tafsiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati January Makamba soma na utupatie tafsiri ya interview ya PURA

    Tanzania kuna vituko , tunaomba uelewa wa matokeo ya mitihani huu na idadi ya waliochaguliwa. PURA wamefanya vituko kupitia Tume ya Ajira, majina kujirudia na watu kulingana maksi. Tume ya Ajira ifutwe tu. INTERVIEW NO. Nyingi zimefanana na number moja kuchaguliwa Mara Tatu Tatu
  2. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Ikiwa tozo na VAT zina kiwango sawa, tafsiri nyepesi ni kwamba VAT imeongezeka mara 2

    Picha hapo juu inajieleza. Tafsiri nyepesi ya hizi tozo ni kwamba VAT imepanda mara 2. Zile stori za sijui nchi ni yetu sote, tunajenga nchi, tunaendesha miradi ni vichaka tuu vya kujifichia ila ukweli ndiyo huo kwamba VAT ime-double. Sasa kwa hali ya uchumi ilivyo ni mzigo tosha kwa mwananchi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tafsiri rahisi 3 za kutoonekana kwa jina la David Kafulila katika teuzi za Wakuu wa Mikoa Julai 28, 2022

    Habari JF, Kwa kusema ukweli kila mwananchi mzalendo alifurahiswa na kasi ya utendaji kazi wa aliyekuwa mkuu wa Mkoa Simiyu David Kafulila. Hivyo hizi ndizo tafsiri 3 za kukosekana kwake ni either :- 1. Kutokana na utendaji wake amaandaliwa Uteuzi wa Juu zaidi au 2. Ameachwa kutokana na...
  4. Ibun Sirin

    JamiiForums Tanzania Tafsiri za ndoto na ufafanuzi wake siku ya leo

    Maono mazuri ya ndoto ya mtu mwema ni sehemu ya arobaini na sita ya ufunuo au bishara, au Wahyi. Ndoto ni njia ya mawasiliano iliyobakia baina ya mambo ya Kiroho na mwanaadamu. Baadhi ya ndoto ni njia ya mawasiliano ya kiroho. Kila ndoto huwa na maana au tafsiri yake ambayo ni muhimu kuifahamu...
  5. Ibun Sirin

    JamiiForums Tanzania Tafsiri za ndoto na ufafanuzi wake siku ya leo

    Baadhi ya ndoto ni njia ya mawasiliano ya kiroho. Kila ndoto huwa na maana au tafsiri yake ambayo ni muhimu kuifahamu. Maono mazuri ya ndoto ya mtu mwema ni sehemu ya arobaini na sita ya ufunuo au bishara, au Wahyi. Ndoto ni njia ya mawasiliano iliyobakia baina ya mambo ya Kiroho na...
  6. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Kuota mambo ya shule ni nini tafsiri yake?

    Wandugu hivi hii ishu ya kuota mambo ya shule mara kwa mara huwa ina maana gani kiroho? Nimekua nikiota ndoto kua nipo shule eidha o'level au advance na mara chache primary na chuo ila za o'level na advance ni kama kila siku tu. Mwanzo nilikua napuuza lakini naona sasa inakua too much, karibu...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake, basi vijana wengi walipaswa wawe mahakamani

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake basi watu wengi hasa wanaume wangekuwa mahakamani wakijitetea kwa tuhuma za kubaka. Huu ni ukweli usiopingika. Wanawake wengi karibu wote wameshawahi kuingiliwa kimapenzi bila wao...
  8. Matope

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya Sticker za Walemavu kwenye vyombo vya Moto ni sawa?

    Wakuu naombeni Tafsiri ya hizi sticker za Walemavu wamekuwepo watu mbeya wakishimamisha magari na kutaka ukate sticker swali je zipo kisheria ilihali barabara zetu mara nyingi tunaona hizi za 50,zebra ,stand na zingine za kawaida tu?
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kumiliki kitu chochote ni kile unachokula hicho ndo haki yako na mali yako

    Nilichogundua anachokula mtu ndo halali yake na ndo Mali zake . Ndio maana chakula kinapewa heshima Duniani kote. Hata Mtu ukiweza mpatia chakula kizuri lazima atakuheshimu na kukuadmire. Mfano ukiangali hela tunazospend kwenye kula ..yaani Ni hela nyingi sana ambazo tungekuwa tunaishi bila...
  10. Surya

