tafsiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ipi tafsiri yako ya neno " Kuvuruga amani" ?

    Kuna tafsiri nyingi ya neno hili lakini tafsiri hutofautiana kutokana na mtu anayelitamka. Kuvuruga amani maana yake ni kitendo cha kuwafungua akili wananchi na kuwaeleza kuwa rasilimali zenu zinaliwa na watu wachache amkeni. Yes, wakiamka kwa mazingira hayo amani haiwezi kutulia lazima...
  2. HenrysoN

    JamiiForums Tanzania LILITH: Mwanamke wa Kwanza Kabla ya Hawa? Ukweli, Fumbo na Tafsiri

    🔍 UTANGULIZI Katika simulizi nyingi za Biblia, tunafundishwa kuwa mwanamke wa kwanza alikuwa Hawa (Eve), aliyeumbwa kutoka ubavu wa Adamu. Lakini katika maandiko ya kale zaidi hasa yale ya Kiebrania, Kabbalah, na maandiko ya Kiyahudi ya kale kuna jina jingine linalojitokeza: LILITH. Lilith ni...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Inavyoonekana kwa tafsiri ya utawala wa mama njia ya kudhibiti wapinzani ni kuwapiga kuwaumiza na kuwapoteza

    Ni kama serikali imeshastuka kwamba wakienda kikawaida kwa kufungua kesi mahakamani, huenda wasipate kabisa mwenye hatiainayostahili adhabu ambayo wangeitamani kuona watu wenye mawazo kinzani. Kwa kujua hilo ndio maana sasa kuna kitisho kikubwa sana kwa yeyote anayeonekana kwenda kinyume na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rwanda ni tafsiri halisi ya vile reli ilivyo ndogo ila inaweza kubeba matreni, uwezo wao katika medani za kivita unakuwa kwa kasi, sio wa kuwabeza.

    Hawa jamaa wanazidi kujijenga kijeshi kwa speed ya radi, uwezo wao wa sasa sio wa miaka 10 au 20 iliyopita, wame transform mambo mengi, Jeshi la Rwanda limewezesha kuondoka kwa wanajeshi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kutoka eneo la mashariki mwa DRC, kwa kuwasindikiza...
  5. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya police kukamata watu , kuwaumiza na kuwatupa porini?

    Kuna kitu ambacho police wamefanya leo na wengi hatuja waelewa? Kwa muda mrefu tumekuwa tukitafuta nani anateka watu na kuwatupa porini, majini na kwenye hifadhi za wanyama wakali , bila mafanikio. Police wamekuwa wakilaumiwa japo na wao wanatekeleza maagizo. Naona sasa hivi wameamua...
  6. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mjomba wa Mke wa Jux ni tafsiri tosha ya kauli ya mjomba ni mama, pozi na madoido yake akina dada wakasome kwasababu hawamuwezi, Jux kayakanyaga

    Mjomba wa Mke wa Jux ni tafsiri tosha ya kauli ya mjomba ni mama, kijana wetu Jux kayakanyaga Pozi la mjomba pamoja na madoido akina dada wakasome kwasababu hawaingii ndani
  7. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Ipe maneno hii video hapa

  8. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya usiku wa leo imenitisha, msaada kwa anayejua tafsiri au maana

    Usiku wa leo nimeota ndoto ya ajabu sana, nimeota kuna mtu ninaye mfahamu ananikimbiza na kutaka kunidhuru. Nikaanza kumkemea kwa maombi huku namnyooshea kidole, ghafla nikaanza kupaa angani mpaka nikafika kilele cha juu mawinguni, chini nikawa naona mazingira tofauti kabisa ambayo sijawahi...
  9. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mchina wa boat za Azam anayejinengua kwa miondoko ya Kike analeta tafsiri gani? Je anaburudisha au anakosea?

    Mchina wa boat za Azam anayejinengua kwa miondoko ya Kike analeta tafsiri gani? Je anaburudisha ama anakosea? Tazama Video👇
  10. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto ya kurudi shule

    Habari wakuu Kuota ndoto upo shuleni unazunguka eneo la shule pasipokuingia darasani huku unapishana na makundi ya wanafunzi wameondolewa madarasani kwa kukosa hada wamejitenga pembeni wanajisomea wakati eneo lote la shule likiwa na ulinzi mkali wa askari. Hii ndoto inamaana gani??? N:B Hali...
  11. KateMiddleton

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya ndoto ya kuachwa na ndege kisa kusahau passport

    Nahitaji msaada wa tafsir ya ndoto Nimeota usiku wa kuamkia leo tar 19 March 2025 Nimeachwa na ndege katika ndoto kwa sababu ya kusahau passport nyumbani, Sema hii issue inanipa mawazo kwa sababu kwa personality yangu mimi ni type A/planner/meticulous person kwa maana kwamba ni mtu ambaye...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Familia ikiweza kula ng'ombe 400 kwa siku ni tafsiri ya utajiri.

