material ya kutengeneza shade house ni sawa na yanayotumika kwenye green house!Kila moja inaumuhimu kwa muda wake...green house/polyhouse ni suitable kwenye ukanda wa baridi,lakin shade house ni maalum kwenye joto kali kwakua yenyewe ipo designed kwaajili ya kuovercome temperature.
Shade ni gharama kidg kdg lakini matengnezo ni burematerial ya kutengeneza shade house ni sawa na yanayotumika kwenye green house!