    JamiiForums Tanzania Natafuta tafsiri ya Ndoto hii

    Naombeni tafsiri ya Ndoto hii. somo rahis kwangu skuli ilikua ni Mathematics. "Nimeota nafanya mtihani wa Math, Mwanzo napokea mtihani niliona mrahis na una maswali 10. Cha ajabu nilipoanza kufanya huo mtihani, kila swala nililo anza nalo kufanya lilikua gumu balaaa.. hadi ndoto kuisha.
  11. Mama pretty

    JamiiForums Tanzania Ninaomba tafsiri ya ndoto hii kwa mwenye kufahamu

    Wakuu, nimeshtuka kutoka usingizini takribani zaidi ya nusu saa iliyopita nikitafakari juu ya ndoto hii niliyoiota. Nimeota nipo mazingira yangu ya kazi ( inaniunganisha mimi na wateja) kuna kitu mteja alijieleza lakini Meneja wangu hakumuelewa ila mimi nilikua nimemuelewa nikaamuru ahudumiwe...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto hii aliyoota mke wangu

    Mke wangu kaoota nyoka anamzuia kila akijaribu kupita njiani. Kila akijaribu kutafuta upenyo nyoka anaziba njia
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kama utahitaji hardcopy ya tafsiri ya kitabu The richest man in Babylon nicheki

    Ni Pm au mcheki huyu jamaa whatsapp. 0759522257 Pia kuna hizi softcopies. Kwa Tsh 2,000 hadi 4,000 utapata softcopies za vitabu hivi. Whatsapp namba 0759522257. Pia kuna bonasi ya vitabu kama nane. Hardcopy ipo ya Tajiri wa Babeli(12,000). List ya vitabu vyote. ORODHA YA VITABU NA BEI...
  14. girose

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie Tafsiri ya ndoto hii

    Wanandugu, naomba mnisaidie maana ya ndoto hii. Juzi nimeota ndoto moja hivi ambayo inanisumbua mpaka sasa. Niliota kwamba Mwalimu Mwakasege anagonga hodi nikamfungulia. Nilipomfungulia mlango akaingia huku akisema ya kwamba amezunguka sana akipatafuta ninapoishi. ndipo alipoingia akakaa kwenye...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tafsiri ya ndoto hii

    Usiku wa kuamkia leo nimeota mchumba wangu kachelewa kurudi nyumbani akadai ameogopa kunigongea ningempiga na akaenda kulala dukani kwani aliniaga anaenda kwenye party nikamruhusu Baada ya muda panatokea maaskari na mgambo dukani wakidai wanamuulizia binti anaitwa Saada ambaye inasadikika...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kuitumia Ibada ya Sadaka ya Shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa

    FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, ushariki wa Nshara machame Kuna baadhi ya mambo yamenza kuonekana ambayo hayana...
  17. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe amdhihaki Tundu Lissu kwa kumuita CHIBA. Aomba radhi baada ya kulalamikiwa

    Zitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako. Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau Baada ya kulalamikiwa na wadau, Zitto Kabwe aliomba msamaha na kudai kuwa hakuwa anajua maana ya neno...
  18. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Ni nini hasa tafsiri ya kuachiwa huru kwa Freeman Mbowe? Tuangazie mizania hizi

    Habarini wana JF, Naomba nichokoze maada, je nini kiwe tafsiri ya kuachiwa huru kwa F. Mbowe. Je ni 1. Win-win situation? 2. Win-loose situation? 3. Loose-win situation? 5. Loose-loose situation? Na je, ni tafsiri ipi ioanishishwe sambamba na mtazamo wa nyakati za sasa, za kati na za...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Profesa Jay ni tafsiri sahihi ya msemo 'TUISHI". Maisha yake ni faraja kuliko uzuni

    Moja ya Jambo ambalo wanasiasa na Viongozi wengi wameshindwa ni "KUISHI". Watu wengi wanaopata nafasi au uungwaji mkono wamekuwa wepesi kukengeuka na kuacha kuthamini waliochini Yao matokeo yake wanawageuza wenzao kuwa tambara bovu (kifutio Cha uchafu) Nimeangalia mwitikio wa wananchi kwenye...
  20. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Naota nacheza mpira kwa kiwango cha juu, nini tafsiri yake?

    Kuna ndoto inajirudia rudia mara ya tatu sasa . naota niko uwanjani nasakata kabumbu,mpira ninaocheza humo ni hatari,n aupiga mwingi sana sijawahi kucheza mpira kwa kiwango cha ushindani nikiwa kijana,sasa umri wangu siwezi kusajiliwa timu yoyote nimeshazeeka, Hii ndoto ina maana gani wakina...
Back
Top Bottom