tafsiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tarehe 30/9 ni siku ya tafsiri duniani. Chukua zawadi yako

    Kila mwaka tarehe 30/9 dunia inaadhimisha siku ya Tafsiri duniani. Siku hii ilianzishwa ili kumuenzi Mtakatifu Jerome aliyefariki tarehe 30/9/420. Huyu alifanya kazi kubwa ya kufasiri biblia na hujulikana kama baba wa watafsiri/wafasiri. Chukua zawadi yako hapo. Usisahau kuinstall app ya...
  2. Mandela5599

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ndoto ya kurudi nyumba uliyokuwa unaishi zamani au kurudi kijijini kwenu

    Kuota unarudi kijijini ulipozaliwa, ulipoishi zamani. Umelala au kuingia kwenye nyumba ya zamani ya kijijini kwenu ambapo pengine hiyo nyumba haipo tena. Kuota upo kijijini kwenu na kuona unapitia mazingira flani huko maana yake ni kwamba; Matatizo ulionayo kwa wakati huo chanzo chake ni huko...
  3. Mama Mwana

    JamiiForums Tanzania Ninaomba tafsiri ya ndoto hii

    Hamjambo, Usiku wa kuamkia leo nimeota nipo kwenye mji mwingine, ni kama "lost city" ambapo hakuna mtu lakini majengo yake ni makasri, kama yale kwenye filamu za katuni, mfano jengo la Disneyland. Nimeota hayo majengo ni chakavu, na nje kuna sanamu za farasi aliyepandwa na mtu akiwa...
  4. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

    Mwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu, vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke wako any time, majukumu ya utafutaji yanakuandama, kitanda plus ada za watoto zinakusubiri. Lakini...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Dola(katika siasa) kwa tafsiri ya Kiswahili ni nini? Kwa Kingereza "dola" inaitwaje?

    Hili neno huwa nasikia linatamkwa tu ila sijawahi kuelewa maana yake kwa Kiswahili au Kingereza, Dola ya Kirumi Dola ya Kimarekani Vyombo vya dola Kushika dola Kingereza cha "dola" ni nini?
  6. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa tafsiri za ndoto tuonane hapa

    Habari ndugu zangu Naomba kufahamishwa. Ndoto kuhusu kusafisha choo zinaweza kuwakilisha kitu gani,tafsiri yake ni nini katika ulimwengu wa mwili? Asante.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni tafsiri ya maendeleo kutoka Kwa lazern muisraeli aliyeishi sana Cameroon,

    "watu duni kifikra hudhani ujenzi wa miundombinu ni maendeleo, yaani barabara, reli, madaraja, hayo sio maendeleo ni mahitaji ya eneo husika tu" Hayo hapo juu ni maneno ya rafiki yangu mmoja kutoka moja ya nchi zilizoendelea na katika maongezi aliendelea kueleza yafuatayo. Mtazamo wa maendeleo...
  8. Tatu

    JamiiForums Tanzania Update: Naomba Neno Moja tu la Kingereza Ambalo Halina Tafsiri Rasmi ya Kiswahili.

    Kama kichwa cha Habari kinavyosema, zaidi ya wiki sasa imepita toka nilete hii changamoto iliyopo katika lugha yetu ya Kiswahili. https://www.jamiiforums.com/threads/naomba-neno-moja-tu-la-kingereza-ambalo-halina-tafsiri-rasmi-ya-kiswahili.2228322/page-9#post-50651130 Nashukuru kwa wale wote...
  9. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Anaeijua tafsiri ya wimbo wa affaire d'etat wa Koffi Olomide anisaidie hapa

    Hii ngoma ni kali sana na nmeisikiliza bila kujua tafsiri yake kwa muda mrefu sasa, Naona tu kina Boure mpela, Soleil wanga, fally ipupa, Bebe kero, Brigate sarbati, na Fally ipupa wakilalamika bila kujua wanamaanisha nini https://youtu.be/xtE9cdjeoh0?si=RG2Qy-xTNaNwK9JL Hebu mwenye tafsiri...
  10. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania msaada wa tafsiri ya ndoto hii.

    nimeota kuwa nipo class na wenzangu mwalimu/msimamizi akatuambia who want do survey?and if there's no any body please join to examination room. mimi binafsi sikuwa na chaguo nikabakia baadae nikaona ndoto imenipeleka sehemu n6je ya chumba tunapanga madawati kwa ajili ya mtihai ila sharti la...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ukahaba/Umalaya ni kosa la jinai kwa sheria zipi na tafsiri ya ukahaba ni ipi kisheria nchini Tanzania?

    Nimekuwa nikiona viongozi hasa wa mkoa wa Dar es Salaam na wilaya zake wakiendesha oparesheni mbalimbali za kukamata wanaoitwa makahaba pamoja na kufunguia kile wanachokiita madanguro. Ningependa kufahamu ukahaba na biashara ya madanguro ni makosa kulingana na sheria zipi za nchi ya Tanzania...
  12. WAPEKEE_

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya movie ya Sisu na somo la kujifunza - by Wapekee

    SISU - Ni neno la asili ya Ki-finland, lisilo na tafsiri ya moja kwa moja, lakini lenye dhima ya kuonesha ujasiri na maamuzi magumu yasiyofikirika. Sifa hii ya SISU hujidhihirisha wazi pale ambapo matumaini yote hupotea. Vita ya pili ya dunia ilikuwa inaelekea kumalizika na Ujerumani kinara...
  13. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inafeli sehemu moja tu,Dola ni tafsiri pana isiyo mipaka.

