Kuna tofauti gani kati ya Degree Holder aliye pita Diploma, na degree holder aliye pitia form 5 & 6 ( A level)?

Kwa masomo ya Arts... Aliyepita A levrl anauelewa mkubwa zaidi wa General knowldege kuliko wa Diploms.. Mfano.. Mtu akiyeenda kusoma HGE baadaye akaenda kusoma Uchumi, anakuwa na Uelewa mkubwa zwidi wa Dunia kuliko mwenye Diploma
 
mtz akitamka consequences
FB_IMG_1708708014212.jpg
 
Utofauti ni vyeti Ila content kuanzia diploma na degree zinafanana 70% ikiwa utasoma diploma ni bora katika degree uchukue degree tofauti.

Kuhusu uelewa inategemea na msomaji ikiwa anajiongeza kutafta maarifa nje ya yale anayopewa kutoka Kwa lecturer atakuwa smart sana.
 
Kuna tofauti gani kati ya degree holder aliye pitia diploma, na degree holder aliye pitia form 5&6.?
Nafikiri aliyepitia diploma anakuwa na uelewa wa ndani zaidi katika taaluma husika, maana amekuwa akisomea hilo eneo la utaalamu tangu hatua ya mwanzo, wa kidato cha sita anakuwa na uelewa wa juu juu. Ila katika shahada wote wana nafasi sawa, ni uelewa tu wa mhusika.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom