Hakuna ubishi ni ngumu Rais Magufuli kuongeza muda wa kukaa madarakani.Hii ni kwa sababu katiba ya Tanzania hairuhusu kufanya hivyo. Suala ambalo ni gumu kwa Watanzania ni nani atamrithi ili kuendeleza haya mambo mazuri anayoyafanya?
Na kiongozi bora ni yule anayeandaa kuacha mrithi wake...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Rais wa Tanzania, John Magufuli amesaini sheria ya Watanzania kujipima wenyewe Virusi vya Ukimwi (VVU).
Novemba 12, 2019 Bunge la Tanzania lilipitisha marekebisho ya Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa VVU na Ukimwi yaliyoruhusu umri wa kupima virusi vya...
Rais Magufuli ni Rais asiyependa kuona watu wanafanyiwa dhuluma na kunyanyaswa.
Mfano mzuri ni alipokuwa kahama alimuonea huruma toka moyoni kabisa mama ambae mume wake aligongwa gari na polisi traffic.
Ila kiuhalisia huku ngazi za chini wananchi bado wanadhulumiwa na kunyanyaswa sana. Hasa...
Mzee George Huruma , Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais inayoshughulikia Uawala Bora kwa kweli umetufungua macho.
Nimeona hii clip mahali.
Kuna figisu figisu nyingi za kuchomeana na kubambikiwa kesi zinazoendelea nchini.
Kuna maRC, maDC wanaona raha kumweka mtu ndani ili tu kujimwambafy.
Kumbe...
Inaelezwa kuwa Mganda mmoja amefariki na wengine kujeruhiwa katika shambulizi lililofanywa na raia wa Kongo kwa watu wa Uganda.
Shambulio hilo lilitokea katika Soko la Nziapande, ambalo lipo takribani kilomita tano kutoka mpaka wa Uganda-DR Kongo ya Busunga wilayani Bundibugyo.
Taarifa...
Ninajiuliza tu huko kwa mabeberu walivyo na demokrasia ya hali ya juu.
Hivi tukiamua kumshitaki kwa amani tu na upendo Rais wetu inawezekana ili na wao serikali yetu wakae mguu sawa katika uwajibikaji kwa wananchi inawezekana?
Na kama inawezekana miaka minne sasa Serikali yetu imefanya vizuri...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo amekerwa na utendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Mbinga vijiji kwa kuchelewa kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya Mapera.
Jafo ametoa siku 17 majengo yote ya kituo hicho yawe yamekamilika.
Kituo hicho kilipokea fedha mwezi Mei 2019 na...
Rais wa Tanzania, John Magufuli amewataka wananchi kujihadhari kujenga nyumba kwenye maeneo ambayo kuna mkondo wa maji.
Mkuu huyo wa nchi ametoa tahadhari hiyo leo Jumatano Desemba 18, 2019 wakati anazindua mradi wa Visima vya maji Chato na kuzungumza na wananchi wa Chato katika uwanja wa Shule...
Rais Donald Trump na Spika Nancy Pelosi
Rais Donald Trump ameukosoa uchunguzi unaokaribia kufanyika kwa kuandika barua kwa Spika Nancy Pelosi, akimtuhumu kutangaza vita vya wazi dhidi ya Demokrasia ya Marekani.
Rais Trump anakabiliwa na kura ya uchunguzi itakayopigwa leo kuhusu madai kwamba...
leo Jumatano Desemba 18, 2019 Rais wa Tanzania, John Magufuli amehudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Wilaya ya Chato na uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Zimamoto na Uokoaji la Wilaya ya Chato mkoani Geita.
Haya ni baadhi ya yaliojiri kwa ufupi.
Prof. Ibrahim Juma...
Mke wa makamu wa rais wa Zimbabwe ameshtakiwa na jaribio la kutaka kumuua mumewe.
Mary Mubaiwa ambaye tayari anashutumiwa kwa madai ya ufisadi, aliwasilishwa mbele ya mahakama moja ya Harare siku ya Jumatatu .
Amekana mashtaka yote.
Waendesha mashtaka wanasema kwamba alijaribu kumuua...
Rais mstaafu wa Pakistani, Pervez Musharraf (76) amehukumiwa kifo katika kesi ya uhaini mkubwa iliyohusisha kuweko kwa dharura ya Kikatiba mnamo 2007.
Hukumu hiyo imetolewa leo wakati kiongozi huyo akiwa mjini Dubai tangu alipoondoka Machi 2016 kwasababu za kiafya na kiusalama na kudai kwamba...
Awali ya yote napenda kukiri kwamba sijatumwa wala kutumika na yeyote kuandika juu ya hii mada, ni maoni na mtazamo wangu binafsi na pengine ni mtazamo wa wengine wengi wanaomtazama Lowassa kama ninavyomtazama mimi.
Katika ulimwengu wa siasa, jambo dogo linaweza kujadiliwa kwa marefu na mapana...
Nimekuwa nikimsikiliza Mara kwa Mara Rais wangu Magufuli, katika hotuba zake mbalimbali, anazotoa kwenye majukwaa ya kisiasa na Mara kwa Mara amekuwa akirudia kauli yake ya kulalamika na kusema kuwa kazi ya Urais ni ngumu sana na kama yeye angelijua hilo kabla, basi hata fomu ya Urais mwaka ule...
Ratiba hiyo inajieleza
=====
Mwanza. Ndege mpya aina ya Bombardier Q-400 iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania imetua uwanja wa Mwanza nchini humo na kupokelewa na wananchi na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais John Mgufuli.
Viongozi wengine waliohudhuria mapokezi ya ndege hiyo iliyotua...
Wanabodi,
Haya sii maneno yangu bali ni paraphrasing from ushauri wa mwana Jf humu.
Angalizo kuhusu paraphrasing.
Ni editing tool inayotumiwa na ma editors ku summarize long speeches kwa kufanya brief for brevity na coherent ujumbe ufike kwa urahisi .
Huu ni ushauri kwa rais Magufuli...
Rais wa zambia, Edgar Lungu ameandika barua kwa serikali ya marekani kutaka kuondoshwa kwa balozi wa nchi hiyo nchini zambia.
Hatua hiyo imekuja baada ya balozi huyo wa marekani nchini zambia Bw. Daniel Foote kunukuliwa akitoa maoni yanayopinga adhabu ya kifungo cha jela miaka 15 waliyopewa...
SERIKALI ya awamu ya tano, imeleta mchango mkubwa katika kukamilisha na kuleta mafanikio katika sekta ya reli nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa uongozi wa Rais John Magufuli umekuwa wa kipekee kutokana na...
Rais Magufuli wakati akipokea ndege iliyokuwa imezuiliwa Canada amebainisha kuwa ndege mpya tatu zilizobaki zitawasili ambapo moja (Bombardier Q400) itawawasili Mwezi Juni 2020 na nyingine mbili ni Air-Bus 220-300 ambapo moja itawasili mwezi Juni na nyingine mwezi Julai 2021
Lakini pia, ameweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.