Tafsiri kamili ya kiswahili ya kitabu alichokuwa anakigawa mzungu kwa watoto, yaliyomo hayana tena shaka, sheria ifate mkondo !

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,081
THE GRANDPA THAT NEVER GREW UP

1706722093940.png

Kabla hujasoma kilichoandikwa ni muhimu kwanza umjue msanii Cher na sherehe za Pride

Cher ni msanii mkongwe ambae ana mchango mkubwa sana kwenye itikadi za kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja, Harakati zake zilianza kipindi cha miaka ya 60 kipindi ambacho mapenzi haya yalikuwa ni haram nchini Marekani na nchi za ulaya, Wimbo wake maarufu wa Believe unahusishwa zaidi na mapenzi ya jinsia moja, i wimbo ambao umekuwa na nembo kubwa sana katika jamii ya Lgbt.

1706723253294.png

Pride ni sherehe maalum za kutambua na kuongeza support ya uwepo wa mapenzi ya jinsia moja, haki zao, kuwakutanisha pamoja, n.k. sherehe hizi huwa kuna gwaride barabarani wahusika hubepa bendera zenye rangi za upinde

1706724120726.png

1706724335334.png

...................................................................

There once was a man
(Kulikuwa na mwanaume)
That was pretty old
(alikuwa ni mzee)
Who did silly things and
(alifanya vitu vya ajabu)
Who couldn't be told.
(hakuweza kushaurika)

When I asked
(nilipomuuliza)
About his age,
(kuhusu umri wake)
He smiled and said,
(alitabasamu akaniambia)
"Have you seen me on stage?"
(umewahi kuniona stejini)
He took me into town,
(alinipeleka mjini )
And right then and there,
(tulipofika tu)
He hopped on a mic
(alikamata maiki)
And sang along with cher.
(akaimba na msanii Cher )

There was the time
(kuna muda)
He took me to pride.
(alinipeleka sherehe ya Pride)
He wore a pink dress
(alivaa gauni la pinki)
All his hair he dyed.
(nywele alizitia bleech)

Then there was
(kuna muda )
That halloween
(tulienda hallowen)
He put on makeup
(alijipaka makeup)
And went as a queen.
(akavaa kama malkia)

I asked him once
(niliwahi muuliza)
If he'd ever retire
(ustaafu lini)
"Do i look like milk
(akanijibu, mimi maziwa?)
With a date to expire?"
(kwamba nita expire ?)
 
Kama mzungu basi imeisha hio yaaani
Ila wazungu ni watu wakukaa nao kwamakini sana
Hawatupendelei wala kututakia mema kwakweli
 
THE PRESIDENT AND FELLOWS OF THE UNIVERSITY OF YALE

IN THE PUBLIC PORT OF CONNECTICUT TO ALL TO WHOM THESE LETTERS SEND, WE, THE PRESIDENT AND FELLOWS OF THIS UNIVERSITY, PERPETUAL HEALTH IN THE LORD

HIGHER HONORS ACADEMIC CANDIDATES FOR THE DEGREE AND DEGREE OF DOCTOR OF PHILOSOPHY

WE ADMIT AND GRANT HIM ALL THE RIGHTS, PRIVILEGES AND INSIGNIA BELONGING TO THIS HONOR

IN WITNESS WHEREOF WE, THE PRESIDENT AND THE ACADEMIC SECRETARY, HAVE SUBSCRIBED THESE LETTERS WITH THE SEAL OF THE UNIVERSITY. 4 Id. Dec. IN THE YEAR 2016 AND THE UNIVERSITY OF YALE 366
 
Thanks for the translation.
 
Back
Top Bottom