Uchaguzi 2020 Kuna umuhimu wa kupiga kura 2020 wakati tume iko mfukoni kwa Rais?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Leo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya.

Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhimili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura?

Wengi wanadai tume huru ya uchaguzi. Muda tulionao utatosha kuiandaa tume huru na iwe tayari kufanya kazi October 2020? Kama wazo lenyewe la tume huru halijawasilishwa wala kupokelewa?
 
Kimsingi tunahitaji tume huru ya uchaguzi ,tunahitaji katiba ifuatwe na isikiukwe kabisa.
Tatizo ni namna ya kuipata hyo tume ndo shughuli ,bila ya katiba mpya yenye kuendana na mahitaji ya jamii kwa Sasa bdo hili Jambo linakuwa gumu Sana ,but one thing tunaweza kufanya ni kuacha Mara moja kukataa kuingia katika kupiga kura ,panapo majaaliwa ya m/ mungu tujitokeze tu na tupige kura nyingi za kutosha then ,,wakiiba basi awamu hii viongozi wetu wasikubali tuombe msaada kutoka nje ,tusaidiwe ,ikibidi hata iundwe serikali ya mseto ,manake tumechoka Sasa dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni January 01/01/2020. Tuanze kufikiria tutafikaje October na kuanza kufanya implement ions. Tusitegemee kudra.
 
Leo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya. Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhinili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura?

Wengi wanadai tume huru ya uchaguzi. Muda tulionao utatosha kuiandaa tume huru na iwe tayari kufanya kazi October 2020? Kama wazo lenyewe la tume huru halijawasilishwa wala kupokelewa?
Huyu Rais ni wa kufanyiwa fujo tu Kama Blaise Compaoure wa Burkina Faso
 
Leo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya. Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhinili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura?

Wengi wanadai tume huru ya uchaguzi. Muda tulionao utatosha kuiandaa tume huru na iwe tayari kufanya kazi October 2020? Kama wazo lenyewe la tume huru halijawasilishwa wala kupokelewa?
Endelea kupiga kura huko Ulaya!
 
Hapana 100%
 
Back
Top Bottom