rais

  1. Luqman mohamedy

    JamiiForums Tanzania Hivi Makao Makuu ya nchi ni Chato au Dodoma? Mzee anatuchanganya

    Sielewi ziara za viongozi wakubwa zote Chato. Naona harakati za kuikuza Dodoma zinadumaa kwa style hii. Na kwa style hii tunachanganya watendaji hatujui nguvu waeke wapi Dodoma au Chato? Kuna muda itafika tutawalaumu mawaziri na manaibu wao bure tu. Naendelea kuuliza je mipango hii ilikuwepo...
  2. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 makubwa ya Rais wa awamu ya tano wa Tanzania

    Kwa majibu wa China Global Television Network (CGTN )mwaka 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Johnn Pombe Magufuli anaonekana ni Rais wa pekee sana na ni miongoni mwa Maraisi Watano bora (5) Afrika kutokana na njia yake ya pekee ya kuleta mageuzi katika Nchi yake. Mambo hayo 10 ni...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DRC Rais Felix Tshisekedi atishia kuwafuta kazi Mawaziri

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi ametishia kuwafuta kazi Mawaziri wake na hata kulivunja bunge, iwapo washirika wake wa kisiasa ambao wanaegemea katika mrengo wa rais wa zamani Joseph Kabila, wataendelea kumdharau. Tshisekedi amesema kuna baadhi ya Mawaziri ambao...
  4. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kasi ya utendaji wa Rais wa awamu ya tano inawabeba watendaji wake wengi mno na ni hatari sana wakibweteka

    Miongoni mwa mambo ninayoyaona kama hatari sana katika maisha ya watu ni " kubebwa na mfumo" badala ya kuandaa nao. Watendaji wa Rais walio wengi wanaonekana kubebwa na mfumo na kwa maana hiyo utendaji wao hauakisi jona kwa moja kasi ya Mheshimiwa Rais. Wananchi wengi wamejenga imani kubwa...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua tena Lyatonga Mrema kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Parole

    Rais Magufuli ateua wenyeviti 5 wa bodi na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa. Mara kwanza Mrema aliyeteuliwa na Rais John Magufuli kuongoza bodi ya Parole Julai16, 2016, na muda wake kuisha Julai 16, 2019 baada ya kutimiza kipindi cha miaka mitatu cha kuongoza bodi hiyo. Na leo 20 January...
  6. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Mjue Rais wa kwanza wa Malawi, Kamuzu Banda

    Ninatambua kuwa jina la Kamzu Banda si geni miongoni mwetu hasa kwa wale wana historia. Leo nitajaribu kumuelezea kinagaubaga huyu mfalume wa Nyasa land na Malawi ya leo. Ni wazi kuwa ukisoma vitabu mbalimbali vilivyomwandika Kamzu Banda havitaji tarehe rasimi aliyozaliwa ijapo alizaliwa mwaka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania TLS yataka Rais wake akae miaka 3

    Chama cha Wanasheria Wa Tanganyika (TLS) wamewasilisha mapendekezo yao kwa Kamati ya Sheria ya Bunge wakitaka muda wa kuwa madarakani kwa viongozi wake uwe miaka mitatu badala ya mwaka mmoja. Pia wamependekeza mkutano mkuu uendelee kuwa kwa wanachama wote badala ya Mapendekezo ya Kamati kuwa...
  8. idawa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli abatilisha muda wa usajili wa laini za simu kwa kutumia Vitambulisho vya NIDA kama ilivyotangazwa awali na TCRA

    Amesema watanzania wapo milion 55 lakini waliosajiliwa NIDA ni million 15 tu. Hivyo tangazo la TCRA kuwa mwisho tarehe 1 mwezi wa tano itapelekea watanzania zaidi ya milioni 25 kukosa haki ya kumiliki mawasiliano. Ameongeza muda mpaka tarehe 31 mwezi wa kumi na mbili, hata hivyo muda utakuwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amualika Sultan mpya wa Oman kutembelea Tanzania wakati wowote

    Rais Magufuli amemualika Sultan mpya wa Oman kuitembelea Tanzania wakati wowote. Salamu za Rais Magufuli zimetolewa na Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi aliyeko nchini Oman alikotumwa na Rais Magufuli kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha Sultan wa nchi hiyo. Source: Channel ten
  10. aka2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vuta nikuvute ya Rais Uhuru Kenyatta, Ruto yafikia pabaya

