Kibonzo cha Kipanya; baada ya pesa kukosekana mtaani watu wameanza batter

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
49,892
2,000
1613027111935.png

TRA mtasubiri sana tumeamua mwendo wa mali kwa mali.
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
21,125
2,000
Hamna wewe! Why Zimbabwe kusiwe na Batter Trade? Embu kosa hizo hela uone kama hutafanya batter trade.

Huna hela, Nipe Unga nikupe Mboga kama hutak baki na unga wako ule ugali mkavu
Hahahaha I hope hiki ulichoandika hakitokani na elimuya darasani. Kama kimetokea darasani kuna wengi kama wewe wamelishwa matango pori na tupo nao uraiani huku wengine wameajiriwa.
 
Denis Baraka

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
339
1,000

Umefundishwa kwa Kiingereza umekremishwa sasa unashindwa kutafsiri. Back in the days before the introduction of money ni nini kilitumika kama means of transaction?
And what happened after the introduction of money?
Ukiweza kujibu maswal haya bas utaona nan kiazi?
 
Mimi sijasema wewe kiazi.

Nchi ambayo imeestablish taasisi za kifedha na inatumia fedha kama njia ya malipo ikifikia hatua mnarudi kwenye batter trade basi ujue thamani ya pesa ni imefika omega.

Mostly hiyo hua accompanied na nchi kuadopt pesa ya nchi nyingine na kuitumia kama yao mostly hua US dollar.

Deals ambazo Zimbabwe ilizipitia.

Maswali yako hayo mawili wala hayana mantiki katika nilichosema. Kama batter trade ilikua nzuri kiasi hicho kwanini ikabidi chumvi itumike kama currency? Si wangeacha tu batter trade iendelee? Walijua kwamba batter trade siyo kisisimua uchumi wewe unasema ni deal poa.

Watu walidrop batter trade hata kabla yesu hajazaliwa unahisi kwanini?
 
Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
3,862

Anasema anaogopa kukujibu eti atakuaibisha, ni kweli hayo!???

cc: Financial Analyst
 
Denis Baraka

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
339
1,000
Mimi sijasema wewe kiazi.

Nchi ambayo imeestablish taasisi za kifedha na inatumia fedha kama njia ya malipo ikifikia hatua mnarudi kwenye batter trade basi ujue thamani ya pesa ni imefika omega.

Mostly hiyo hua accompanied na nchi kuadopt pesa ya nchi nyingine na kuitumia kama yao mostly hua US dollar.

Deals ambazo Zimbabwe ilizipitia.

Maswali yako hayo mawili wala hayana mantiki katika nilichosema. Kama batter trade ilikua nzuri kiasi hicho kwanini ikabidi chumvi itumike kama currency? Si wangeacha tu batter trade iendelee? Walijua kwamba batter trade siyo kisisimua uchumi wewe unasema ni deal poa.

Watu walidrop batter trade hata kabla yesu hajazaliwa unahisi kwanini?
Ni nini tafsiri ya kibonzo cha kipanya? Kwamba thamani ya Tsh. Imeshuka/Inashuka au Hela imekua adimu hadi turudi kwenye barter trade ?

Alaf maswali yangu wewe nijibu, before the introduction of money ni nini kilitumika kama means of transactions? Usilete maneno mengi
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
21,125
2,000
Ni nini tafsiri ya kibonzo cha kipanya? Kwamba thamani ya Tsh. Imeshuka/Inashuka au Hela imekua adimu hadi turudi kwenye barter trade ?

Alaf maswali yangu wewe nijibu, before the introduction of money ni nini kilitumika kama means of transactions? Usilete maneno mengi
Bob kwangu mimi hicho kibonzo kimebashiri tunapoelekea hakijamaanisha kwamba ndipo tulipo. Ndiyo maana nikasema hatujafika huko bado kuna stage ya basket money hata hatujaifikia bado.

Kabla ya pesa kuanza kutumiwa sasa hapa inategemea na eneo. Katika nchi za latini walikua wanatumia mawe ambayo yalikua yakichongwa na kutumiwa kama currency.

Katika maeneo mengine dhahabu ilitumika kama currency. Isipokua chumvi ndiyo ilikua currency yenye nguvu na iliyokubalika maeneo mengi.

So yeah bado nasema kwamba kama ulichoniandikia ni umekitoa darasani basi tuna tatizo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom