)
-Anceloti na Rodriguez (Madrid, Everton, Bayern)
-Benitez na Rondon (Newcastle, Dalian na Everton)
-redknapp na Kranjcer (portsmouth, spurs na Qpr) etc.

Ila kiboko ya wote ni Neil Warnock na Paddy Kenny hawa wameenda pamoja Timu 5 tofauti.
 
Huyu ni mchezaji ambaye amepata nafasi ya KUSAJILIWA na kocha mmoja katika nyakati tofauti kwenye klabu tatu.

Ni mchezaji wa Daraja la Juu na hata kocha aliyemsajili pia ni wa Daraja la Juu, je, Mdau umemtambua mchezaji huyo?
1
Romero Lukaku - Mourinho.
2 James Rodriguez- Carlo Ancelloti
3. Nemanja Matic- Mourinho.
4. Fabio Calvaho - Mourinho
5.
 
Back
Top Bottom