rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Rais Magufuli amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO, pia aagiza meneja wa TRA kusimamishwa kazi

    Rais Magufuli amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Kamanda wa Polisi wa mkoa na Afisa upelelezi wa mkoa wa Shinyanga kutokana na tuhuma za kuhujumu uchumi. Kadhalika Rais Magufuli amemuagiza Kamishna mkuu wa TRA kumsimamisha kazi Meneja wa TRA mkoa wa Shinyanga kwa tuhuma za kuhujumu uchumi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Magufuli kuhamia rasmi Dodoma, Je Ikulu ya Dsm itajulikana kama Ikulu ndogo na RC kusogezwa jirani?

    Nauliza tu kwa wajuzi wa itifaki maana sasa kiti cha Rais kimehamia Dodoma, je hapo magogoni patajulikana kama Ikulu ndogo? Je, ofisi za mkuu wa mkoa zitahamia humo magogoni au pale ilipokuwa wizara ya elimu ili iwe jirani na Ikulu ndogo kama ilivyo katika mikoa mingine? Nasubiri majawabu...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Yule Mkurugenzi wa Dodoma ayejaribu kuonyesha anajua kuliko Rais afutwe kazi. Katika utumishi wa umma, hiyo ni insubordination

    Huyu ndugu ameonyesha utovu wa nidhamu. Katika utumishi wa umma hiyo tunaita insubordination, kufanya mambo yanayomdhalilisha kiongozi wako. Mkurugenzi, baada ya kuona Mh. Rais anaelekea kusimamia msimamo fulani, sisi katika utumishi wa umma lazima ubalansi msimamo wako ili kiongozi wako...
  4. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa agizo kuhusu ujenzi wa Hospitali Chamwino

    Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amelitaka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuharakisha ujenzi wa hospitali ya Wilaya Chamwino mkoani Dodoma na kukosoa ushauri uliotolewa na Wakala wa Majengo nchini (TBA). Ametoa kauli hiyo leo baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awapatia jeshi la polisi jengo la ghorofa nne ilii wahamie Dodoma

    Hapa ndipo itakapokuwa makao mkuu ya jeshi la polisi Tanzania mkoani Dodoma.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ammwagia sifa RC Mahenge wa Dodoma asema jiji hilo linabadilika kwa kasi na linaelekea kuipita Dsm

    Rais Magufuli amesema hakumtoa Dr Mahenge mkoani Ruvuma na kumleta Dodoma kwa bahati mbaya bali alifanya hivyo kwa kuwa anaujua uwezo wake tokea akiwa waziri wa Mazingira. Rais Magufuli amesema Dr Mahenge anaibadilisha Dodoma kwa kasi ya ajabu na mkoa huo unaelekea kwenda kuupiku mkoa wa Dsm...
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Askofu Dr Stephen Munga amuonya Kadinali Pengo: Kunyamaza wakati mwingine ni hekima

    Askofu Dr Stephen Munga amuonya Kadinali Pengo KUNYAMAZA WAKATI MWINGINE NI HEKIMA Waungwana taifa la Mungu, someni hii kwa furaha na uvumilivu. "Ikawa, Sauli aliporudi baada ya kuwafuatia Wafilisti, aliambiwa ya kwamba, Daudi yuko katika nyika ya Engedi. Ndipo Sauli akatwaa watu elfu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awapa jengo la ghorofa 4 Wizara ya mambo ya ndani jijini Dodoma kuwa makao yao makuu

    Rais Magufuli amewapa jengo la ghorofa 4 Wizara ya Mambo ya Ndani ili liwe ndio makao makuu jijini Dodoma. Rais Magufuli amekabidhi picha na michoro ya jengo hilo kwa IGP Sirro na Waziri Kangi Lugola jijini Dodoma leo. Source: Channel ten
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apendekeza soko kuu la Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai

    Rais Magufuli ametoa pendekezo kuwa soko kuu jipya linalojengwa jijini Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai. Hii ni kstika kuenzi mchango wa Spika Job Ndugai wa kuuletea maendeleo ya haraka mkoa wa Dodoma Source TBC
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa polisi wakati Mhe. Rais anapopita sehemu fulani

    Mhe. Rais ni raia namba moja katika nchi yetu ya Tanzania lazima apewe ulinzi na heshima yote pale anapopita. Juzi Mhe. Rais alikuwa na safari ya kwenda Dodoma lakini adha waliyopata wenye vyombo vya usafiri katika njia iendayo Dodoma ilikuwa ni adhabu tosha. Magari yalianza kusimamishwa tangu...
  11. Ringo Malisa

