tafsiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya ndoto hii, imekuwa ikijirudia mara kadhaa

    Habari za asubuhi, naomba mnisaidie waungana kama kutakuwa na mtu ana uelewa na ndoto. Ni mara kadhaa sasa nimekuwa nikiota nimeibiwa hereni zangu, nahitaji kujua maana ya hii ndoto. Inasemwa kwamba kila ndoto mtu anayoota inakuwa na maana, naomba msaada katika hili Asanteni.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Naombeni tafsiri ya ndoto hizi

    Ni muda sasa nimekuwa napitia mazingira magumu sana ya kimaisha ajira ikiwa kwangu ni jambo lisilotatulika pamoja na kutegemewa na familia niliyonayo. Nimekuwa nikijitahidi sana kutafuta kazi kwa nguvu nyingi but naishia kuambulia patupu. Jambo ambalo limekuwa likinikosesha raha ni namna ya...
  3. Surya

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na Polisi au Mwanajeshi kwenye ndoto nini Tafsiri yake?

    Kati ya ndoto ambazo ni rahisi kupata tafsiri yake basi ni zile ndoto unapokutana na watu wa usalama katika ndoto. Mambo ni mawili, polisi anaweza kuwa upande wako (polisi mzuri) au polisi anaweza kuwa against na wewe (police mbaya). Police mzuri - Malaika. Police mbaya - Majini (roho chafu...
  4. comte

    JamiiForums Tanzania UHAINI: Tafsiri sahihi ya kosa na adhabu yake kwa mujibu wa Sheria za Tanzania

    Uhaini ni kosa la jinai, kwa tafsiri nyepesi ina maana kwamba ni kosa kubwa ambalo mtu analifanya dhidi ya nchi yake na mtu anyefanya kosa hili anajulikana kama msaliti, mfano wa watu wasaliti wanaojulikana duniani ni Yuda ambaye kidini alimsaliti Yesu, mwingine ni Benedict Anold huyu jamaa...
  5. kufanakupona

    JamiiForums Tanzania Orodha ya ndoto (karibia zote) na maana yake

    NDOTO ZA UTAJIRI 1. 777 -Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7. 2. UNAHIFADHI PESA SEHEMU SALAMA. Sehemu salama kama kwenye kopo, droo, benki n.k 3. Kuokota pesa za sarafu za zamani. 4. Unafanya mtihani na umefaulu kwa alama za juu hadi unasifiwa. 5. Mwanamke kuota amejifungua mtoto wa kike...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Nipeni tafsiri sahihi ya I saw him leaving the house

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Naombeni tafsiri sahihi kwa kiswahili ya sentensi I saw him leaving the house Aksanteni na karibuni
  7. mrdocumentor

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya neno "Nimekubali kuolewa"

    Nimerudi tena kuzungumzia Suala la ndoa hususan pale mtu anapokiri kuwa "nmekubali kuolewa" anamaanisha nini? Inawezekana kuna kundi kubwa la wanawake sasa hivi wanatoa machozi majumbani na kujilaumu wenyewe kutokana tu na kutoelewa tafsiri ya hayo maneno machache, Leo tutaenda kuangalia hapa...
  8. Surya

    JamiiForums Tanzania Ndoto ukifanya mapenzi na mtu UNAYEMJUA, Tafsiri yake

    Nadhani hii ndio ikawa sababu kubwa ya kwanini watu wengi wanakua wagumu kuamini kuwa kila ndoto unayoipata inakuwa na maana na umuhimu wake. Lengo kuu la ujumbe wa ndoto ni i. Kupewa maelekezo nini cha kufanya (mawazo) ii. Maonyo (warning) iii. Kuoneshwa mambo ya mbele yatakayokuja kutokea...
  9. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ndoto niliyoota leo

    Tumsifu Yesu Kristo taifa la Mungu,Bwana Yesu asifiwe wapendwa, ndugu zangu upande wa pili ktk Imani Amani ya Mungu iwe nanyi. Ilikua mnamo saa Tisa usiku wa Leo niliamka ili niweke simu chaji na pia ni kawaida yangu kukagua mazingira nione Kama Pana ugeni wowote nje toka kwa mawakala wa yule...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Maneno 'Usalama wa Taifa' kutumiwa kwenye Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi bila kupewa tafsiri yanaweza kutumiwa vibaya kwa uonevu

    Kwa mujibu wa Kanuni za Usalama wa Taifa, Uhuru wa Kujieleza na Upatikanaji wa taarifa za Johannesburg 1996; zuio kwa misingi ya 'Usalama wa Taifa' haliwezi kukubalika endapo lengo halisi ni kulinda maslahi yasiyohusiana na Usalama wa taarifa. Zuio kwa misingi ya kulinda Usalama wa Taifa...
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii ndio tafsiri ya kilichotokea katika jaribio la mapinduzi lililofanyika na Majeshi ya Wagner

    Kumuelewa Putin inabidi angalau uwe umesoma kakitabu kadogo kanaitwa Arts of War by Tsu Nzu. Siku ya jaribio la mapinduzi la mchongo lililofanyika Jana na Majeshi ya Wagner ilikuwa ni siku maalumu ambayo wameitumia kusogeza majeshi ya Wagner kilometer 100 kuelekea Kiev. Yaani kama kiev ingekuwa...
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii tafsiri ya cheti cha ndoa, ikusaidie kujitafakari sana kabla hujakisaini

    Ndoa kiroho ni agano. Unaposaini cheti cha ndoa au unapoingia agano hilo kwa makubaliano mengine yoyote unatakiwa ujue unachokiingia. Siku hiyo unasaini hati ya Kufanikiwa kwako au kufeli kwako maishani Furaha yako au huzuni yako hadi unaingia kabrini. Maisha ya migogoro au amani Nini...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mimi ni Mtanzania na Tanzania ni moja, haigawanyiki wala haiuziki

    Rais Samia akizungumza na Wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya kuwasili kwa Ziara ya Kikazi leo Juni 12, 2023. Akitoa Salamu kwa Wananchi wa Jiji la Mwanza waliojitokeza kwenye uwanja wa Ndege kumpokea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni Nchi...
  14. OLS

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu ashauri baadhi ya ibara ndogo katika ibara ya kwanza zifutwe kwenye mkataba na DP-World

    Ibara ya 1 ya makubaliano na serikali ya UAE kinatoa kwanza tafsiri ya maneno yaliyotumika kwenye mkataba. Neno “Project Company” limeandikwa kuwa litamaanisha DP-World au kampuni iliyosajiliwa nchini Tanzania (ikiwa ni Kampuni Tegemezi ya DP-World) ambayo imeingia Mkataba wa Mradi kwa ajili ya...
  15. Myebusi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Naombeni tafsiri ya Ndoto inayohusu uzinzi na kukutwa nyumbani na nyaraka za ofisini

    Nimeota nimeenda kupanga nyumba, ila chumba changu sikukipanga, vitu nikawa nimeviweka tu shaghala bagala. Kwenye hiyo nyumba niliyopanga, kulikuwa na wasichana wawili warefu, mmoja mnene kidogo, basi nikawa mgeni wao, yaani nawalala wote kwa pamoja, hata sebuleni na popote nawalala tu. Sasa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Mkulima kuwafungulia kesi vigogo Mwigulu, January, Kabudi na Mbarawa

    Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG. Chanzo: Jambo TV
  17. B

    JamiiForums Tanzania Galants kumtoa Monastry na Yanga kutopata bao kwa Mkapa kunaleta tafsiri gani?

    Wananchi ni wazi tupo kinywani mwa Galants, vipi kutoboa kupo kweli au tusubiri kutimiza wajibu maana Rivers jinsi walivyocheza leo ni kama hawakuhitaji ushindi au ni timu ya kawaida ukilinganisha na Galants. Muda ni Mwalimu mzuri ngoja tusubiri.
  18. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Tupac and Jada; Naomba tafsiri ya maneno 'Regal grace'.

    Nilikuwa ninasoma kitabu hiki cha Mashairi ya Tupac. Nimekutana na shairi hili ambalo Tupac akimsifia mwanamke wake Jada. Hapa mwamba anasema Jada alimfanya 'avunje dafu' mara mbili, tena kwa Regal grace. Naomba kujua, hili neno maana yake nini?
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Naombeni tafsiri nimeota mpenzi wangu Irene kajifungua mapacha

    Hello family, Nisaidieni tafsiri ya ndoto hii nimeota mpenzi wangu Irene mtoto wa Hedaru mwenye Babu na Bibi wa huko Gonja Kighale amejifungua mapacha wote wa kike, ni mpenzi wangu miezi sita sasa, wakati huu hana mimba imekuwaje nimeota hio ndoto ya namna hii? Saidieni tafadhari tujenge...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye mfungo vyakula vinapanda bei, biashara ya pombe, kitimoto na gesti ngumu. Hii ina tafsiri gani?

    Ebu tuelimishane, Kwanini kwenye mfungo wa Ramadhan vyakula vinapanda bei? Kwanini bar, gesti na kitimoto biashara inakuwa ngumu kwenye mfungo? Mimi nilitegemea biashara ya chakula iwe ngumu maana si watu hawali chakula. Na kwa biashara za bar na kitimoto ziendelee kama kawaida maana...
Back
Top Bottom