matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,592
- 15,387
Kwa mujibu wa wachambuzi wa kauli za Papa. Wanadai hajasema ndoa za jinsia moja zibarikiwe, bali vitu vya hawa watu akija mmojammoja na anavitu vyake basi wasisite kuvibariki.
Kusema bora ubariki jiwe ni sawa na kusema kilekile alichokisema Papa kuwa bora ubariki Sofa au Mradi au nyumba ya mpenzi wa jinsia moja kuliko kubariki mapenzi yao.
Kimsingi binafsi napinga vyote viwili kubariki ndoa au vitu vya shoga ambaye hajakubali kuachana na uLgbtq+ wake.
Tukumbuke Yesu hakumbariki yule mama mzinzi au kubariki madela yake aliyotumia kuwatega mafarisayo. Alimpa agizo la kuacha uzinzi.
Hata mimi sikuhukumu, Ondoka zako usitende dhambi tena
Shirikisho la wenye viburi (LGBTQ+) wao wanapambana watambulike kama tunavyotambua walemavu au yatima sio kutubu na kuacha mambo hayo ya kihuni.
Hii ndio tofauti na wadhambi wengine wanapokuja kwenye madhabahu na toba zao.