Watani zetu Hawa wamepata 223 Billion Ksh. Toka taasisi za kimataifa eg, IMF, EU n.k kupambana na COVID19 ndo maana kutwa kutoa data za kubumba. Sasa pesa wanafyonza wachache huku wanyonge wakiendelea na changamoto pendwa.
*Washaanza kukamatana uchawi huko
======
Push for State to explain...
Nipo apa kuwatoa ujinga nyinyi wanaume mnaojifanya mna pesa yaan unakuta dume zima linajua na mwanamje first day denu anaanza njaa mara nina birthday.kuna mchango wa harusi .nimekopa nadaiwa nina shida ya sh fulani na mwanaume na akili timamu unatuma unajua anajuchukuliaje
JIBU : ANAKUONA BOYA...
Huyu mdada nilikutana nae kwenye sherehe ya harusi ya ndugu yangu, kuulizia ulizia, nikatambulishwa kuwa alikuwa ni family friend wa ndugu yangu tena anaishi jirani na mtaa anaoishi ndugu yangu. Alinivutia, nikamwomba namba akakubali, tukawa tunachat, tena siku ingine anaanza yeye kunitext ...
Nilileta huu uzi wiki jana kuhusu kazi tulokuwa nimedhamiria kuifanya ya kukusanya maoni ya wakazi wa Kigamboni abayo imekamilika leo.
Uzi wenyewe ni huu:
Taarifa Kwa Umma: Fact Finding Mission-Jimbo la Kigamboni
Baada ya kufanya stadi yangu kwa siku tatu tangu jumapili ya tarehe 9 August mpaka...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums,
Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo...
Kuna mama mmoja alimuhoji Tundu Lisu kwenye mkutano wa baraza kuu. Aliuliza wewe Kama mgombea urais una mpango gani kutusaidia kifedha wagombea wengine wa udiwani na ubunge? Akajibu hela Hana wasahau ya Lowassa
Sasa Kama Hana na wajumbe wengi wanagombea udiwani na ubunge Ina maana akienda...
Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.
Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya...
Nimeamini uchawi wa mahusiano ni pesa.
Yaani ukiwa nazo, utabembelezwa kama mtoto mchanga; ila ukiishiwa usishangae mpenzi wako kukuita majina ya ajabu ajabu kama vile, wee mbuzi, mbwa, paka n.k
Tutafute vyanzo vya pesa wakuu, tule mema ya dunia
Waendesha mashtaka nchini Paraguay wanatarajia kuhitimisha uchunguzi wa kesi ya Ronaldinho baada ya kukamatwa miezi 4 iliyopita na hati bandia ya kusafiria ya nchi hiyo.
Waendesha mashtaka wameshindwa kumuunganisha Ronaldinho na kaka yake kwenye utakatishaji pesa na uendeshaji wa magenge ya...
Matangazo ya biashara ni moja ya eneo muhimu kwa vyombo vya habari.
Sasa hivi tunaelekea uchaguzi mkuu wanasiasa kutwa watakuwa. Wakiita vyombo vya habari kukitangaza biashara zao za kisiasa wanakogombea. Hilo ni tangazo la biashara. Vyombo vya habari anzeni kuchaji pesa.
Wakiwaalika walipe...
Mambo yamebadilika ndani ya CCM. Dosari kubwa ni jinsi mchakato wa kupata wagombea unavyoendeshwa ambapo hakuna tena muda wa mwanachama anayegombea kujieleza kwa undani na kumwaga sera na mipango yake ya maendeleo.
HAKUNA mgombea yoyote katika jimbo lolote aliyepata kura tano na kuendelea...
Wiki iliyopita nikiwa natoka kwenye shughuli zangu ghafla nilikutana na watu watatu, wawili wakiwa wamevalia mashati ya kijani. Kwa mavazi yao na maongezi Yao, fikra zangu zilinipelekea kuwaza kuwa hawa ni "WAJUMBE'
Maongezi yao yalinivutia yakafanya nizidi kuwasikiliza. Kwa ufupi walikuwa...
Lissu alikuwa analalamika kuna gari la usalama wa taifa linamfuata. Hizi ni pesa za wananchi zilikuwa zinachomwa bila sababu ya msingi kwa kusaidia watu binafsi kisiasa.
Huu ni zaidi ya ufisadi! Kama kuna tatizo kwa mtu yeyeote hasa kisiasa kuna mahakama zipo na sio kuajiri mtu ambaye...
MASLAHI YA MBUNGE:
- Mshahara: TZS 3.8M kwa mwezi
- Shangingi la kutembelea (wanakopeshwa bei chee)
- Posho ya mwezi: TZS 8M kwa mwezi
- Posho ya Kikao: TZS 240K kwa siku
- Posho kujikimu: TZS 120K kwa siku
- Pensheni: TZS 240M baada ya miaka mitano
- Bima ya afya ya daraja la kwanza kwako na...
Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu- Arusha wakiandamana usiku huu kuishinikiza Bodi ya Mikopo Nchini
HESLB kurejesha kiwango kilichosalia cha 510,000/= kwa mwaka huu wa masomo 2019/2020.
USITAFUTE PESA, IFANYE PESA IKUTAFUTE YENYEWE
Na, Robert Heriel
Ndoto ya watu wengi ni kupata pesa zitakazowafanya waishi maisha mazuri. Ndio maana watu wanahangaika usiku na mchana kutafuta pesa, watu wanahangaika mijini na vijijini kutafuta pesa, majini na nchi kavu, mashimoni na angani...
Inawahusu wasiomchagua JPM tu. Mimi Kama mtumishi wa umma hajaongeza mshahara wangu kwa miaka yote 5, ananikata 15% badala ya 8% kama mkataba wangu na Loan Board unavyosema. Kwa sababu hizo kura yangu hapati. Wewe serikali yake katika sekta yako kwa nini hapati kura yako?
Kilio cha wadau cha kutaka kurahishwe njia za kupokea pesa zimeanza kusikilizwa
Sasa hivi Mteja wa vodacom mwenye Mpesa Sasa waweza pokea pesa toka nchi za nje kwenye simu yako ukitumiwa kwa njia ya World Remit,Money Gram na Juba express.
Kama una mtu nje na una namba ya vodacom yenye Mpesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.