Hii habari ya kuombana pesa kwenye mahusiano kabla hamjaonana ni sawa au kuumizana tu

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Hii habari inaudhi sana au kwa wengine iko poa, mwanaume au mwanamke anakutana na mtu kwenye mitandao mnawasialiana na mnakubaliana hata kabla ya siku ya kuonana laivu haijafika mwenzio anaanza kukuomba hela haijalishi ni hela ya nini au kiasi gani lakini kwanini tusisubiri kuonana laivu na tufahamiane ndio tuombane hela, wengine wanaenda zaidi mkionana laivu muda huu tu baada ya dakika 10 unasikia anakuomba hela.

Wanaume wana tabia hii sana kuwaomba wanawake wanao wazidi kipato na wanawake pia sasa je kuna haja ya kupeana muda wa kufahamiana vizuri na kuelezana malengo ya mahusiano ndio tuanze kuombana pesa au ni mbinu ya kutaka kuumizana ili hata mkiachana leo mmoja awe tayari amekuumiza.
 
lugha ngumu hii punguza makali
MKUU UNATAKA KUNIAMBIA NENO MALAYA NI NENO KALI???KWELI NA ELIMU YAKO YOTE NENO MALAYA NI NENO BAYA???JE NI TUSI????AU INAELEZEA TABIA HALISI YA MHUSIKA?

Anyway samahani sana mkuu kama umekwazika
 
MKUU UNATAKA KUNIAMBIA NENO MALAYA NI NENO KALI???KWELI NA ELIMU YAKO YOTE NENO MALAYA NI NENO BAYA???JE NI TUSI????AU INAELEZEA TABIA HALISI YA MHUSIKA?

Anyway samahani sana mkuu kama umekwazika
Ina dhalilisha, ujue huwezi mwambia mtu hadharan imagine wengine watajisikiaje
 
MWANAMKE ANAEKUOMBA PESA KABLA HATA YA KUONANA AU KUZOEANA HUYO NI MALAYA
Nao wana umuhimu wake kwa sie tusiotaka usumbufu. Siwezi nunua malaya barabarani ila nikimtokea girl ninaemjua akaweka hela mbele nakuwa na uhakika wa kula kwa pesa na kutafuta mapenzi kwingine. Yeye nitamuita tu nikiwa na hela, hamu nae.

Baby nisaidie 40k nimepungukiwa nataka kununua screen imepasuka
Nina 30k hapa ila haiko kwenye simu na nikiweka itakatwa nadaiwa. Njoo jioni uichukue
Sawa nitakuja
Njoo ulale eti
Mie kulala siwezi jamani
Basi ukijiskia unaweza kulala uje uichukue. See you babe, love you

Hizi hela ndogondogo huwa sikubali. Akinambia nifanyie 10k ya haraka nimekwama na nishajua anaendekeza hela namwambia mbona sina hela ila jioni nategemea kupata maybe 30k na sina kazi nayo. Ikifika jioni analia shida nyingine namwambia aje alale. Mwendo uleule, mapenzi ya uongo gharama tofauti na hapo tuendelee kulialia tu.
 
Ina dhalilisha, ujue huwezi mwambia mtu hadharan imagine wengine watajisikiaje
Kuna vitu tunavilea katika jamii kwa kigezo cha maadili matokeo yake tunasababisha mmomonyoko mkubwa sana wa maadili.

Kwa mfano unakuta mzazi anashindwa kumfundisha mtoto wake elimu ya maadili kwa kigezo cha kushindwa kutamka baadhi ya maneno.Mwisho wa siku inaletwa mimba au ukimwi nyumbani.
 
Siyo vibaya kwa mwanamke kuomba hela kwa mwanaume, mpe tu kama unazo.
Wapishe wanawake kwenye seat, hata akiwa na miaka 12.
Akiwa nyuma yako, fungua mlango, aingie kwanza.
Na wanawake lazima walindwe, yaani mtu akitaka kumfanyia fujo mtoto wa kike, lazima apewe kipigo.
Hayo mambo ya kuwa gangster kiduku, eti ndiyo utapendwa ni ujinga.
Wanawake ndiyo wanaibeba jamii.
 
MWANAMKE ANAEKUOMBA PESA KABLA HATA YA KUONANA AU KUZOEANA HUYO NI MALAYA
Hata siyo umalaya mm huitumia nyia hiii kuwaondoa wanaume wababaifu kwenye maisha yangu unakuta mwanaume kilA saaa imekula ,mara morning cjui nn ,bac mm kuondoa hizi kero namuomba hela kubwa ambayo najua hawez kunipa baaada ya hapo nakua km nimemfukuza mwamba ata akiona massage yangu anackia kichefuchefu ndo anakua ameondoka hvyo ,!!!!

Ila wale tunaowapenda bwana ata vocha hatuombi !!!!kwanza unataka akuone ur strong woman huna shida ndogondogo
 
Hapo jisemee wewe ndio unatumia hyo mbinu....ila Wenzako wanaomba, tunawaambia waje waifuate... Tunawala and the cycle goes on
Hata siyo umalaya mm huitumia nyia hiii kuwaondoa wanaume wababaifu kwenye maisha yangu unakuta mwanaume kilA saaa imekula ,mara morning cjui nn ,bac mm kuondoa hizi kero namuomba hela kubwa ambayo najua hawez kunipa baaada ya hapo nakua km nimemfukuza mwamba ata akiona massage yangu anackia kichefuchefu ndo anakua ameondoka hvyo ,!!!!

Ila wale tunaowapenda bwana ata vocha hatuombi !!!!kwanza unataka akuone ur strong woman huna shida ndogondogo
 
Siyo vibaya kwa mwanamke kuomba hela kwa mwanaume, mpe tu kama unazo.
Wapishe wanawake kwenye seat, hata akiwa na miaka 12.
Akiwa nyuma yako, fungua mlango, aingie kwanza.
Na wanawake lazima walindwe, yaani mtu akitaka kumfanyia fujo mtoto wa kike, lazima apewe kipigo.
Hayo mambo ya kuwa gangster kiduku, eti ndiyo utapendwa ni ujinga.
Wanawake ndiyo wanaibeba jamii.

Maneno yako haya ni mtongozo tosha.

Nimejikuta nakulavu ghafla

Eti nimelegea na kulowa ....!!😂😂😂😂

K banaaa, Matata sana 😜
 
Hii habari inaudhi sana au kwa wengine iko poa, mwanaume au mwanamke anakutana na mtu kwenye mitandao mnawasialiana na mnakubaliana hata kabla ya siku ya kuonana laivu haijafika mwenzio anaanza kukuomba hela haijalishi ni hela ya nini au kiasi gani lakini kwanini tusisubiri kuonana laivu na tufahamiane ndio tuombane hela, wengine wanaenda zaidi mkionana laivu muda huu tu baada ya dka 10 unasikia anakuomba hela.

Wanaume wana tabia hii sana kuwaomba wanawake wanao wazidi kipato na wanawake pia sasa je kuna haja ya kupeana muda wa kufahamiana vizuri na kuelezana malengo ya mahusiano ndio tuanze kuombana pesa au ni mbinu ya kutaka kuumizana ili hata mkiachana leo mmoja awe tayari amekuumiza.

Mnawapataga wapi hao wanaoomba hela...!!??

Mi huwa naomba kupekechwa kateree tuu siombagi kingine ....☺️
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom