Naomba tafsiri ya ndoto hii, imekuwa ikijirudia mara kadhaa

Chavah

Member
Jun 2, 2020
15
9
Habari za asubuhi, naomba mnisaidie waungana kama kutakuwa na mtu ana uelewa na ndoto.

Ni mara kadhaa sasa nimekuwa nikiota nimeibiwa hereni zangu, nahitaji kujua maana ya hii ndoto.

Inasemwa kwamba kila ndoto mtu anayoota inakuwa na maana, naomba msaada katika hili

Asanteni.
 
Ninavyojua mimi ni kwamba ndoto yoyote inayihusu kuibiwa kitu au Mali yako, ni ishara kwamba umeibiwa nyota yako au kibali chako ambacho umepewa na Mungu kufanikiwa hapa duniani. Hivyo basi kama wewe ni Mkristo mwenye kamini juu ya kuweza wa jina na Damu ya Yesu, omba kuvikomboa kibali chako. Maana kwa damu ya Yesu, tumekombolewa na laana, nguvu za giza n. K. Kama unaweza waweza funga n a kuomba kwa siku utazojisikia rohoni kama sadaka mbele za Mungu.
 
Asante
 
napenda sana kula ukiniambia nifunge unakuwa unanionea kwa kweli

Btw mbona suala la ndoto linaeleweka

Ubongo haulali wewe ukilala tu ubongo unaanza kukuonyesha muvi

Ndoto ni kama muvi hazina uhalisia wowote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom