Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 879
- 4,125
Kama kinachoendelea kwenye majukwaa ya kisiasa ni matusi nadhani ni wakati sasa nchi itunge sheria ya matusi ili polisi wafanye kazi yao kwa mujibu wa sheria siyo maelekezo.
Juzi Kingu kasema atawataja maawara wa Mbowe CHadema wakasema ni matusi; CHadema wamepigania bandari na issue ya ngorongoro wameambiwa ni matusi kwa sababu wanapingana na watawala......
Haya mambo yaondoke kwenye medali za siasa na umri wa anayezungumza yaingizwe mwenye sheria ili kila atakayetoa kinywani mwake akamatwe.
Ulaya hakuna tena fadhila za tamaduni na mila, kila mmoja anawajibishwa kisheria.