tafsiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya kumpa Mzanzibari Wizara ya Fedha?

    Waziri wa Fedha mteule ni Mh. Balozi Khamis Mussa Omary. Huyu ni Mzanzibar, ndiye mrithi wa Mwigulu Lameck Nchemba. Unapata tafsiri gani kwa mzanzibar kupewa Wizara nyeti ya Fedha?
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya 912 kiroho

    Maana ya kiroho ya namba 912 mara nyingi hufasiriwa kupitia nguvu zilizojumuishwa za namba zake binafsi (9, 1, na 2) katika hesabu na mapokeo ya kiroho. Hapa kuna mchanganuo wa ishara yake kama zinavyoonekana Maana ya Msingi ya 9: Inawakilisha mwamko wa kiroho, mwangaza, upendo wa ulimwengu...
  3. The outpost

    JamiiForums Tanzania Walioelewa hiki kibonzo cha Masoud Kipanya naomba tafsiri yake

    Siku ya leo katika mitandao ya kijamii kuna hii katuni nimekutana nayo, imenitafakarisha sana lakini nimeshindwa kuelewa umaana wake hivyo nimeona haja ya kuileta hapa jukwaani nieleweshwe
  4. B

    JamiiForums Tanzania JAMHURI YA PLATO — Tafsiri ya Mwisho ya Mwalimu Julius K. Nyerere

    18 October 2025 JAMHURI YA PLATO — Tafsiri ya Mwisho ya Mwalimu Julius K. Nyerere https://m.youtube.com/watch?v=fiC1cODelxU “Jamhuri ya Plato” ni kazi adhimu ya falsafa iliyoandikwa na Plato, na hii ni tafsiri yake ya Kiswahili iliyofanywa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Hii ndiyo kazi...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Vibe la SIMBA ukiwa wa YANGA na tafsiri za kiroho

    Lissu kiroho ni SIMBA kiushabiki ni YANGA.. Lissu ni mwanamageuzi kindakindaki kupitia CHADEMA.. Timu yake ya YANGA Ina vinasaba na CCM anapata tabu sana. Lakini kwa hakika akipewa machaguo mawili kati ya yanga na CHADEMA! Kwa asilimia 100 atachagua CHADEMA Tamasha la SIMBA day limetoa...
  6. PLOII

    JamiiForums Tanzania AFRIKA MASHARIKI WE LACK FOOTBALL CIVILIZATION, COURTESY & COMMON PRINCIPLES; goli la tatu na la ushindi kwa Morocco ni tafsiri ya perfect brain.

    Happy Sunday Wana JF, Sina maneno mengi nadhani Wana sports fainali tulitazama wote iliyofanyikia pale Kenya. Nilishawahi kusema Morocco ni football brain na Jana wameonyesha hicho kitu, nawaza tu kwa wachezaji wetu nani angewaza ku- shoot vile ( out of sarcasm). Tuna Cha kujifunza kutoka kwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hasa tafsiri ya Nabii Katika Agano Jipya

    Salaam, Shalom! Palikuwepo manabii wengi Katika agano la kale, mfano Adam, Nuhu, Musa, Elia, Nehemiah, Daniel nk nk. NABII katika Agano la kale na kuishia kwa Yohana Mbatizaji,waliishi maporini kujitenga na UOVU kuepuka kuona, kusikia UOVU Katika mikusanyiko ya watu, ingawa SI wote, manabii...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Lissu tupeni tafsiri ya "kukinukisha vibaya sana" ili tujue tujiandae vipi?

    Nilimsikia mh. Lissu kwenye Moja ya mikutano yake akisema, kuahidi na kuapa kuwa watakinukisha vibaya sana siku ya uchaguzi 2025. Ukweli sisi waoga tulishikwa na hofu kuhusu kauli hii adimu kuisikia. Shida yangu ni kwamba sijui kukinukisha vibaya sana ni nini, watatumia nini kunukisha, kwa...
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Una habari? Biblia ya King James ni Tafsiri iliyolindwa na Mungu kwa miaka zaidi ya 400!

    Kuna watu wanaohoji uhalali wa tafsiri ya Biblia ya King James Version (KJV). Wengine wanasema ni ya zamani, haieleweki kwa kizazi cha sasa, au kwamba kuna tafsiri mpya zilizo sahihi zaidi. Lakini je, kweli tafsiri mpya ni bora zaidi, au tuko kwenye harakati za kupunguza uzito wa Neno la Mungu...
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Je, Mahakama Yetu Inashindwa Kufanya Tafsiri Sahihi ya Sheria au Inatumika Kisiasa?

    Kesi ya Tundu Lissu inaendeshwa kihuni, bila kuzingatia principles of fair trial. Badala ya mahakama kuwa independent interpreter of the law, imejigeuza political tool. Mawakili wa Jamhuri wanatumia vifungu kama s.89 & 384 Penal Code ambavyo havihusiani na hoja ya msingi. Huu ni ukiukwaji wa...
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Naombeni tafsiri ya huu wimbo kwa muktadha wa siasa za Bongo

    https://youtu.be/mpNrmB_Qe6U?si=mbUaIlbrDNWvaiyY
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nimejitahidi sana nitafute kitu cha kusifia kwenye huu utawala sijakiona kama kuna ameona nisaidie labda tafsiri yangu Ina shida

    Kuna jitihada kubwa sana za kujaribu kutukuza na kusifia kila kitu kilichofanyika nchini na kwa bahati mbaya inaonekana kuna wasifiaji wengine ukimuangalia sura yake unajua kabisa kuwa amesamehe akili yake ili asifiwe kwa maslahi binafsi. Niwaambie ukweli sioni chochote cha kusifia kwa sababu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kiroho mechi ya Yanga na Simba. Yanga atashinda

    hebu tuangalie utabiri wa mechi ya YANGA SC dhidi ya SIMBA SC tarehe 25 Juni 2025 saa 10 jioni, kwa kutumia numerology – sayansi ya kiroho ya namba, ambayo huangalia msingi wa namba ya tarehe, majina ya timu, na muda wa tukio 1. Jumla ya Tarehe: 25 Juni 2025 Tutazijumlisha tarakimu zote za...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge anasakwa kama mnyama, bunge limekaa kimya!, nini tafsiri yake?

    Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!. Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote...
  15. SwahiliScribe

    JamiiForums Tanzania Unahitaji huduma za maandishi, tafsiri au uhariri?

    Habari Wana Jamiiforums! Kama wewe ni mwanafunzi, mfanyabiashara, blogger, YouTuber, au mtu yeyote wa kawaida anayehitaji msaada wa haraka na bora katika kazi za maandishi na content. Usihangaike tena! NATOA HUDUMA ZIFUATAZO: Kuandika Articles & Blogposts kwa tovuti, mitandao ya kijamii au...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa atakuwa mbunge wa kawaida kama Kisasa kwenye bunge lijalo?

    Waziri mkuu yupo kwenye vikao nje ya nchi. Mkutano mkuu wa chama unaendelea. Means amekosa fursa yakunong'ona na wajumbe. Mkutano huu kwenye analysis ya kisiasa alipaswa kukosa? Kwanini atumwe nje dakika hizi? Unaweza kumshauri ajiandae kumwachia Doto kiti?
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ipi tafsiri yako ya neno " Kuvuruga amani" ?

    Kuna tafsiri nyingi ya neno hili lakini tafsiri hutofautiana kutokana na mtu anayelitamka. Kuvuruga amani maana yake ni kitendo cha kuwafungua akili wananchi na kuwaeleza kuwa rasilimali zenu zinaliwa na watu wachache amkeni. Yes, wakiamka kwa mazingira hayo amani haiwezi kutulia lazima...
  18. HenrysoN

    JamiiForums Tanzania LILITH: Mwanamke wa Kwanza Kabla ya Hawa? Ukweli, Fumbo na Tafsiri

    🔍 UTANGULIZI Katika simulizi nyingi za Biblia, tunafundishwa kuwa mwanamke wa kwanza alikuwa Hawa (Eve), aliyeumbwa kutoka ubavu wa Adamu. Lakini katika maandiko ya kale zaidi hasa yale ya Kiebrania, Kabbalah, na maandiko ya Kiyahudi ya kale kuna jina jingine linalojitokeza: LILITH. Lilith ni...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Inavyoonekana kwa tafsiri ya utawala wa mama njia ya kudhibiti wapinzani ni kuwapiga kuwaumiza na kuwapoteza

    Ni kama serikali imeshastuka kwamba wakienda kikawaida kwa kufungua kesi mahakamani, huenda wasipate kabisa mwenye hatiainayostahili adhabu ambayo wangeitamani kuona watu wenye mawazo kinzani. Kwa kujua hilo ndio maana sasa kuna kitisho kikubwa sana kwa yeyote anayeonekana kwenda kinyume na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Rwanda ni tafsiri halisi ya vile reli ilivyo ndogo ila inaweza kubeba matreni, uwezo wao katika medani za kivita unakuwa kwa kasi, sio wa kuwabeza.

    Hawa jamaa wanazidi kujijenga kijeshi kwa speed ya radi, uwezo wao wa sasa sio wa miaka 10 au 20 iliyopita, wame transform mambo mengi, Jeshi la Rwanda limewezesha kuondoka kwa wanajeshi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kutoka eneo la mashariki mwa DRC, kwa kuwasindikiza...
Back
Top Bottom