Taifa lina Rais gani asiyependa kuongea na wananchi?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,703
Reaction score
58,782
Jamani mwisho wa mwaka baada Rais atokee aongee na taifa atoe matumaini mapya kwa nchi yeye haonekani.

Anapenda mpaka awe na jopo la watu wote kufanya uzinduzi wa visima vya shule akiwa live

Ila kuchukua hata saa 1 kuongea na taifa na kutoa matumaini mapya kwa mambo ambayo yanaendelea yenye utata mkubwa hawezi?

Jamani hivi taifa lilipata Rais wa namna gani angalia mambo na matukio ya kisiasa na kiuchumi yaliyotokea mwaka mzima ina maana hayana nguvu ya kutolewa ufafanuzi?

Swala kama la uchaguzi serikali za mitaa hivi taifa lina Rais wa namna gani? bado natafakari.
 
Nigga

Pay dat nigga no mind!
 
Hajaalikwa kuweka jiwe la msingi la mwaka mpya sasa ahutubie wapi? Ndugai karudi kwao Kongwa na Ibrahim katoka kumchefua juzi unataka aambatane na nani kwenye uzinduzi wa mwaka?
 
Jamani mwisho wa mwaka baada Rais atokee aongee na taifa atoe matumaini mapya kwa nchi yeye haonekani.

Anapenda mpaka awe na jopo la watu wote kufanya uzinduzi wa visima vya shule akiwa live

Ila kuchukua hata saa 1 kuongea na taifa na kutoa matumaini mapya kwa mambo ambayo yanaendelea yenye utata mkubwa hawezi?

Jamani hivi taifa lilipata Rais wa namna gani angalia mambo na matukio ya kisiasa na kiuchumi yaliyotokea mwaka mzima ina maana hayana nguvu ya kutolewa ufafanuzi?

Swala kama la uchaguzi serikali za mitaa hivi taifa lina Rais wa namna gani? bado natafakari.
Dogo kunywa maji ulale
 
Back
Top Bottom