Kwanini kila Rais wa Marekani sharti aondoke na kichwa cha mtu mtata?

inchaji

JF-Expert Member
Jul 5, 2019
2,420
4,922
bush senior aliuondoa ubabe wa iraq ndani ya kuwait.

clinton sikumbuki. ila nakumbuka ishu ya monika lewinski šŸ¤£

bush mtoto alikomesha utawala wa talenan, akala kichwa cha saddam

obama akala kichwa ya osama, rest in peace.

trump kala hii kamanda ya magaidi ya iran kassimu.

wakongwe wa zamani tukumbusheni kama marais wa zamani wa marekani pia walikuwa wanakula vichwa vya hawa vichaa na je huu ndo utaratibu wa kila rais wa marekani lazima ale kichwa cha mtu au utawala fulani?
 
bush senior aliuondoa ubabe wa iraq ndani ya kuwait.

clinton sikumbuki. ila nakumbuka ishu ya monika lewinski

bush mtoto alikomesha utawala wa talenan, akala kichwa cha saddam

obama akala kichwa ya osama, rest in peace.

trump kala hii kamanda ya magaidi ya iran kassimu.

wakongwe wa zamani tukumbusheni kama marais wa zamani wa marekani pia walikuwa wanakula vichwa vya hawa vichaa na je huu ndo utaratibu wa kila rais wa marekani lazima ale kichwa cha mtu au utawala fulani?
Muamar Ghadaf"""

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump wakimpa miaka mingine atakula vichwa Sana.Remember Al Baghdad(Isis chief),general Suleiman,Al Muhandis(PMF second in command chief).
 
Back
Top Bottom