Israel waanza kushambulia Hezbollah, tofauti na awali pale walikua wanajibu mashambulizi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,657
48,436
Siku zote tumezoea kuona Israel wanajibu rockets za Hezbollah, na wamekua wakionya hao Hezbollah wapunguze kiherehere, lakini mtoto akililia wembe mpe tu.
Sasa wameanza kupiga.
Ikumbukwe kwa Hezbollah itakua rahisi sana maana wale hawajajificha ndani ya watoto na kina mama, huwa wamejikusanya kama jeshi.
Kwa HAMAS pale Gaza imekua mtihani, Israel wana uwezo wa kuifuta Gaza kwa siku moja, kwa kuipiga carpet bombing, lakini dunia italia lia sana, hivyo wanalazimika kupigana vita vigumu sana ambavyo wanachambua magaidi ndani ya akina mama na watoto.
Kuna hata matukio ya HAMAS kuvaa buibui na kujifanya akina mama halafu wanashambulia...
=================

Israel Air Force fighter jets attacked the areas of Eita al-Sha'ab and Majdal Zon in Lebanese territory, the IDF said on Friday.

The attack destroyed several parts of Hezbollah's terrorist infrastructure, including a military site where terrorists were believed to be working.
 
Mfia dini ni wa hovyo kushinda hata msukule. Yaani hata watanzania wenzenu wanauliwa kinyama lakini eti watu hamuoni bado mnawashangilia magaidi tu.

Hakika laiti kama ingelikuwa kwamba dini ndicho chombo cha kupeleka watu mbinguni basi mimi ningeacha niende motoni kwani kwenda mbinguni ingekuwa ni usanii wa kutisha.
 
Huyo mkenya,mkenya 254
 
Wew nae unaongea tu bure! Hivi ulishawahi kubikiri wewe? Mtoto mbichi chuchu ngumu kama kitenesi. Halafu unazawadiwa 72 of them....
 
Siku zote tumezoea kuona Israel wanajibu rockets za Hezbollah, na wamekua wakionya hao Hezbollah wapunguze kiherehere, lakini mtoto akililia wembe mpe tu.
Sasa wameanza kupiga.
Ikumbukwe kwa Hezbollah itakua rahisi sana maana wale hawajajificha ndani ya watoto na kina mama, huwa wamejikusanya kama jeshi.
Kwa HAMAS pale Gaza imekua mtihani, Israel wana uwezo wa kuifuta Gaza kwa siku moja, kwa kuipiga carpet bombing, lakini dunia italia lia sana, hivyo wanalazimika kupigana vita vigumu sana ambavyo wanachambua magaidi ndani ya akina mama na watoto.
Kuna hata matukio ya HAMAS kuvaa buibui na kujifanya akina mama halafu wanashambulia...
=================

Israel Air Force fighter jets attacked the areas of Eita al-Sha'ab and Majdal Zon in Lebanese territory, the IDF said on Friday.

The attack destroyed several parts of Hezbollah's terrorist infrastructure, including a military site where terrorists were believed to be working.
UMEANDIKA KI UDAKU UDAKU...KAKOJOE ULALE
 
Habari za udaku unatoleaga wapi
 
Hizbollah kwa mikwara wako vizuri...agofu. Wataishia kutishatisha tu kwa maneno.
 
Udini mbaya sana,humfanya mtu kama zombie
Said, nalisema sana hilo kwako na huwa nakurudia mara nyingi ,nashukuru leo umejitambua. Dini haimpi nafasi ya kufikiri au hata kutafakari aliyeamini. Ndivyo wengi walivyo kwa wingi sana waislam. Wakishaaaminishwa asiyukubali uislamu adhabu yake ni kifo , hapo hata mama yako utamchinja bila hata kutafakari , kwa nini nifanye hili.
 
Back
Top Bottom