Wanachama wa JamiiForums nilipotea kidogo maana nilighafilika kuona nyuzi zangu zote kuhusu kumkampenia Tundu Lissu na kusema Magufuli hafai zimefutwa.
Leo nimekuja na maneno machache aliyoyasema Lissu akiwa na waandishi wa habari kwamba "kuna vitu havihitaji utoe pesa ili upate pesa bali...
Tumuombe mungu atujalie uzima maana katika kipindi hiki tutaona mengi ya kuthibitisha kwamba mwafrika ni Tabaka la mwisho kabisa kifikla,katika kipindi hiki cha kampeni kuna mgombea amejizolea kundi dogo la wanaomsapoti kwa hapa Tanzania tunawaita "MAKANJANJA" kutokana na tabia walizokuwa...
Nimeleta fursa hii kwenu watanzania wenzangu lengo ni kuona ni jinsi gani tunaweza kujikwamua kiuchumi.
Idea hii hakika akuna mtu atajutia,so watanzania wengi awatambui kwamba kunapesa nyingi sana kwa sasa kupitia mfumo wa teknolijia..
Kwakutambua hilo nimekuja na huu mfumo ambao kila mtu...
Hii ni nzuri kidogo na inaeleweka.
Mkuu kama unaona maisha yako ni ya uchumi wa kipato cha kati na unaendekeza kugawa pesa kwa wanawake kamwe hutokuja kuendelea. Utabakia hapohapo.
Wanawake wafundishwe kujitafutia. Mbona wanawake wakizungu wao ukienda nao hotelini wanajilipia wenyewe ina...
Habari za leo wakuu.
Wakuu hivi mmegundua kwamba taifa linaangamia na kupotea nguvu kazi ya kike inapotea kabisa wakuu. Hawataki kufanya kazi, wanasubili watongozwe ili waanze kuomba pesa za kujimudu kimaisha.
Wao wanachowaza ni kuvaa mawigi, kukuza mahips, wakati huo huo hivyo vitu ni...
Jana Tarehe 18/09/2020 Mgombea wetu wa Urais Tundu Lissu alikuwa na ratiba ya kufanya Kampeni katika Mkoa wetu wa Katavi maeneo ya Majimoto katika jimbo la Kavuu Wilaya ya Mlele na Mpanda MJINI katika jimbo la Mpanda.
Hakika viongozi wetu (Musa Masanja Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi...
Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa
Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura
S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania;
Hivi mnajua, kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo, lakini akakupa ushauri wa maana wenye thamani mara 3 zaidi ya pesa uliomuomba?
This is my true story
=========
Siku moja nikiwa chuo kikuu...
Pesa za Mapaka ni aina flani hivi ya mapato(maendeleo) ambayo hupatikana kishirikina kwa kuumiza binadamu wengine hasa ndugu wa karibu. Kwamba mtu unaenda kalumanzila ili akutengenezee dawa ya kupata pesa; Kalumanzila anakujibu pesa ipo nje nje usjali lakini ili uipate lazima utolee sadaka na...
Wasalaam.
Tanzania chini ya serikali hii ya awamu ya tano ya wanyonge tumeshuhudia matumizi makubwa ya pesa bila ridhaa ya bunge la JMT. katika awamu hii tumeshudia mkaguzi na mdhibiti wa fedha za serikali CAG akitishwa na luzuiwa kukagua miradi mikubwa ya kifisadi kama ununuzi wa ndege, ujenzi...
Mataifa ya Ulaya na Magharibi kwa ujumla hawataziachia nchi walizowahi kuzitawala na wana vyambo vingi vya kuendelea kuwanasa. Kila janga linalotokea hutoa fedha nyingi kujaribu kuonesha kuguswa na huruma zao.
Kwa hili huwa wanawanasa marais wa kiafrika kwa urahisi kabisa. Na jambo la...
Tupige kelele hadi masikio yawaume tuko kimya sana jamani .nendeni kwenye ofisi za NSSF mkaone watu walivyokata tamaa na maisha yani afadhali mkoloni.
Mtu unaangaika miaka labda 20 anakatwa mshahara wake huo mdogo,sasa akifika kule ataahidiwa mpaka atakufa njaa.
Vijana mko wapi mbona waoga...
Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu
Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu
Pia walitakiwa...
Wana JF,
Tangu nimjue Askofu Gwajima, sijawahi kuona amejnga shule muhimu kama mama Rwakatale, wala hajawaji kujenga kanisa lake mwenyewe m waumini wake daima wanakaa nje, sasa haya maendeleo anayotaka kutuletea kawe yatatoka wapi.
Huyu ahadi zake ni nyingi watu inabidi tuzipime tusije...
Mimi ni Kijana wa miaka 26 nikiwa na shahada ya uhandisi wa mitandao na mawasiliano...baada ya kuhangaika sana bila majibu nimeambulia kufahamu fursa nyingi ambazo nimetumia na akili yangu kidogo kuweza kupata mawazo kadhaa ya kibiashara ambazo zenye kuleta matunda chanya kwa muda mfupi sana...
ASILIMIA 100 YA TABAKA LILILOJICHOKEAGA AWAMU ZOTE,AMBALO AWAMU YA TANO LINAOGOPWA NA WENYE PESA, WATAMPA KURA ZOTE RAIS JOHN POMBE MAGUFULI.
Leo 14:45hrs 06/09/2020
Tabaka la watu wanyonge wasio na chochote cha kujisifu nacho mbele za watu ambalo awamu zote limejichokeaga tu sema safari hii...
Habari zenu wanaJf
Ninapenda kumshukuru Mungu nimefanikiwa kushika mil200 baada ya kufanya biashara ndogo ndogo kwa kila siku nilikuwa naweka 650,000 sasa nimefikia mwaka.
Sasa nataka hii pesa niiwekeze katika sekta ya viwanda sasa naomba msaada kiwanda gani naweza kuanzisha.
Kuna platform ya betting najaribugi bahati humo kama mjuavyo hakuna pesa chafu na maisha kupambana.
Sasa kuna issue ya kwenye ku withdrawal, nimeona wao wana options za kutumia debit card au credit card, sasa mimi pia nnayo Vodacom mastercad, endapo nikijaribu kutoa mpunga kwa kuweka ile namba...
Godbless Lema ni mmoja wa wawekezaji ambaye alinunua hadi mitambo ya kujenga kiwanda cha kutengeneza toothpick na leseni ili nchi isiendelee kuagiza toka nje kipindi hiki cha serikali ya Awamu ya Tano.
Kama kimeshakamilika ni vizuri akakitumia kueleza mafanikio yake alivyosaidia nchi kwa...
Habari.
Nahitaji msaada wa namna nitakavyoweza kupokea kiasi kikubwa cha pesa Tsh.100,000,000 kutoka nchi ya Afghanistan..... Njia nyingi za online transfer zinashindwa kutuma kiasi hicho cha pesa.
Nahitaji mawazo yenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.