    Dola ni chombo cha usalama wa nchi ambapo ndani yake kuna lengo la kupanga na kuratibu mambo yote ya usalama, kuhakikisha ufanisi wa sera sera na utekelezaji wake katika maendeleo pamoja kuchambua na kutafsiri sheria,sera na kutuza utamaduni. Sometimes Dola huangaliwa kama ni chombo cha Usalama...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuota unavua samaki kwa ndoano? Hii ndio tafsiri yake

    Ingawa mimi sio mtu ninayeamini sana katika ndoto ila kama wewe unaamini basi watalaam wako wa mambo hayo ya kutafsiri ndoto wamesema Uvuvi na ndoano katika ndoto ni ishara kwamba mtu anayeota ndoto atapata riziki nyingi za halali na nzuri. Mwanamke aliyepewa talaka akiona akiwa amelala anavua...
  15. Kitotole

    JamiiForums Tanzania Wimbo: Cavalier solitaire mwimbaji: JB Mpiana ft Papa Wemba tafsiri: Sule Mkandarasi

    𝙒𝙄𝙈𝘽𝙊 : Cavalier Solitaire 𝙈𝙒𝙄𝙈𝘽𝘼𝙅𝙄 : J.B MPIANA ft PAPA WEMBA 𝙏𝘼𝙁𝙎𝙄𝙍𝙄: 𝙎𝙐𝙇𝙀 𝙈𝙆𝘼𝙉𝘿𝘼𝙍𝘼𝙎 𝙒𝙖𝙨𝙬𝙖𝙝𝙞𝙡𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙨𝙚𝙢𝙖 "𝙐𝙢𝙗𝙖𝙡𝙞 𝙣𝙞 𝙨𝙬𝙖𝙡𝙖 𝙙𝙤𝙜𝙤 𝙨𝙖𝙣𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙬𝙖𝙬𝙞𝙡𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙤𝙥𝙚𝙣𝙙𝙖𝙣𝙖" 𝙃𝙞𝙞 𝙞𝙣𝙖𝙢𝙖𝙖𝙣𝙖 𝙮𝙖 𝙠𝙬𝙖𝙢𝙗𝙖 𝙞𝙠𝙞𝙬𝙖 𝙬𝙖𝙬𝙞𝙡𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙥𝙚𝙣𝙙𝙖𝙣𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙙𝙝𝙖𝙩𝙞 𝙗𝙖𝙨𝙞 𝙝𝙖𝙬𝙖𝙩𝙤𝙬𝙚𝙯𝙖 𝙠𝙪𝙩𝙚𝙣𝙜𝙖𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙩𝙤𝙠𝙖𝙣𝙖 𝙣𝙖 𝙨𝙖𝙗𝙖𝙗𝙪 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙞𝙨𝙝𝙞 𝙢𝙗𝙖𝙡𝙞 𝙢𝙗𝙖𝙡𝙞...
  16. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hii ndio maana au tafsiri halisi ya wadudu

    Hapo vip!! Nimeona niwape tafsiri halisi ya hili jina la wadudu kutokana na waazilishi wenyewe. Kama unavyoelewa Arusha ni mji ambao ukikaa vibaya unasababishiwa mauvi chap. Kwanza kwa tafsiri ya kawaida mdudu ni kiumbe kidogo ambayo kinaweza kuishi ndani ya kiumbe kingine..mfano kuna...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wenye Tafsiri ya video hii tafadhali

    Jionee mwenyewe.
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili

    Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili "Lugha ya Kiswahili kwa sasa ni Lugha rasmi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC), Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Umoja wa Afrika (AU). Kila tarehe...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wameshindwa kuwa na tafsiri moja ya nani ni machinga?

    Mtu ana mtaji wa shilingi milioni tatu lakini anaitwa mmachinga Kwa kuwa anapanga bidhaa zake barabarani na Halipi Kodi! Mwingine ana mtaji kama huo huo lakini kwa kuwa anauza bidhaa zake kwenye fremu, anaitwa mfanyabiashara na Anatozwa Kodi. Hivi kigezo cha kuitwa mmachinga ni jinsi mtu...
  20. SPECIAL TMN

    JamiiForums Tanzania Je, umri ulionao una tafsiri gani na maisha uliyonayo?

    Wakuu habari za leo: Naenda kwenye maada kamili hivi kuna umri ukifikia hata kama hauna kiwanja ndo basi tena? Au kila mtu na bahati yake tu kulingana na umri uliofikia?. Na je, kuna ukweli wowote ule kuhusu kuandikiwa wewe hautapata vitu vikubwa maishani mwako?. Nawasilisha.
Back
Top Bottom