tafsiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wenye Tafsiri ya video hii tafadhali

    Jionee mwenyewe.
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili

    Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili "Lugha ya Kiswahili kwa sasa ni Lugha rasmi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC), Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Umoja wa Afrika (AU). Kila tarehe...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wameshindwa kuwa na tafsiri moja ya nani ni machinga?

    Mtu ana mtaji wa shilingi milioni tatu lakini anaitwa mmachinga Kwa kuwa anapanga bidhaa zake barabarani na Halipi Kodi! Mwingine ana mtaji kama huo huo lakini kwa kuwa anauza bidhaa zake kwenye fremu, anaitwa mfanyabiashara na Anatozwa Kodi. Hivi kigezo cha kuitwa mmachinga ni jinsi mtu...
  4. SPECIAL TMN

    JamiiForums Tanzania Je, umri ulionao una tafsiri gani na maisha uliyonayo?

    Wakuu habari za leo: Naenda kwenye maada kamili hivi kuna umri ukifikia hata kama hauna kiwanja ndo basi tena? Au kila mtu na bahati yake tu kulingana na umri uliofikia?. Na je, kuna ukweli wowote ule kuhusu kuandikiwa wewe hautapata vitu vikubwa maishani mwako?. Nawasilisha.
  5. K

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo badilisheni jina la chama chenu kiwe na tafsiri cha Kiswahili

    Kirefu cha ACT WAZALENDO ni neno la kiingereza. Sisi Watanzania ni waswahili ni wakati muafaka Chama chenu kiwe kama CCM (CHAMA CHA MAPINDUZI) au CHADEMA(CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO). Jifunzeni kutoka kwa Vyama hivyo viwili. Sisi siyo Waingereza. Lini mtu wa Kibondo atajua maana ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wa Tanzania wanapenda kudhalilisha wateule wao?

    Mara nyingi Mteule wa Rais akiwaza na kutaka kutekeleza mambo kwa uwezo wake wa kufikiri lazima atumbuliwe au aonywe. It's like kuteuliwa ni sehemu yakuua maono binafsi ya mwanasiasa badala yake anapaswa kusifia tu. Nimeona namna Simai alivyodhalilishwa leo, kwamba alitaka aendeleze biashara...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tafsiri kamili ya kiswahili ya kitabu alichokuwa anakigawa mzungu kwa watoto, yaliyomo hayana tena shaka, sheria ifate mkondo !

    THE GRANDPA THAT NEVER GREW UP Kabla hujasoma kilichoandikwa ni muhimu kwanza umjue msanii Cher na sherehe za Pride Cher ni msanii mkongwe ambae ana mchango mkubwa sana kwenye itikadi za kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja, Harakati zake zilianza kipindi cha miaka ya 60 kipindi ambacho...
  8. Oya Tusepe

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ndoto mpo wapi? Njooni mnipe tafsiri

    Habari wakuu. Nimeota naoneshwa na mtu wa kawaida tu na 60 60, ni kwamba 60 moja imeandikwa juu ya nyingine. Kisha akaniambia, KIJANA HUO NDIO MWISHO WAKO. Note: Ni kwa watu wenye uelewa wa ndoto pekee
  9. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Tafsiri isiyo sahihi husababisha upotoshaji wa taarifa

    Tafsiri ya lugha inaweza kuwa ngumu na kuweza kusababisha upotoshaji wa taarifa kulingana na utofauti wa lugha, na uwezo wa mtafsiri. Wakati mwingine, maneno au misemo inaweza kuwa na maana tofauti katika lugha nyingine, na mtafsiri anaweza kushindwa kuchagua maneno yanayofaa au maneno sahihi...
  10. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Namna gani nita-file Shauri la kuomba tafsiri ya mahakama kuhusu mgawanyo halali wa Mali ya mirathi?

