Watanzania wote wanaoamini katika demokrasia ni muda muafaka wa kwenda kuomba mahakama itupatie ufafanuzi wa uwepo wa Wenyeviti wa kudumu kwenye hivyo vyama vya siasa.Kwa kuwa imekuwa ni vigumu kuwapata viongozi wapya kwenye hivi vyama kwa njia ya kupiga kura ni vyema tutafute haki kupitia mahakama.