Kwa vigezo vinavyoonekana na kupimika, Mheshimiwa Magufuli ndiye RAIS BORA barani Afrika kwa mwaka 2019. Nina sababu 20 ambao ni Ushahidi wa ubora wa Magufuli ukimlinganisha na maraisi wengine wote wa Afrika:
1. Amefufua shirika la ndege lililokufa kwa kununua ndege mpya 8 kwa pesa taslimu
2. Amekarabati shule kongwe, vyuo vya ualimu na kupeleka ruzuku ya elimu bure mashuleni.
3. Ameboresha ulinzi wa rasilimali kwa kukomesha ujangili
4. Amedhibiti biashara ya madawa ya kulevya
5. Ameboresha sheria na mikataba ya madini hivyo kuongeza pato la Taifa
6. Ameboresha uzalishaji na utendaji wa mashirika ya umma hivyo kwa sasa yanatoa gawio serikalini badala ya kuomba ruzuku
7. Amedumisha ulinzi na usalama nchini hivyo kukomesha ujambazi na mipaka IPO salama hakuna chokochoko za majirani
8. Amejenga hospitali mpya za wilaya na mikoa na kuboresha vituo vya afya, zahanati na huduma za afya hivyo idadi ya wagonjwa kupelekwa India imepungua
9. Ameboresha mfumo wa ajira serikalini kwa kudhibiti rushwa katika sekretarieti ya ajira, sasa vijana kutoka kaya maskini wanapata ajira bila upendeleo
10. Amefungua milango ya uhamisho kwa wahadhili vyuo vikuu hivyo kuondoa upendeleo, ubabe wa maprofesa vyuoni
11. Amedhibiti asasi za kihuni nchini zilizokuwa zinaeneza uharibifu na mmomonyoko katika jamii
12. Amerudisha nidhamu serikalini na heshima katika jamii hivyo hakuna urasimu wala umangimeza
13. Amedhibiti utoroshaji wa madini kwa kujenga ukuta mererani na kuimarisha ulinzi
14. Ameboresha huduma za bandari na sasa ni kimbilio kwa wafanyabiashara wa ndani na nje
15. Ameimarisha usafiri uliokufa mfano Reli ya Tanga, Tazara na reli ya kati, sasa ujenzi wa standard gauge
16. Amerejesha mahusiano ya kimataifa yaliyopotea mfano Israel na Morocco
17. Amedhibiti safari za nje kwa viongozi hivyo kuokoa fedha za kigeni.
18. Ameongeza makusanyo ya kodi hivyo kuimarisha uwezo wa Taifa kujitegemea.
19. Amepunguza kiwango cha umaskini na kukuza uchumi kama takwimu za benki ya dunia zinavyoonesha.
20. Amerejesha heshima ya nchi kimataifa, sasa watanzania tunatembea kifua mbele ndani na nje ya nchi.
TUNAKUTAKIA AFYA NjEMA KATIKA MWAKA 2020, HATA KAMA WAPIGA DILI HAWATA KUPONGEZA, SISI WAZALENDO TUPO PAMOJA NAWE, KUKUUNGA MKONO NA KUKUOMBEA