    Anaandika Nyemo.H Nyemo toka Facebook Habari za usiku huu, Naombeni msaada wa kisheria. Leo nimeingia kwa pilato! Iko hivi wakuu, mzazi wangu wa kiume (baba) alipofariki miaka kadhaa iliyopita nikiwa na miaka mitatu(3). Kulitokea kashkash za ndugu upande wa baba kutaka kumdhulumu nyumba...
  11. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tafsiri ya shairi zuri kutoka katika lugha ya kisukuma kuwa kiswahili

    Ndugu zangu kuna Msukuma anakijua vizuri zaidi basi please: Umo wing'we anambeleje kutafsiri Lugano lwenulu na mambo gose du. Tusaidiane tafadhali wasukuma. Nitumie tafsiri yake kupitia 0734189022 tafadhali The DEDE legend: Sukuma tradition ""Lugano lwa DEDE, lwa kabili: Dede 1 Kimala...
  12. endagulda

    JamiiForums Tanzania Hii kisheria ipoje? Simba haiwezi kutafuta tafsiri ya kisheria kwa Yanga kutumia Logo ya Simba kujinufaisha kibiashara?

  13. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta machine ya kufanya voice over ( kama zile wanazo tumia ma Dj wanao tafsiri movies kwa kiswahili)

    Anae jua nitapata wapi hii machine pamoja na bei yake anijulishe tafadhali. With much thanks in advance
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tutaenda mahakamani kwa kupata tafsiri ya Mwenyekiti wa maisha Mzee Mbowe

    Watanzania wote wanaoamini katika demokrasia ni muda muafaka wa kwenda kuomba mahakama itupatie ufafanuzi wa uwepo wa Wenyeviti wa kudumu kwenye hivyo vyama vya siasa.Kwa kuwa imekuwa ni vigumu kuwapata viongozi wapya kwenye hivi vyama kwa njia ya kupiga kura ni vyema tutafute haki kupitia...
  15. Surya

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ndoto: Kioo cha simu kupasuka

    Aina mbili za ndoto ni :- i. Symbolic dream (yenye fumbo) ii. Reality dream (isiyo na fumbo) Tangu nilipoanza kufatilia na kuandika ndoto zote ninazozipata ndoto hii ya simu kupasuka kioo ilikua ndio ndoto ya kwanza yenye fumbo mimi kung'amua kuwa napewa ujumbe gani. Kuna mambo mengi ambayo si...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ukiona mpaka navaa Condom tafsiri yake sina imani na afya yako

    Huwa nachukizwa sana na wanawake ambao katikati ya mechi anakuomba uvue Condom Weekend iliyopita nilikua na manzi flani Lodge sasa mzee mzima wakati nipo round ya tatu manzi akaniomba nivue Condom na alivoona sitaki kuvua akaniuliza "huniamini" ??? Mpaka navaa Condom tafsiri yake ni kwamba...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Makosa yatokanayo na tafsiri ya moja kwa moja (SISISI) katika Lugha ya Kiswahili

    Tafsiri sisisi [ Literal translation] Hii ni aina ya tafsiri ambayo maneno hufasiriwa yakiwa pweke pweke kwa kuzingatia maana za msingi katika lugha chanzi bila kujali sana muktadha (Mwansoko na wenzake 2006).
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya sentensi "Kuajiriwa upya check namba

    Habarini wadau, Mimi ni mdau nilie kwenye utaratibu wa kurejeshwa kazini. Nina barua yenye check namba..... inanitaka niombe kazi nionapo tangazo limetangazwa ili niweze kurejeshwa upya kwenye mfumo HCMS na kuweza kupangiwa kituo Cha kazi. Swali je nikiomba tu psrs au mamlaka yoyote ya ajira...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Septemba 30, Siku ya Kimataifa ya Tafsiri ya Lugha

    Siku ya Kimataifa ya Tafsiri huadhimishwa Septemba 30 kila mwaka ikiwa na lengo la kuwaenzi Wataalamu wa Lugha, kuyaleta Mataifa Pamoja, Kuwezesha Mazungumzo, Maelewano na Ushirikiano, Kuchangia Maendeleo na Kuimarisha Amani na Usalama Duniani. Mei 24, 2017, Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini matusi yasitungiwe sheria kuondoa hizi tafsiri binafsi za wanasiasa zinazoendelea?

    Kama kinachoendelea kwenye majukwaa ya kisiasa ni matusi nadhani ni wakati sasa nchi itunge sheria ya matusi ili polisi wafanye kazi yao kwa mujibu wa sheria siyo maelekezo. Juzi Kingu kasema atawataja maawara wa Mbowe CHadema wakasema ni matusi; CHadema wamepigania bandari na issue ya...
Back
Top Bottom