    Kwa vipindi viwili Uhuru Kenyatta na William Ruto wamekuwa marafiki wa karibu na wamegombea pamoja na kushinda uongozi wa juu wa Kenya. Wakati Kenyatta amekuwa Rais, mwenzake amekuwa naibu Rais. Lakini urafiki wao unakwenda mrama. Na ndoa yao ya kisiasa inaelezwa kusambaratika. Wawili hao...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika ( AU) wampongeza Rais Magufuli kwa kutekeleza kwa vitendo ndoto za mwalimu Nyerere za kuiunganisha Afrika

    Kamishna wa AU mh Bade kwa niaba ya Umoja wa Afrika amempongeza kwa dhati Rais wa Tanzania Dr Magufuli kwa kuzitekeleza kwa vitendo ndoto za mwalimu Nyerere za kuiunganisha bara la Afrika. Bade ametoa pongezi hizo jijini Arusha wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la makao makuu ya...
  12. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Rais Macron na mkewe wavamiwa na waandamanaji

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mkewe walilazimika jana kuondolewa kwa dharura kutoka ukumbi wa sinema baada ya waandamanaji kujaribu kuingia ukumbuni na kuvuruga onesho lililokuwa likiendelea. Polisi wa kutuliza ghasia walijiweka tayari wakati waandamanaji kadhaa walipokusanyika nje ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete apatiwa namba ya NIDA

    Rais wa Awamu ya 4, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo Januari 18, 2020 amesajili laini yake kwa njia ya kieletroniki, huku akiwahasa Watanzania wengine kujitokeza kushiriki zoezi hilo, kwa kuwa mwisho ni Januari 20, 2020. Rais wa Awamu ya 4, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo Januari 18, 2020...
  14. DaveSave

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais anapewa hadhi kubwa Bungeni

    LIMEULIZWA swali katika group moja la WhatsApp ambalo nimo, nimelijibu kule ila kwa faida ya wengi, nalitolea ufafanuzi na hapa. Swali ni kwa nini Rais ambaye ni Mkuu wa Serikali anapewa hadhi kubwa ndani ya Bunge ambao ni mhimili mwingine, lakini Jaji Mkuu hapewi wakati ni kiongozi wa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dr Bashiru: Kuna siku Tanzania itachagua " mtoto wa Ibilisi" kuwa Rais au mbunge kama mtaendelea kuwalealea

    Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amewakemea viongozi wa mkoa wa Tanga kwa kushindwa kulidhibiti kundi la watoto watukutu na waalifu wajiitao Watoto wa Ibilisi. Dr Bashiru amesema uzembe wa kulilea kundi hilo ukiendelea kuna siku tutapata diwani, mbunge au Rais aliyeasisiwa ndani ya kundi hilo...
  16. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Agizo la Rais Magufuli la kugawa eneo la Airport ya zamani kwa wamachinga latekelezwa

    Ikumbukwe eneo hilo liliombwa kwa Mh. Rais na Naibu spika Dr. Tulia siku ya tarehe 26 April 2019. Zaidi soma https://www.jamiiforums.com/threads/mbeya-rais-magufuli-ahutubia-wananchi-uwanja-wa-ruanda-nzovwe-agusia-usajili-wa-laini-na-machinga.1577226/ Tangu juzi wafanyabiashara wadogo wadogo...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Rais Magufuli aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumanne Januari 14, 2020 ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Kenya Mtuku Daniel Arap Moi (95) ni mgonjwa mahututi

    Rais Mstaafu wa Kenya Daniel Arap Moi (miaka 95) yuko katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) Hospitali ya Nairobi. Amekuwa akilazwa na kuruhusiwa hospitalini hapo mara nne toka Oktoba 2019, ambapo mwanzo alitibiwa kwa tatizo la maji kujaa kwenye mapafu.
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kura yangu ni asilimia 100% kwa Tundu Lissu

    .
  20. J

    JamiiForums Tanzania Je, kiitifaki Waziri mkuu wa Tanzania ni mkuu kuliko Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar?

    Nauliza kwa wale watu wanaoelewa vizuri mambo ya itifaki. Katika sherehe za mapinduzi Zanzibar, Waziri mkuu mh Majaliwa aliingia uwanjani baada ya makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Idd Seif kuwa ameshaingia na wakati wa kuondoka alianza waziri mkuu kabla ya balozi Seif. Karibu kwa...
Back
Top Bottom