Kisiasa, Kuna tofauti Gani kati ya "HAYATI" na "MWENDAZAKE"?

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,162
22,677
Salaam, Shalom!!

Tukiwa msibani , kumeibuka ubishi hapa, Kuna watu wamegoma kabisa kulitumia Jina "MWENDAZAKE", kama lilivyotumika msiba wa Magu, Jina linalotumika kumtambulisha Mzee wetu marehemu Lowwassa ni "HAYATI".

Wajuvi wa mambo haya watujuze tofauti ya majina haya HAYATI na MWENDAZAKE Ili kupingana na msemo wa Mzee mmoja aliyetamka hadharani kuwa. "WAZURI HAWAFI".

Karibuni🙏
 
Ukitaja Mwendazake wengi wanadhani unamtaja jembe jiwe ila yote ya maana moja ila hayati ni kwa wafu mashuhuri wakati mwendazake hata wafu kapuku wanaweza itwa hivyo
Kwamba hata watu kapuku wanaweza itwa MWENDAZAKE, maarufu wote ni HAYATI!!!

Ama kweli,

WAZURI HAWAFI, na kaburini hakuwekwi AC- Mwana FA!!
 
Sio maarufu wote bali wale mashuhuri ndio wamejipendelea jina hilo mfano Rais,makamu,waziri mkuu,malkia,king etc
Kwamba hata watu kapuku wanaweza itwa MWENDAZAKE, maarufu wote ni HAYATI!!!

Ama kweli,

WAZURI HAWAFI, na kaburini hakuwekwi AC- Mwana FA!!
 
Salaam, Shalom!!

Tukiwa msibani , kumeibuka ubishi hapa, Kuna watu wamegoma kabisa kulitumia Jina "MWENDAZAKE" , kama lilivyotumika msiba wa Magu, Jina linalotumika kumtambulisha Mzee wetu marehemu Lowwassa ni "HAYATI".

Wajuvi wa mambo haya watujuze tofauti ya majina haya HAYATI na MWENDAZAKE Ili kupingana na msemo wa Mzee mmoja aliyetamka hadharani kuwa. "WAZURI HAWAFI".

Karibuni🙏
Mwenda zake hawaku mpenda na hakua sehem ya kundi lao.
Hayati walimpenda na alikua sehem ya kundi lao.
 
Back
Top Bottom