    Ukiwa na jamii ambayo inaweza ikala ng'ombe 400 kwa siku moja ni tafsiri ya utajiri. Ng'ombe 400 ni tafsiri ya kukamilika kwa miradi ya maji, umeme, elimu na afya. Ni tafsiri kwamba Tanzania hatuna sababu ya kuomba misaada nje maana tuna surplus Swali gumu ambalo tunapaswa kujiuliza ...
  13. Nanren

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya neno "drone" kuwa "ndegenyuki"

    Kulikuwa na ubaya gani kama tungetohoa neno drone la kiingereza liwe droni kwenye kiswahili? Hii kuiita ndegenyuki ni direct translation ya kijinga. Mbona wale nyuki wanaoitwa drones kwa kiingereza wanaitwa nyuki tu kwa kiswahili? Sasa hii ndegenyuki inatokea wapi?
  14. chama mpangala

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya Kihoja ya Ndoto: Mwangaza wa Ukweli na Macho ya Ndani

    Tafsiri ya Kihoja ya Ndoto: Mwangaza wa Ukweli na Macho ya Ndani Katika ndoto yangu, nilijikuta nikitembea kijijini kwetu, nikiona watoto wakicheza kwa furaha barazani. Wakati huo huo, kulikuwa na vijana kadhaa wamesimama, lakini mmoja wao alikuwa ameshika tochi, akiangaza mahali fulani kwa...
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kibonzo cha Kipanya kuhusu CHADEMA na mchoro wa pundamilia usiokwisha

    Wakuu, Masoud Kipanya huwa anaongea kwa lugha ya picha na kuachia hadhira kutafsiri kutokana na uelewa wa kila mmoja. Je, hii picha yenye viboksi vitatu, ikiwa na rangi za CHADEMA lakini pia kiboksi cha kwanza kikiwa kimechorwa sehemu ya nyuma ya Pundamilia inamaanisha nini?
  16. R

    JamiiForums Tanzania "In the Name of the President: Tafsiri yake ni: Maagizo kutoka juu-by Erick Kabendera

    Nilishindwa kujua maana yake mpaka niliposikia clip ya Mohamed ghassani https://youtu.be/HfQqupIGlKM "In the Name of the President: Tafsiri yake ni : MAAGIZO KUTOKA JUU
  17. R

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya neno 'exhaust fan" kwa Kiswahili

    Google na chatGTP naona hazinipi majibu yanayoridhisha.
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania TAFSIRI kuhusu maamuzi mabovu yanayo fanywa na waamuzi kuipendelea Simba

    Ni kwamba tu Watanzania hatujui kusoma body language wala facial expression. Achilia mbali Telepathy Ni hivi hayo maamuzi mabovu yanayo fanywa na Marefa in favour of Simba ni ujumbe anapewa Injinia. " Kwamba, wewe Injinia si unajifanya hautoi hela kwa marefa, sasa wacha tukukomeshe" Incase...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya PF3 kwa miaka 15+ [2008-2024] Tafsiri yake ni nini ?

    Habari za muda wakuu. Kwenye kupitapita humu mtandaoni nimekutana na uzi wa wadau mbalimbali katika nyakati tofauti tofauti Ukizungumzia upatikanaji wa huduma ya afya ambayo ni muhimu sana kwa majeruhi wowote iwe ni wa ajali,wizi, nk ambayo inalenga kuwapatia taarifa za majeruhi na tukio...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ndoa

    Raha ya ndoa, mume na mke kulala pamoja na kuamka pamoja! Hii ya mwanaume kuwa dodoma mwanamke yupo mwanza hiyo sio ndoa na sio tafsiri ya ndoa kimaandiko, maana lengo la watu hawa kuoana ni kuwa mwili mmoja kila mmoja kumlinda mwenzake! Sasa mmoja akiwa dar na mwingine kigoma huo tena sio mwili...
Back
Top Bottom