Rais Museveni wa Uganda akipigiwa magoti na wazee huku akitoa pesa kwenye bahasha za khaki

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
44,557
2,000
Rais Yoweri Kaguta Museven wa Uganda akiwa ameketi huku wazee wakimpigia magoti na kupewa chochote kwenye bahasha ya kaki.

Ikumbukwe kuwa uchaguzi nchini Uganda unatarajiwa kufanyika mwakani February 9, 2021. Kiongozi huyo wa taifa la Uganda ameongoza Uganda kwa takribani ya miaka 34 hadi sasa, hata hivyo anatajwa kugombea mhula mwingine mwaka kesho.

https://fbwat.ch/1wFicdhNap4hDja8
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
44,557
2,000
Kungekua na miradi mikubwa ya serikali iliyozalisha ajira na watoto wa wazee hawa kuwa na kipato wasinge dhalilika namna hii
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom