Kuna tofauti gani kati ya TV ya Hisense ya boksi jeupe na ya boksi la kaki?

Attachments

  • IMG_20240227_103838.jpg
    IMG_20240227_103838.jpg
    250.7 KB · Views: 11
  • IMG-20240227-WA0031.jpg
    IMG-20240227-WA0031.jpg
    36.3 KB · Views: 8
Habari za asibuhi wakuu,

Natamani kujua utofauti uliopo kwenye TV ya Hisense ya boksi jeupe na ile ya boksi ya kaki, na between the two ipi ni bora kuliko mwenzake?

Waatalamu wa electronics na wajuzi wengine naomba mnijuze.
moja inatoka china Nyingine inatoka South Africa.ndio utofauti huo walioniambia
 
tv za kichina nyingi packages zake huwa kwenye box la Kaki... zile zilizotoka kwenye company harisi huwa kwenye packages yenye brand color...! kila kampuni ina rangi zake za utambulisho.

ila kibongo bongo kila kitu kinawezekana...!​
vip kuhusu SAMSUMNG box zake kua za kaki
 
Habari za asibuhi wakuu,

Natamani kujua utofauti uliopo kwenye TV ya Hisense ya boksi jeupe na ile ya boksi ya kaki, na between the two ipi ni bora kuliko mwenzake?

Waatalamu wa electronics na wajuzi wengine naomba mnijuze.
Tupe picha
 
Kwa hali ilivyo likelihood ya kununua bidhaa kanyanga kwa nchi zetu ni kubwa.

Nashauri nunua kwa Authorized dealer wa Hisense, hapo upate na warranty halisi...then issue ya rangi ya box ita ji-sort.

Kama uko kkoo nenda kwa lampard electronics jengo la simba ss nadhani, utanishukuru.
 
Back
Top Bottom