Hii kisheria ipoje? Simba haiwezi kutafuta tafsiri ya kisheria kwa Yanga kutumia Logo ya Simba kujinufaisha kibiashara?

endagulda

Member
Nov 21, 2014
20
34
1699965478033.png
 
Simba Kuna vilaza hawawezi kung'amua, Kama mo anatumia kampuni yake kutengeneza khanga za Simba na kuuza huku Simba hawapati hata Senti tano wataweza kuhoji kuhusu logo yao kutumika kwenye mabango
Wewe mwenyewe kilaza kama hao unaowasema. Mara ngapi simba inaweka kwenye page zake za mitandao logo ya yanga na timu nyingine huku kuna wadhamini wa Simba?
 
Ng'ombe anatoa maziwa ya kuwanywesha watu wa kijiji kizima lakini husikii kelele yoyote kutoka kwa ng'ombe huyo lakini sasa kuku kataga yai ambalo halimshibishi hata mtoto mchanga mmoja hapo hapo kijijini kuku huyo atapiga kelele mpaka sayari ya Neptune watajua kuwa kuna kuku kataga yai wakati ng'ombe aliyetoa maziwa yupo zake kimya. Elewa neno ng'ombe, kuku, maziwa, yai
 
Yao halimshibishi mtoto 'mchanga'!?..ushawahi sikia mifano hai na mfu!?
 
Back
Top Bottom