Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amewataka wazee wa mkoa huo kutoa sababu za kutaka kumualika Rais Magufuli ili wampongeze, amewataka wajihoji mmoja mmoja na kujiuliza wanampongeza kwa jambo gani maana isiwe wanafuata mkumbo tu.
Chalamila amesema hayo kwenye kongamano la wazee wa mkoa wa...
Haupo salama kwasababu umesajili line kwa alama za vidole.
Huku mtaani wale vendors wanaosajili wanatumia data za watu waliojisajili kwa ku-backup kisha wanasajili line nyingine yenye jina la mtu aliyekwisha kamilisha usajili.
Baada ya hapo wanasajili line nyingine kwa data za mtu kisha...
Nimeshangaa sana baada ya Rais kubadili Maelekezo yake. Mwanzoni alikiri kuwa ni vigumu usajili kukamilika kwa kutumia Vitambulisho vya Taifa lkn jana ameelekeza kuwa kufikia Tarehe 20 Januari 2020 usajili huo uwe tayari. Nikaangalia nilipo mimi huku Idukilo - ukitaka kukutana na NIDA mpaka...
Mfichuasiri 'whistleblower' aliepelekea Rais Trump kuanza kuchunguzwa na kupelekea kupigiwa kura ya kumuondoa madarakani kufanyika afichuliwa.
Jana alhamisi Rais Trump alilaumiwa kwa kusambaza kiunganishi cha habari chenye jina la mtu huyo kwamba hii itafanya mazingira yake ya kazi kua magumu...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la pongezi kwa Rais Magufuli na awamu yake ya tano.
Naomba kuanza na angalizo,
Kuna watu wana allergy na pongezi zozote kwa rais Magufuli na awamu yake ya 5, hivyo akifanya jema lolote au akipongezwa kwa zuri lolote, wao wanakasirika. Kwa vile bado tuko kwenye...
Rais John Magufuli ameongeza siku 20 kuanzia kuanzia Januari 1-20 kwa watu wote watakaoshindwa kusajili laini zao za simu ifikapo Desemba 31.
Pia, leo Desemba 27 Rais amefanya usajili wa laini yake kwa kutumia alama za vidole
Mwananchi
====
Rais wa Urusi, Vladmir Putin amewafuta kazi majenerali 5 waliokuwa wakifanya kazi katika wizara na mashirika mbalimbali.
Kwa mujibu wa uamuzi wa Rais uliosambazwa katika mfumo wa sheria za serikali, Majenerali 5 waliokuwa wakitumika katika sehemu mbalimbli nchini humo kama vile wizara ya mambo...
Napenda kuungana na Watanzania na wanadamu wengine wote Rais wetu Mheshimiwa John Joseph Magufuli katika Kumtakia Heri ya Krismasi, kwa dhati kabisa, tunapaswa kumwombea afya njema, kumtakia Heri na Kumuunga mkono katika kuliletea Taifa letu maendeleo.
Uongozi wake dhabiti, ujasiri na...
Kituo cha usalama kilichoko karibu na nyumba ya rais wa zamani wa Nigeria Bw. Goodluck Jonathan katika jimbo la Bayelsa, nchini Nigeria kimeshambuliwa na watu wenye silaha wasiojulikana na askari mmoja ameuawa.
Msaidizi wa Bw. Jonathan anayeshughulikia mambo ya habari amesema watu hao wenye...
Tunamuomba Rais wetu aingilie kati ili suala hili likomeshwe.
Rais aliingilia kati suala la majambazi sasa hivi limepungua.
Rais wetu ni msikivu, nchi hii hatujazoea watu kutekwa ni jambo geni.
Tunamuomba aingilie kati na endapo watekaji watakamatwa waadhibiwe vikali.
Tumuombee Rais wetu...
Rais Magufuli ameagiza vijana wote wenye elimu ya shahada ya kwanza waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) “Operesheni Magufuli” kupewa ajira katika taasisi mbalimbali za serikali.
Ujumbe huo ulitolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dk. Laurean...
[/URL]
Rais wa Tanzania, John Magufuli
Kwa ufupi
Serikali ya Tanzania imetangaza ajira 40,000 kati ya hizo, 800 zitawahusu vijana waliojitolea kwa miaka miwili katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
Dodoma. Rais wa Tanzania, John Magufuli ameagiza vijana 800 wenye shahada waliojitolea katika...
Ninajiuliza tu huko kwa mabeberu walivyo na demokrasia ya hali ya juu.
Hivi tukiamua kumshitaki kwa amani tu na upendo Rais wetu inawezekana ili na wao serikali yetu wakae mguu sawa katika uwajibikaji kwa wananchi inawezekana?
Na kama inawezekana miaka minne sasa Serikali yetu imefanya vizuri...
Hakuna ubishi ni ngumu Rais Magufuli kuongeza muda wa kukaa madarakani.Hii ni kwa sababu katiba ya Tanzania hairuhusu kufanya hivyo. Suala ambalo ni gumu kwa Watanzania ni nani atamrithi ili kuendeleza haya mambo mazuri anayoyafanya?
Na kiongozi bora ni yule anayeandaa kuacha mrithi wake...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Rais wa Tanzania, John Magufuli amesaini sheria ya Watanzania kujipima wenyewe Virusi vya Ukimwi (VVU).
Novemba 12, 2019 Bunge la Tanzania lilipitisha marekebisho ya Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa VVU na Ukimwi yaliyoruhusu umri wa kupima virusi vya...
Rais Magufuli ni Rais asiyependa kuona watu wanafanyiwa dhuluma na kunyanyaswa.
Mfano mzuri ni alipokuwa kahama alimuonea huruma toka moyoni kabisa mama ambae mume wake aligongwa gari na polisi traffic.
Ila kiuhalisia huku ngazi za chini wananchi bado wanadhulumiwa na kunyanyaswa sana. Hasa...
Mzee George Huruma , Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais inayoshughulikia Uawala Bora kwa kweli umetufungua macho.
Nimeona hii clip mahali.
Kuna figisu figisu nyingi za kuchomeana na kubambikiwa kesi zinazoendelea nchini.
Kuna maRC, maDC wanaona raha kumweka mtu ndani ili tu kujimwambafy.
Kumbe...
Inaelezwa kuwa Mganda mmoja amefariki na wengine kujeruhiwa katika shambulizi lililofanywa na raia wa Kongo kwa watu wa Uganda.
Shambulio hilo lilitokea katika Soko la Nziapande, ambalo lipo takribani kilomita tano kutoka mpaka wa Uganda-DR Kongo ya Busunga wilayani Bundibugyo.
Taarifa...
Ninajiuliza tu huko kwa mabeberu walivyo na demokrasia ya hali ya juu.
Hivi tukiamua kumshitaki kwa amani tu na upendo Rais wetu inawezekana ili na wao serikali yetu wakae mguu sawa katika uwajibikaji kwa wananchi inawezekana?
Na kama inawezekana miaka minne sasa Serikali yetu imefanya vizuri...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo amekerwa na utendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Mbinga vijiji kwa kuchelewa kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya Mapera.
Jafo ametoa siku 17 majengo yote ya kituo hicho yawe yamekamilika.
Kituo hicho kilipokea fedha mwezi Mei 2019 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.