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli

  12. J

    JamiiForums Tanzania Mjapan: Rais Magufuli yuko sahihi, vyuo vikuu duniani kulikoendelea huandaa wahitimu kujiajiri na sio kusubiri ajira ya serikali

    Injinia wa kijapani pale Mwenge amekubaliana na ushauri wa Rais Magufuli kwa vyuo vikuu kwamba Degree zao zilenge kuwaandaa vijana katika kujiajiri na si kusubiri ajira za serikali. Mjapan ameniambia vyuo vikuu katika dunia iliyoendelea huwaandaa vijana katika ubunifu, ujasiri na uthubutu na si...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kumtunuku Rais Magufuli Shahada ya Falsafa

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kitamtunuku Rais wa Tanzania, John Magufuli Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutokana na uongozi wake hasa ujenzi wa uchumi wa viwanda. Akizungumza leo Jumatano Novemba 20, 2019 Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Faustine Bee amesema shahada hiyo itatolewa...
  14. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Mahafali ya Chuo kikuu Dodoma; Rais Magufuli atunukiwa shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika Sayansi ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Shahada hiyo imetolewa na Rais Mstaafu Benjamini Mkapa katika mahafali ya 10 ya chuo hicho. ==== Rais Magufuli awasili...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Mwinyi ahimiza ushirikiano katika kukabiliana na ukatili dhidi ya watoto

    Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi ametoa wito kwa Serikali kushirikiana na Taasisi zisizo za Kiserikali, katika kukabiliana na matukio ya ukatili dhidi ya Watoto. Alhaji Mwinyi ameyasema hayo jijini Dar es salaam wakati wa maadhimisho ya miaka 30 ya Siku ya Kimataifa ya...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni lini Amiri Jeshi Mkuu atavaa sare za Askari Polisi au Magereza?

    iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa juu kabisa wa majeshi yote nchini. Swali langu ni dogo tu , ni lini Mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na uhalifu au ni lazima avae za JWTZ tu kama ambavyo ameonekana mara kadhaa? Naomba kuwasilisha...
  17. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Huduma za NIDA ziwe kila Wilaya au NIDA watoe hela ya 'guest' kwa Wananchi. Ukiona bei ya mahindi iko juu, kalime yako

    Rais Magufuli amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dkt. Arnold M. Kihaule kufika Mkoani Morogoro leo na ikiwezekana akae Mkoani humo hata siku tatu ili kushughulikia tatizo la Watu wengi kukosa Vitambulisho vya Taifa huku Mkoa mzima ukiwa na ofisi moja pekee ya NIDA. Rais Magufuli ametoa agizo...
  18. House of Commons

    JamiiForums Tanzania Mwacheni Rais Magufuli afanye kazi tuliyompa, ila kwa hili hapana

    Mi mwanachi wa kawaida kabisa, sina cheo popote pale wala sina mlengo wa siasa za chama chochote hapa nchini. Pia nifanye personal declaration, I like Rais Magufuli, I admire his strictness for national issues and performancefor achievements. Nilimfahamu Rais Magufuli nikiwa form 2 in 1990...
  19. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo bila shaka umemsikia Rais Magufuli mkoani Morogoro, Je juu ya pareto?

    Na Elius Ndabila 0768239284 Mh Japhet Ngayilonga Hasunga Waziri wa Kilimo, nianze kwa kukupongeza kwa kazi kubwa unazofanya hasa upande wa Wizara nyeti inayobeba maisha ya Watanzania zaidi ya milioni 55. Wizara ya kilimo ndiyo wizara mama ambayo inabeba karibia Wizara zote za kisekita...
  20. namraroh

    JamiiForums Tanzania Kero: Msafara wa Rais umekuwa mateso kwa watumiaji wa barabara

    Ni kawaida kwa viongozi wetu kuwa na misafara mikubwa na yenye mbwembwe kibao, lakini kwa mtukufu rais wangu wa awamu hii umekuwa kero na mateso kwa watumiaji wa barabara kwa kuzingatia kwamba mara nyingi anasafiri kwa barabara, hali imekuwa mbaya na mateso ya hali ya juu. Leo wakati naelekea...
Back
Top Bottom